Imevuja Ballon D'OR (2021)

Kwa stats za mwaka jana ni kweli ana deserve kubeba hiyo tuzo, ila messi nje ya camp nou ni ombwee na hayo yanathibitika msimu huu
Washabik wa ronaldo mnaakili mbovu na mihemko tu, hiv kati ya barca na messi nani anamuhitaji mwenzie kwa sasa ? Hay unafuatilia anayoyafanya messi Argentina??
 
Huyu mwamba atachukua hii tuzo na mwakani pia ngoja aanze kuwasha moto
Maana kule Ufaransa atabeba kila kitu
Na huyu ndio mfalme wa soka duniani

Hahaaa ndiyo kawaida yake kamanda, atajifanya kuflop, lakini akirudi ni moto ule ule...kwa sasa haters wanamdhihaki sana kule PSG na kumfagilia jamaa yao wa kumegewa na akina bruno🤣.....kwanza kabisa hawajui kuwa nafasi walizopo ni mbingu na ardhi, Messi ni attacking midfielder na ronaldo ni striker kama akina suarez 🤣 na isitoshe kule PSG wanambania pasi jamaa, so sometimes anajiongeza mwenyewe
 
Reactions: PNC
Washabik wa ronaldo mnaakili mbovu na mihemko tu, hiv kati ya barca na messi nani anamuhitaji mwenzie kwa sasa ? Hay unafuatilia anayoyafanya messi Argentina??
Akili yako wewe ndio mbovu, kwanini umeanza kuweweseka na ronaldo?

Mtu akitoa maoni tofauti na ronaldo basi munahitimisha kuwa huyo ni shabiki wa Messi!

Mtu akitoa maoni tofauti na ali kiba basi mnahisi huyo ni shabiki wa mond

Epuka kuwa na mtazamo wa aina hii kwenye maisha mkuu.
 
Kwa stats za mwaka jana ni kweli ana deserve kubeba hiyo tuzo, ila messi nje ya camp nou ni ombwee na hayo yanathibitika msimu huu

Timu ya taifa ni camp nou pia?

Huko uingereza the big clubs amezifanya nini? Au huko nako ni camp nou!!!! Ujerumani,italy n.k ni camp nou!!!!! Sababu zingine bwana hazina mashiko.....

Kuhusu PSG hakuna asiejuwa wanambania passes, na kila mchezaji analazimisha kuwa attacking midfielder wakati Messi yupo sema hawampi passes, na ndiyo maana ushindi wa tabu sana....kitu kingine kila mchezaji anataka yeye afunge, huu ujinga utawacost sana.
 
Washabik wa ronaldo mnaakili mbovu na mihemko tu, hiv kati ya barca na messi nani anamuhitaji mwenzie kwa sasa ? Hay unafuatilia anayoyafanya messi Argentina??

Mashabiki wa ronaldo imewauma sana hii tuzo ya 7th kamanda wangu, wanajuwa fiika Messi anasitahili lakini kwakuwa hawampendi na hapo hapo wanamkubali kimoyoni watapinga tuu kwakuwa mshkaji wao katupwa kusikojulikana sasa wamehamia kwa Lewandowski 🤣 nimeomba facts/statistics za Lewandowski hakuna hata mmoja aliyethubutu kuleta 🤣 always mti wenye matunda hupigwa mawe
 
Swali lako kuhusu timu ya taifa hapo nadhani unatakiwa uelewe kuwa kusema kwamba messi haperfom timu ya taifa haimaanishi kwamba messi atakuwa anacheza kama fredy anavyo cheza man u, la hasha ila messi katika timu ya taifa kiwango chake kipo chini sana tofauti na barca ninajua wewe unafatilia mpira vizuri kwa hiyo sina haja ya kuanza kukumbusha critics anazo kutan nazo na mashabik wa nyumba au kuwek orodha ya michuano ya nyumbani alio perfom vibaya.

Hoja yako ya pili halijatoka nje ya hoja zangu kumbuka sijasema messi nje ya laliga ila nimesema messi nje ya barca, regardless atakako enda kama atakuwa kwenye kivuli cha barca basi atakuwa salama zaidi sio nje ya hapo

Hoja ya tatu ya uchoyo wa pasi imekaa kidhaifu sana mkuu na umeniangusha maana toka mwanzo nimeona ni mtu ambae unafatilia mpira vizuri sana kwa kuweza kuwek stats nzuri, kitu ambacho nilitegemea useme ni kwamba labda apewe muda zaidi ila hiyo ya uchoy wa pasi imekaa kihisia zaidi
 
Unashangaa ramos kumtetea Messi, je Mourinho anaewakubali wachezaji watatu tuu hapa duniani Messi, Maradona na Pele. Huyu ni Mourinho the big coach na ni taifa moja na Ronaldo.

Huyo ramos amecheza na ronaldo na ni adui mkubwa wa messi, lakini hakuwa mnafiki ukweli kausema, unadhani wenzetu ni kama washabiki wa hapa wabongo mtu anachukiwa kwa ubora wake 😂

Citizen B
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…