Imevuja: Maromboso yuko kwenye penzi zito na Queen Darleen

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.

Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso .

Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini Queen Darlin ameonekana kukunwa vilivyo na Muhogo wa Jang'ombe wa Mboso na ameshindwa kabisa kujizuia matokeo yake anaonesha waziwazi mahaba niue kwa mpenzi wake huyo bila kujali watu watasemaje juu ya ki Ben ten chake hicho [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huko Sauzi walipoenda kwenye sherehe ya Nillan wamegandana kila mahali kama kumbikumbi vile.

Na kwa sasa Diamond hana budi kumuheshimu Mboso kama shemeji yake na wala si kama msanii wake tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona majimama safari hii yamechachamaaa kujibebea vi Ben ten yamechoka kuguswa guswa na kutiwa tu shombo na vizee sasa wanataka wakamuliwe haswaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] .

 
Hakika penzi ni kikohozi....kama mariah carey x nick canon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…