BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
-
- #81
Sema mpira burudanii Ila Messi Kwa msim huu psg kaflop Sana
Kinachoangaliwa ni msimu uliopita na sio wa sasampaka sasaivi Lewandowsk CL 8 goals, bundesliga 12 goals, msimu huu tuu goli 20 mpaka sasa
messi uefa goli 3, ligi 0 mpaka sasa goli 3 tuu
tukiacha ushabiki maandazi , 2020, 2021, hakuna mchezaji aliyefikia uwezo wa Robert
sio msimu bali mwaka, hta tukiangalia msimu, Robert top scorer ligi zote ulaya, top scorer champions league, zote hizo messi kahusika pia, kule copa america robert hajacheza wala eurom messi hajacheza, tukiacha ushabiki Robert hana mpinzani sio msimu jana tuu hata msimu huu anaendelezaKinachoangaliwa ni msimu uliopita na sio wa sasa
sio msimu bali mwaka, hta tukiangalia msimu, Robert top scorer ligi zote ulaya, top scorer champions league, zote hizo messi kahusika pia, kule copa america robert hajacheza wala eurom messi hajacheza, tukiacha ushabiki Robert hana mpinzani sio msimu jana tuu hata msimu huu anaendeleza
takwimu zipi unazozitaka? za most dribliing, penaty donation, nk msimu huu tuu ambao mwaka wake hujesha R9 ana goli 20 messi 3, sasa sijui tuzo hiyo ni ya muda wote au mwaka husikaTatizo lenu mnaleta ushabiki usio na maana....naomba takwimu za Lewandowski tufanye comparison, nimeomba pia kwa wenzio but hakuna aliekuja na majibu, so mmebaki kulialia tu mashabiki wa ronaldo.
copa,copa ,copaLeo Messi in 2021:
[emoji153]49 Games
[emoji460]️40 Goals
[emoji2402]14 Assists
[emoji360]128 Chances created
[emoji2087]209 Dribbles
[emoji966]27×Man of the match
[emoji1628]La liga top scorer
[emoji1628]Copa America top scorer
[emoji1628]Copa America top assister
[emoji1628]Copa America Most MOTM
[emoji1628]Copa America player of the tournament
[emoji471]Copa America winner
[emoji966]Copa del rey MVP
[emoji471]Copa del rey winner
7th ballon d'Or loading for Messi.......[emoji471][emoji238]
umetuletea takwimu nyingi za copa america na copa del rey, za champions league hakuna, sasa sijui kigezo ni copa america tuu na copa delrey
sasa lewa ni strikre, na kazi yake ndio hiyo sasa, within 4 months keshamzidi messi magoli 17, sasa utasema vipi haperformHivi unajuwa kuwa tuzo inatolewa kwa mchezaji alieperfom!!! Wewe unachoangalia ni magoli ndio kigezo chako!
Ebu niambie kijana, Man of the match ana ngapi kumzidi messi? Je, amehusika na magoli mangapi kumzidi Messi?
Ukishakuja na majibu, naomba stats zake kwa ujumla....usikimbie tu
sasa lewa ni strikre, na kazi yake ndio hiyo sasa, within 4 months keshamzidi messi magoli 17, sasa utasema vipi haperform
sasa ninyi mnakuja na stats hadi za most goals outside the box
huwa sana ni mahaba tuu, kama Suarez amesema ame vote kwa messi sababu ni rafiki yake, Mendy wa chelsea hayupo kwenye nominees eti Neymar yupoNikuulize, Tuzo huwa inatolewa kwa vigezo vipi?
huwa sana ni mahaba tuu, kama Suarez amesema ame vote kwa messi sababu ni rafiki yake, Mendy wa chelsea hayupo kwenye nominees eti Neymar yupo
Kwenye soccer ni msimu sio mwaka, kwa tunzo hii inaangaliwa msimu wa 2020/2021sio msimu bali mwaka, hta tukiangalia msimu, Robert top scorer ligi zote ulaya, top scorer champions league, zote hizo messi kahusika pia, kule copa america robert hajacheza wala eurom messi hajacheza, tukiacha ushabiki Robert hana mpinzani sio msimu jana tuu hata msimu huu anaendeleza
Vigezo gani huyo Messi alitishwa goli 8 na LewandoskiNimeomba vigezo wewe unaleta story za mahaba tena, unadhani tuzo za bongo hizo! Ronaldo angeshika nafasi ya kwanza mngeleta kelele zenu na kulialia Lewandowski apewe!!!! Kigezo hapa ni Messi na si mwingine, acheni michuki yenu......
hata tukiangalia msimu ,lewandowsk individual ana msimu bora kuzidi mchezaji yoyote yuleKwenye soccer ni msimu sio mwaka, kwa tunzo hii inaangaliwa msimu wa 2020/2021
Vigezo gani huyo Messi alitishwa goli 8 na Lewandoski
hata tukiangalia msimu ,lewandowsk individual ana msimu bora kuzidi mchezaji yoyote yule