Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 1,916
- 2,756
wajingaMbona wale M23 ni wanajeshi wa Rwanda kabisa. Hayo mengine anayosema Kagame ni blah blah tu.
Acha wauliwe kenge haoKumbe ni kweli walipelekewa moto.Kumbe south waliwabakabaka wanyarwanda kinamna.
Tolu slim anakanusha- kanush. Eti hahusiki katika mtanange unaoendelea huko DRC.Kumbe ni kweli walipelekewa moto.Kumbe south waliwabakabaka wanyarwanda kinamna.
Hiii naiyamini Sababu hiii Rwanda walidai kuna raia walikufa kwenye ardhi yao kutokana na makombora eti wanadai yametoka DRC kwaiyo kunauwezokano ikawa ndio ao wamekufia DRC na kuletwa Rwanda!!!Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.
Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudisha nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi na Kanombe, na wale walioshindwa kurejeshwa walizikwa kwenye makaburi ya pamoja huko huko DRC.
Source: The Guardian
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Upande wa Israel waarabu akili hawana la nchi ka watu 9m kanawachezeshea vichapo Kila siku yaani maarabu akili ya vita hayanaHiii naiyamini Sababu hiii Rwanda walidai kuna raia walikufa kwenye ardhi yao kutokana na makombora eti wanadai yametoka DRC kwaiyo kunauwezokano ikawa ndio ao wamekufia DRC na kuletwa Rwanda!!!
Funika kombe Wamedai vifo w5 lkn ni wengi na kila familia kimya kimya itaambiwa ni ktk Wale 5!!!! Hii ata Israel huwa inafanyaga ivyo!!!
Israel yeye kwenye Vita wanaweza kufa IDF 20 au 28 wao Kwenye public utangaza 3 kisha izo mait Watapewa ndugu lkn kila family itaambiwa ni ktk Wale 3!!! Vile iyo misiba inaenda maeneo Tofaut!!! Wanakamati Special kwaajili ya iyo kazi,,
w duh.Mamia ya askari wa Rwanda waliokuwa wakipigana bega Kwa bega na waasibwa M23, wamefariki dunia Kwa kipindi Cha mwezi mmoja wa mapigano ya kuuteka mji wa Goma.
Taarifa za ndani zinasema askari waliouwawa walirudisha nyumbani Rwanda na kuzikwa katika makaburi na Kanombe, na wale walioshindwa kurejeshwa walizikwa kwenye makaburi ya pamoja huko huko DRC.
Source: The Guardian
Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role Rwandan troops ‘dying in large numbers in DRC’, despite official denials of role
Wameiteka ila kwa gharama kubwa na mwisho wa siku SADC wakikubaliana wanawafurusha tena kwa gharama kwa kuuwa tena hao wahuni, ni ngumu sana kwa maslahi ya Congo kwa nchi nyingi kuruhusu waasi wa M23 kuitawala Congo wataendelea kufichama maporini huko,Waliuliwa wengi halafu wakasonga mbele wakaiteka Sake, Masisi halafu wakasonga mbele wakaiteka Goma, na sasa wanaelekea Bukavu.
Wameiteka ila kwa gharama kubwa na mwisho wa siku SADC wakikubaliana wanawafurusha tena kwa gharama kwa kuuwa tena hao wahuni, ni ngumu sana kwa maslahi ya Congo kwa nchi nyingi kuruhusu waasi wa M23 kuitawala Congo wataendelea kufichama maporini huko,
Upande wa 2 hakuna Jeshi ukipiga kidogo wanajisalimisha, ukishaona mtu anatumia mecenaries ni hali mbayaSasa kama wamepoteza askari wote hao wakaiteka hiyo miji, unafikiri upande wa pili utakuwa umepotea askari wangapi?
Ni kweliMtu Yuko tukuyu naye anajifanya anajua migogoro WA DRC ajabu hii