Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siafiki hii. Sio lazima uwepo kwenye eneo la tukio ili uweze kujua kinachoendelea. Dunia kwa sasa ni kama kijiji. Hakuna kinachoshindikana kujulikana. Kwani yale ya Gaza ni wote walikuwako huko na wakaweza kujua habari mpaka zile za ceasefire? Kwani sote tuko hapo Ikulu ya Tz kwenye kikao cha maraisi? Lakini mbona tunajua kilichoendelea huko kikaoni?Ni kweli
Hilo 👆 👆 halina ubishi. Hoja ni wangapi na ni wa upande gani kati ya hizo pande mbili mahasimu.Vita yoyote haikosi vifo
Achana nae,anajua anachokitaka... ndiyo maana nimemwitikia tu afurahishe nafsiSiafiki hii. Sio lazima uwepo kwenye eneo la tukio ili uweze kujua kinachoendelea. Dunia kwa sasa ni kama kijiji. Hakuna kinachoshindikana kujulikana. Kwani yale ya Gaza ni wote walikuwako huko na wakaweza kujua habari mpaka zile za ceasefire? Kwani sote tuko hapo Ikulu ya Tz kwenye kikao cha maraisi? Lakini mbona tunajua kilichoendelea huko kikaoni?
Wazee huwaketisha chini vijana waliokuwa wanatwangana na kuwaambia: "OK. inatosha sasa then ceasefire; na kila mtu aende kwake akajigange majeraha yake kwa gharama zake". Hahaha.. Inapendeza sana. Hakuna cha eti ni ngoma draw - i.e. wote mmeumia ila mnazidiana viwango tu.Vita Haina Draw
Vita ya mtandaoni mnaweza sana..Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.
Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudishwa nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi ya Kanombe, na wale walioshindwa kurejeshwa walizikwa kwenye makaburi ya pamoja huko huko DRC.
Source: The Guardian
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
HakikaVita ya mtandaoni mnaweza sana..
Unatoa comments kama vile una utapiamlo. Kwani Tshishekedi ana miaka mingapi kuwa rais wa Congo na migogoro ya eastern Congo imeanza lini? Eneo hili limekuwa na vita atangu enzi za Mobutu Sesseseko. Ndo Chanzo cha Congo First war and Congo Second War.Tshishekedi mjinga sana Kwa kuwabagua wabanyamlenge ambao ni wazaliwa wa Kongo Kwa kudai eti siyo wakongo.Matokeo yake Nchi yake inajitenga.Safi sana kagame kuwasaidia banyamlenge
Kwa hiyo Kwa kuwa ana muda mchache wa uongozi ndiyo ashindwe kuumaliza huo mgogoro?Njia ya kumaliza huo mgogoro ni kuacha ubaguzi dhidi ya watu wa kitusi waishio congo ambao walikuwepo tangu miaka ya 1880.Tofauti na hapo ,vita itaendelea vizazi na vizaziUnatoa comments kama vile una utapiamlo. Kwani Tshishekedi ana miaka mingapi kuwa rais wa Congo na migogoro ya eastern Congo imeanza lini? Eneo hili limekuwa na vita atangu enzi za Mobutu Sesseseko. Ndo Chanzo cha Congo First war and Congo Second War.
Tshishekedi mjinga sana Kwa kuwabagua wabanyamlenge ambao ni wazaliwa wa Kongo Kwa kudai eti siyo wakongo.Matokeo yake Nchi yake inajitenga.Safi sana kagame kuwasaidia banyamlenge
Watutsi nyie ni kama wamasaai tu. Mnatangatanga sana. hamtulii mkaishi sehemu moja.Kwa hiyo Kwa kuwa ana muda mchache wa uongozi ndiyo ashindwe kuumaliza huo mgogoro?Njia ya kumaliza huo mgogoro ni kuacha ubaguzi dhidi ya watu wa kitusi waishio congo ambao walikuwepo tangu miaka ya 1880.Tofauti na hapo ,vita itaendelea vizazi na vizazi
Ni sahihi kabisa ni kama wamasai ambao wanapatikana nchi mbili ambazo ni Tanzania na Kenya.Na hatujawahi Kusikia Kenya imewafukuza Kwa kudai ni watanzania au Tanzania Kwa kudai ni wakenya kama ilivyo DRC dhidi ya wa tutsiWatutsi nyie ni kama wamasaai tu. Mnatangatanga sana. hamtulii mkaishi sehemu moja.
Price of war...Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.
Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudishwa nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi ya Kanombe, na wale walioshindwa kurejeshwa walizikwa kwenye makaburi ya pamoja huko huko DRC.
Source: The Guardian
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Tanzania ni nchi ya ahadi kwa jamii zote za dunia. Ndo maana hata kule Wialaya za Ngara, karagwe, kakonko na Kibondo kuna jamii zote za Kirundi na Kinyerwanda lakini tanzania tunakaa nao poa tu. Ila na nyie ndg zangu wafugaji mpunguze fujo ili muweze kuishi kwa amani katika kati ya jamii za Kibantu kama huku Bongo tunavyoishi nao.Ni sahihi kabisa ni kama wamasai ambao wanapatikana nchi mbili ambazo ni Tanzania na Kenya.Na hatujawahi Kusikia Kenya imewafukuza Kwa kudai ni watanzania au Tanzania Kwa kudai ni wakenya kama ilivyo DRC dhidi ya wa tutsi