BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 5,259
- 10,078
Washabik wa ronaldo mnaakili mbovu na mihemko tu, hiv kati ya barca na messi nani anamuhitaji mwenzie kwa sasa ? Hay unafuatilia anayoyafanya messi Argentina??Kwa stats za mwaka jana ni kweli ana deserve kubeba hiyo tuzo, ila messi nje ya camp nou ni ombwee na hayo yanathibitika msimu huu