Imevuja: Mamia ya askari wa Rwanda wauawa huko DRC

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Posts
1,916
Reaction score
2,756
Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.

Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudishwa nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi ya Kanombe, na wale walioshindwa kurejeshwa walizikwa kwenye makaburi ya pamoja huko huko DRC.

Source: The Guardian
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
 
Misiba haijifichi.. kigali kuna misiba mingi kwenye nyumba za wenye watoto wanajeshi
1738923779539.png
 
Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.

Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudisha nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi na Kanombe, na wale walioshindwa kurejeshwa walizikwa kwenye makaburi ya pamoja huko huko DRC.

Source: The Guardian
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Hiii naiyamini Sababu hiii Rwanda walidai kuna raia walikufa kwenye ardhi yao kutokana na makombora eti wanadai yametoka DRC kwaiyo kunauwezokano ikawa ndio ao wamekufia DRC na kuletwa Rwanda!!!

Funika kombe Wamedai vifo w5 lkn ni wengi na kila familia kimya kimya itaambiwa ni ktk Wale 5!!!! Hii ata Israel huwa inafanyaga ivyo!!!

Israel yeye kwenye Vita wanaweza kufa IDF 20 au 28 wao Kwenye public utangaza 3 kisha izo mait Watapewa ndugu lkn kila family itaambiwa ni ktk Wale 3!!! Vile iyo misiba inaenda maeneo Tofaut!!! Wanakamati Special kwaajili ya iyo kazi,,
 
Upande wa Israel waarabu akili hawana la nchi ka watu 9m kanawachezeshea vichapo Kila siku yaani maarabu akili ya vita hayana
 
Tshishekedi mjinga sana Kwa kuwabagua wabanyamlenge ambao ni wazaliwa wa Kongo Kwa kudai eti siyo wakongo.Matokeo yake Nchi yake inajitenga.Safi sana kagame kuwasaidia banyamlenge
 
Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.

Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudisha nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi na Kanombe, na wale walioshindwa kurejeshwa walizikwa kwenye makaburi ya pamoja huko huko DRC.

Source: The Guardian
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
w duh.
 
Waliuliwa wengi halafu wakasonga mbele wakaiteka Sake, Masisi halafu wakasonga mbele wakaiteka Goma, na sasa wanaelekea Bukavu.
Wameiteka ila kwa gharama kubwa na mwisho wa siku SADC wakikubaliana wanawafurusha tena kwa gharama kwa kuuwa tena hao wahuni, ni ngumu sana kwa maslahi ya Congo kwa nchi nyingi kuruhusu waasi wa M23 kuitawala Congo wataendelea kufichama maporini huko,
 
Sasa kama wamepoteza askari wote hao wakaiteka hiyo miji, unafikiri upande wa pili utakuwa umepotea askari wangapi?
 
Upande wa 2 hakuna Jeshi ukipiga kidogo wanajisalimisha, ukishaona mtu anatumia mecenaries ni hali mbaya
 
Hii dunia hii,hakuna haja ya kuwa na mambo mengi ya kujitesa,muda wowote kifo
 
Back
Top Bottom