Imetosha sasa, ni wakati muafaka Rais Ruto kuchukua hatua za makusudi za kimamlaka kuwadhubiti wahalifu nyuma ya Gen z na kurejesha amani

Ukiwa hujielewi ndo utaweza kuwasilisha haya.
Unapata wapi nguvu ya kuandika haya,IQ mdogo Sana.
Wale wanajielewa,sio nyie mapompoma,ya ndio mzee.

Gen Z Nchi nzima hakuna Cha ukabila Wala nn,they stand for Nation.

Uhuni wa wanasiasa,inabidi waanze kujitafajari Sasa.
Yaliyotokea Misri na wale wengine ndo hayo.
Ushawahi kusikia ujinga ujinga ukiendelea.
Mawazo finyu,mbali nayo nyie maiti zinazotembea.
Kenya wamestep forward.
Mwanasiasa,ndo anaamua uishi vp akishaingia madarakani,unasahau kuwa wewe ndo umempigia kura.Ambapo inatakiwa akusikilize wewe.
Shame on you guy.

Rwanda hakuna anayekohoa,Uganda mkono wa chumba,Tz Mazombie.Kenya hakuna kuburuzwa.
 
Hao wanatumia mwanya wa maandamano kuvuruga nchi , hii sio sawa kabisa.
sure,
hata mimi sioni sababu ya msingi ya ziada kwa vijana kuendelea na maandamano na kuharibu nchi yao tena, kwasabb hoja yao ya msingi ilishaskizwa na kufanyiwa kazi 🐒
 
Ukiwa hujielewi ndo utaweza kuwasilisha haya.
Unapata wapi nguvu ya kuandika haya,IQ mdogo Sana.
Wale wanajielewa,sio nyie mapompoma,ya ndio mzee.

Gen Z Nchi nzima hakuna Cha ukabila Wala nn,they stand for Nation.

Uhuni wa wanasiasa,inabidi waanze kujitafajari Sasa.
Yaliyotokea Misri na wale wengine ndo hayo.
Ushawahi kusikia ujinga ujinga ukiendelea.
Mawazo finyu,mbali nayo nyie maiti zinazotembea.
Kenya wamestep forward.
Mwanasiasa,ndo anaamua uishi vp akishaingia madarakani,unasahau kuwa wewe ndo umempigia kura.Ambapo inatakiwa akusikilize wewe.
Shame on you guy.

Rwanda hakuna anayekohoa,Uganda mkono wa chumba,Tz Mazombie.Kenya hakuna kuburuzwa.
Maiti zilikua zinapeana ushauri🤣🤣🤣ww baba mwenye nyumba kaona nyumba ni chafu anasafisha jirani mwenye majani na nyoka wengi wanao ua mpaka watoto wake anamcheka kuona jirani kakosa kazi kwa nn anasafisha nyasi kwake.Bora kuanza upya lakini heshima iwepo.
 
Kenya hakuna machawa wa hovyo kama Tz, ambao wanasifia hata ujinga wa wanasiasa. Kule wanajua haki zao na Katiba yao, pindisha mambo hao wanakuwakia.

Kwenye msafara wa mambo na kenge wapo, kuna wakora wale nao wameamua kuvunja maduka. Waandamanaji wanaotetea maslahi ya wananchi wote, wako kwaajili hiyo na wakora wapo.
 
Ukiwa hujielewi ndo utaweza kuwasilisha haya.
Unapata wapi nguvu ya kuandika haya,IQ mdogo Sana.
Wale wanajielewa,sio nyie mapompoma,ya ndio mzee.

Gen Z Nchi nzima hakuna Cha ukabila Wala nn,they stand for Nation.

Uhuni wa wanasiasa,inabidi waanze kujitafajari Sasa.
Yaliyotokea Misri na wale wengine ndo hayo.
Ushawahi kusikia ujinga ujinga ukiendelea.
Mawazo finyu,mbali nayo nyie maiti zinazotembea.
Kenya wamestep forward.
Mwanasiasa,ndo anaamua uishi vp akishaingia madarakani,unasahau kuwa wewe ndo umempigia kura.Ambapo inatakiwa akusikilize wewe.
Shame on you guy.

Rwanda hakuna anayekohoa,Uganda mkono wa chumba,Tz Mazombie.Kenya hakuna kuburuzwa.
kwahiyo muerevu na anaejielewa anaweza kuvunja bunge alilojenga kwa kodi yake mwenyewe kisha tena aje alijenge kwa nguvu, hali na mali yake mwenyewe? kwamba hiyo ndio IQ kubwa 🤣

kwamba muerevu na anae jielewa ameona kuna dosari na kasoro kwenye muswada wa fedha, akashinikiza vifungu vya kodi, ushuru na tozo vibadilishwa, lakini muhusika akaufuta muswada wote kama ulivyo kwa kuwasikiliza hao unaowaita waerevu wanao jielewa 🐒

sasa,
muerevu ana anaejielewa,
anavunja maduka, ma super market, majumba ya wabunge, taa za barabarani, minara ya kumbukumbu na kuchoma majengo ya Serikali ambayo yeye mwenyewe ndie atakahusika kuyajenga tena kwa gharama kubwa. huyu ndio ana IQ kubwa kweli 🤣

mie nadhani ni athari za mihemko na ghadhabu zisizo na tija zinakuchochea uone jambo hili kama unavyoliona...

kusifia uharibifu wakati mwingine ni hali zilizopo ndani ya mioyo na fikra zetu.
Mwenyezi Mungu ahuishe na kutuponya na hali hiyo, tuishi kwa Amani 🐒
 
Kenya hakuna machawa wa hovyo kama Tz, ambao wanasifia hata ujinga wa wanasiasa. Kule wanajua haki zao na Katiba yao, pindisha mambo hao wanakuwakia.

Kwenye msafara wa mambo na kenge wapo, kuna wakora wale nao wameamua kuvunja maduka. Waandamanaji wanaotetea maslahi ya wananchi wote, wako kwaajili hiyo na wakora wapo.
ila kuna majambazi, wezi na waporaji wengi zaidi East Africa, right?🐒
 
Ni dhahiri sasa,

Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na Bunge la Kenya.

Muswada ule umefutwa tayari na Mh. William Samoei Ruto.

Ni nini kingine mnahitaji ambacho hamkukisema awali?

Motisha za kisiasa wanazopewa na viongozi wa kisiasa wenye maoni na mitazamo tofauti na serikali iliyoko madarakani zaidi sana zitawaathiri ninyi wenyewe na maisha yenu ya sasa na wakati ujao. Hilo hamuwezi kulikwepa hata ashushwe malaika kuongoza Kenya, ushuru na kodi lazima mlipe.

Uporaji, ujambazi, wizi wa mali, na uharibifu wa mali na miundombinu vitahitaji nguvu na jitihada zenu za hali na mali kuirejesha katika hali ya kawaida, hilo nalo hamuwezi kulikwepa.

Ni wakati muafaka sasa, Rais Ruto kureact na kukomesha hekaheka hizi za majambazi wanaojificha nyuma ya Gen Z, ambazo sasa hazina kichwa wala miguu.

Wanao watuma wanafahamika. Leo kuna mmoja hata kwenye press conference ya chama chake alitoroka kwa haraka bila kusema neno wakati press ikiendelea.

Wanasiasa walio nyuma yao, na wanaowafadhili na kuwachochea kwa hali na mali, wanajaribu kujificha lakini haiwezekani. Mkono wa sheria ni mrefu, macho ya vyombo vya habari na teknolojia yako wazi, na wengine ni wazoefu wa kuchochea mambo haya ya vurugu na walionusurika mpaka huko ICC.

Itoshe tu kusema, kudeka huku kwa wahalifu nyuma ya Gen Z kumepita kiwango cha uvumilivu na sasa ni wakati muafaka kuchukua hatua kali kuwadhibiti wasiendelee kuharibu nchi.

MUNGU IBARIKI KENYA,

ASANTE PLO LIMUMBA KWA USHAURI MWANANA KWA WAKENYA WOTE.

PIA SOMA
- Gen Z watawanyika katika Makanisa mbalimbali kuzuia Harambee za Wanasiasa kesho, Padre wa Rais Ruto aonywa!
Wapumbavu tu. Kuna watu wanautaka urais wa Kenya kwa gharama yoyote ile Hawakupenda vile Ruto ali drop ile bill, haraka waka switch na ikitokea Ruto akaachia bssi huo ndiyo utakuwa mwisho wa Kenya kwani yeyote atakayeingia litatikeza kundi lingine litakalompinga kwa style hiyohiyo.
Nimeina viongozi wa kule umasaini, Kajiado wametoa tamko kwamba hao waandamanaji wakijutokeza kule na wao wataruhusu wamesai kwenda kuwakabili ili kuzuia vurugu maana wanachofanya ni kuiba na kuharibu mali.
 
Ukiondoa unform na silaha walizoshika hawana jambo lingine la maana la kuwatofautisha na wahuni wa mitaani yaani
amri walopewa ni kulinda waandamanaji bila kuwa na silaha za moto,

wakirihusiwa kuact zaidi ya hapo hao jamaa ni katili wenye roho ngumu acha kabisa, watawachakaza sana hao vijana na itakua mbaya sana na pia command itatoka wap?🐒
 
Ukiwa hujielewi ndo utaweza kuwasilisha haya.
Unapata wapi nguvu ya kuandika haya,IQ mdogo Sana.
Wale wanajielewa,sio nyie mapompoma,ya ndio mzee.

Gen Z Nchi nzima hakuna Cha ukabila Wala nn,they stand for Nation.

Uhuni wa wanasiasa,inabidi waanze kujitafajari Sasa.
Yaliyotokea Misri na wale wengine ndo hayo.
Ushawahi kusikia ujinga ujinga ukiendelea.
Mawazo finyu,mbali nayo nyie maiti zinazotembea.
Kenya wamestep forward.
Mwanasiasa,ndo anaamua uishi vp akishaingia madarakani,unasahau kuwa wewe ndo umempigia kura.Ambapo inatakiwa akusikilize wewe.
Shame on you guy.

Rwanda hakuna anayekohoa,Uganda mkono wa chumba,Tz Mazombie.Kenya hakuna kuburuzwa.
Gen Z ilikuwa moja kwenye kuupinga mswada, lakini kwenye hili la “Ruto Must Go” Gen Z ilishagawanyika, kwenye ‘Ruto Must Go’ hiyo ni project iliyokusudiwa tangu awaki na upenyo wao wa kuanzisha haya maandamano ilikuwa ni finance bill.
 
Wapumbavu tu. Kuna watu wanautaka urais wa Kenya kwa gharama yoyote ile Hawakupenda vile Ruto ali drop ile bill, haraka waka switch na ikitokea Ruto akaachia bssi huo ndiyo utakuwa mwisho wa Kenya kwani yeyote atakayeingia litatikeza kundi lingine litakalompinga kwa style hiyohiyo.
Nimeina viongozi wa kule umasaini, Kajiado wametoa tamko kwamba hao waandamanaji wakijutokeza kule na wao wataruhusu wamesai kwenda kuwakabili ili kuzuia vurugu maana wanachofanya ni kuiba na kuharibu mali.
sure,
wanatengeneza mazingira ya Kenya kutotawalika wao wenyewe.

na kwamba,
kiongozi yeyote atakaeingia asitoze ushuru, akifanya hivyo wanaandamana na kumg'oa, sasa nchi itaendeshwaje bila kua na mapato yake yenyewe kwa kodi za wananchi?

haya sasa wamasai wameamua hivyo,

baadae wakalenjin watasema mmemtoa mtoto wetu madarakani kwa nguvu, na huyo wa kabila lenu lazma atoke vile vile kwa nguvu..

hali itakua mbaya zaidi hata ya 2018🐒
 
Wengi sana, tena ujambazi wa Rasilimali za nchi, kodi wanazitafuna miaka 60 lakini utasema ndiyo kwanza, nchi imetoka kupata Uhuru.
ni wazoefu wa uharibifu, umwagaji damu na vifo,

haikuwahi kupita zaidi ya miaka15 bila kuparuana tangu uhuru🐒

kipindi cha Jomo Kenyatta na Oginga Odinga waliparuana, kipindi cha Baba Moi waliparuana, kipindi cha Emilio Mwai Kibaki walimaruana, kipindi cha Uhuru-Ruto waliparuana, hivi sasa Ruto na RigyG wanaparuana.....

so,
sio jambo la kushangaza ila watu wanaumia, watu wanakufa wengine wakichekelea vifo na uharibifu na wengine wakiwahurumia wasio na hatia na wasio husika 🐒
 
sure,
wanatengeneza mazingira ya Kenya kutotawalika wao wenyewe.

na kwamba,
kiongozi yeyote atakaeingia asitoze ushuru, akifanya hivyo wanaandamana na kumg'oa, sasa nchi itaendeshwaje bila kua na mapato yake yenyewe kwa kodi za wananchi?

haya sasa wamasai wameamua hivyo,

baadae wakalenjin watasema mmemtoa mtoto wetu madarakani kwa nguvu, na huyo wa kabila lenu lazma atoke vile vile kwa nguvu..

hali itakua mbaya zaidi hata ya 2018🐒
Wakalenjin wapo kimya wanauchora tu mchezo mzima. Kalenjin hizo ndiyo shughuli zao maana Kalenjin ndiyo Mungiki na sasa kuna viashiria wameanza kuji organize ready kuingia kazini. Kule Madai, kule Mungiki. Hii game inaenda kuniga very soon.
Angalau Masai watafanya hayo kwenye maeneo yao, lakini Mungiki huwa wanadambaa nchi nzima. Watu wataanza kuukataa huo urais na nchi wataikimbia.
 
ni wazoefu wa uharibifu, umwagaji damu na vifo,

haikuwahi kupita zaidi ya miaka15 bila kuparuana tangu uhuru🐒

kipindi cha Jomo Kenyatta na Oginga Odinga waliparuana, kipindi cha Baba Moi waliparuana, kipindi cha Emilio Mwai Kibaki walimaruana, kipindi cha Uhuru-Ruto waliparuana, hivi sasa Ruto na RigyG wanaparuana.....

so,
sio jambo la kushangaza ila watu wanaumia, watu wanakufa wengine wakichekelea vifo na uharibifu na wengine wakiwahurumia wasio na hatia na wasio husika 🐒
Usijifanye hujaelewa hayo nimeandika ni mafisiem, ni Tz siyo Kenya. Wee achana na Kenya wanajielewa na kuna upinzani wa kweli. Wamepambania Katiba mpya, upinzani umeshika hatamu. Nao kama haueleweki wataupiga chini. Tz mnashindwa hata na Wazambia.
 
Wakalenjin wapo kimya wanauchora tu mchezo mzima. Kalenjin hizo ndiyo shughuli zao maana Kalenjin ndiyo Mungiki na sasa kuna viashiria wameanza kuji organize ready kuingia kazini. Kule Madai, kule Mungiki. Hii game inaenda kuniga very soon.
Angalau Masai watafanya hayo kwenye maeneo yao, lakini Mungiki huwa wanadambaa nchi nzima. Watu wataanza kuukataa huo urais na nchi wataikimbia.
sure,
jana nilimuona Raila Odinga wakati wa press conference ya chama chake cha ODM akiwa nyuma ya katibu Mkuu wake Edwin Sifuna aliekua akisoma taarifa ya chama chake...

nikashanga,
why Odinga anajitenga na kusoma taarifa ya chama chake maana always ndie husema jambo kwanza kabla ya wengine?

lakini pia,
hata press conference haijaisha akaondoka, ni kama alipewa ishara kwamba aondoke...

nikajiuliza kulikoni?
alikua mgonjwa au anajaribu kukwepeshwa na media ili yakitokea zaidi ya haya huko ICC asihusike kuwajibika?🐒

hali hii isipodhibitiwa itakua mbaya zaidi baadae 🐒
 
Ni dhahiri sasa,

Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na Bunge la Kenya.

Muswada ule umefutwa tayari na Mh. William Samoei Ruto.

Ni nini kingine mnahitaji ambacho hamkukisema awali?

Motisha za kisiasa wanazopewa na viongozi wa kisiasa wenye maoni na mitazamo tofauti na serikali iliyoko madarakani zaidi sana zitawaathiri ninyi wenyewe na maisha yenu ya sasa na wakati ujao. Hilo hamuwezi kulikwepa hata ashushwe malaika kuongoza Kenya, ushuru na kodi lazima mlipe.

Uporaji, ujambazi, wizi wa mali, na uharibifu wa mali na miundombinu vitahitaji nguvu na jitihada zenu za hali na mali kuirejesha katika hali ya kawaida, hilo nalo hamuwezi kulikwepa.

Ni wakati muafaka sasa, Rais Ruto kureact na kukomesha hekaheka hizi za majambazi wanaojificha nyuma ya Gen Z, ambazo sasa hazina kichwa wala miguu.

Wanao watuma wanafahamika. Leo kuna mmoja hata kwenye press conference ya chama chake alitoroka kwa haraka bila kusema neno wakati press ikiendelea.

Wanasiasa walio nyuma yao, na wanaowafadhili na kuwachochea kwa hali na mali, wanajaribu kujificha lakini haiwezekani. Mkono wa sheria ni mrefu, macho ya vyombo vya habari na teknolojia yako wazi, na wengine ni wazoefu wa kuchochea mambo haya ya vurugu na walionusurika mpaka huko ICC.

Itoshe tu kusema, kudeka huku kwa wahalifu nyuma ya Gen Z kumepita kiwango cha uvumilivu na sasa ni wakati muafaka kuchukua hatua kali kuwadhibiti wasiendelee kuharibu nchi.

MUNGU IBARIKI KENYA,

ASANTE PLO LIMUMBA KWA USHAURI MWANANA KWA WAKENYA WOTE.

PIA SOMA
- Gen Z watawanyika katika Makanisa mbalimbali kuzuia Harambee za Wanasiasa kesho, Padre wa Rais Ruto aonywa!
Vipi na wale wezi wa kisiasa unawazungumziaje,wanaochota mapesa na kujilimbikizia mali wale walioshiba na wakavimbiwa wakawa wamejaza kila sehemu ya mwili utadhani kiboko

Serikali ikope ifanye matumizi ya anasa kama kununua magari ya gharama na mishahara kufuru halafu mzigo wa DENI abebeshwe masikini wa chini huku,yaani hawa NGURUWE wanaojiita wanasiasa hawana haruma na hawako kuwatumikia wananchi Bali wapo kwa ajili ya mafumbo na makalio yako na taasisi/vyama zao basi

Eti bajeti ya first lady ni sio chini ya bilioni 16,yaani mtu ambae mumewe anapewa na analipwa kila kitu halafu mkewe na yeye anapewa mapesa yote hayo huku mwalimu kijijini anapauka na chaki Kwa salary ya laki 4 au 3 Kwa mwezi THAT IS BULSHIT

Acheni watoto wa masikini wachukue hatua na mkipenda waueni na endeleeni kumtumikia shetani KIMA NYIE
 
Usijifanye hujaelewa hayo nimeandika ni mafisiem, ni Tz siyo Kenya. Wee achana na Kenya wanajielewa na kuna upinzani wa kweli. Wamepambania Katiba mpya, upinzani umeshika hatamu. Nao kama haueleweki wataupiga chini. Tz mnashindwa hata na Wazambia.
mbona hizo nchi jirani unazotaja wanateseka sana hivi sasa kama wanajielewa 🐒

mtu anaejielewa anaweza vunja bunge lake atakalolijenga kwa nguvu, hali na mali zake mwenyewe kweli?🐒
 
Vipi na wale wezi wa kisiasa unawazungumziaje,wanaochota mapesa na kujilimbikizia mali wale walioshiba na wakavimbiwa wakawa wamejaza kila sehemu ya mwili utadhani kiboko

Serikali ikope ifanye matumizi ya anasa kama kununua magari ya gharama na mishahara kufuru halafu mzigo wa DENI abebeshwe masikini wa chini huku,yaani hawa NGURUWE wanaojiita wanasiasa hawana haruma na hawako kuwatumikia wananchi Bali wapo kwa ajili ya mafumbo na makalio yako na taasisi/vyama zao basi

Eti bajeti ya first lady ni sio chini ya bilioni 16,yaani mtu ambae mumewe anapewa na analipwa kila kitu halafu mkewe na yeye anapewa mapesa yote hayo huku mwalimu kijijini anapauka na chaki Kwa salary ya laki 4 au 3 Kwa mwezi THAT IS BULSHIT

Acheni watoto wa masikini wachukue hatua na mkipenda waueni na endeleeni kumtumikia shetani KIMA NYIE
tuliza mihemko kidogo bas,

kwahiyo unafurahia mapambano ya kiholela sio? ambayo hayana nidhamu, kwamba mtamshinda mtu smart, mtulivu anae wasoma jinsi mnavyo kuja bila mpangilio 🤣

si atawadhibiti tu kama anavyodhibiti majambazi na waporaji wengine 🐒
 
Gen Z ilikuwa moja kwenye kuupinga mswada, lakini kwenye hili la “Ruto Must Go” Gen Z ilishagawanyika, kwenye ‘Ruto Must Go’ hiyo ni project iliyokusudiwa tangu awaki na upenyo wao wa kuanzisha haya maandamano ilikuwa ni finance bill.
na hapo kwenye must go ndiko walikopoteza uelekeo kabisaaaa...

nadhani alipowaita waketi chini wazungumze, wangeenda halafu wasingekubaliana jambo, hapo ndipo pangekua na sababu na wangekuja na uamuzi mwingine angalau ingeleta maana 🐒
 
Back
Top Bottom