BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
- Thread starter
- #41
Wataanza kulalamika mbona mwaka jana haikutolewa
Ndio hapo sasa....mashabiki wa ronaldo tushawazoea kamanda 🤣wakiona mtu wao kapigwa mbali wanahamia kwa mwingine ili tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataanza kulalamika mbona mwaka jana haikutolewa
Kabisa itakuwa ngumuu kukuelewaKwa sababu wewe ni shabiki wa Messi huwezi kunielewa....
Kabisa itakuwa ngumuu kukuelewa
Hahah lugha gan hiyo Hapo juu heading mana hata sielew kwanza sio kwamba mi ni fan wa Ronaldo hapana ni fan wa Messi vizur tuu na shabiki wa Manchester united😁😊Takwimu hazidanganyi mafans wa Ronaldo
Angalia hapa jamaa yenu kapigwa mbali sana na bado mnalialia na Lewandowski 🤣
Mwenye Kipaji chake mwacheni aendelee kusumbua, ameshashindikana kamanda
View attachment 1998390
Tena mchana kweupeLewandoski anakuwa Robbed second time....
Hahah lugha gan hiyo Hapo juu heading mana hata sielew kwanza sio kwamba mi ni fan wa Ronaldo hapana ni fan wa Messi vizur tuu na shabiki wa Manchester united😁😊
Swahiba wangu hata wewe hujaweka takwimu zaidi ya kura tu.. hebu niwekee takwimu za messi binafsi na kitimu vs lewandowskiKivipi? Kama wewe ni mwanasoka njoo na facts za ambae anasitahili
Ustazi, unaposema messi hastahili, umetumia kigezo gani!!! , ebu compare stats zao na wengine wajionee
Swahiba wangu hata wewe hujaweka takwimu zaidi ya kura tu.. hebu niwekee takwimu za messi binafsi na kitimu vs lewandowski
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Oi so we umeangalia nini? magoli au overall stats?
We jamaa una utani kamba hujui shughuli za huyu bwana lewandoskNjoo na vigezo vinavyoonyesha anastahili
We jamaa una utani kamba hujui shughuli za huyu bwana lewandosk
Ramos on Messi.
This is the reason why Messi deserves Ballon d'Or 2021: (Performance Stats) [emoji116]
[emoji153] 48 Games
[emoji460]️ 40 Goals
[emoji2402] 14 Assists
[emoji828]Most Chances Created.
[emoji828]Most Dribbles.
[emoji828]Most Pre-Assists.
[emoji828]Most Key Passes.
[emoji828]Most Through Balls.
[emoji828]Most Progressive Carries.
[emoji828]Most Passes into the final third.
[emoji828]Most Free Kick Goals.
[emoji828]Most Goals from outside of the box.
[emoji828]Most Man of The Matches.
[emoji828]Most Average Rating.
[emoji1628] La Liga Top Scorer.
[emoji1628] Copa América Top Scorer.
[emoji1628] Copa América Top Assister.
[emoji1628] Copa America Most MOTM.
[emoji1628] Copa América Player of The Tournament.
[emoji471] Copa América Winner.
[emoji1628] Copa Del Rey MVP.
[emoji471] Copa del Rey Winner.
[emoji3502]Lewandowski scores a lot of goals, that's why he won the Golden Boot award. but, Ballon d'Or is not only for a goal scoring ability. This award is for The Best player of the year.
[emoji3502]& Leo Messi is the best in Both scorings + Playmaking & in both Club Level + International Level in 2021. So it's Messi's year. [emoji146]
7th Ballon d'Or LOADING for Messi......[emoji352][emoji1033][emoji238]View attachment 1998823
Ame perform kitu Gani Barcelona ni mabingwa la Liga maana ubora wake Haina impact
Robby himself [emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1998827