Imevuja: Maromboso yuko kwenye penzi zito na Queen Darleen

Imevuja: Maromboso yuko kwenye penzi zito na Queen Darleen

Queen Darleen anapenda kujiachia sana kwenye picha na viben 10.
 
!
!
Aisee. Kama zizini tu huko wcb. Dimpoz alikuwa anamkula bi Sandra. Sasa huyu Mboso anamkula huyo Dada wa diamond, usishangae baadae kukuta Mavoko anamkula esma platnuz
 
Wahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.

Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso .

Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini Queen Darlin ameonekana kukunwa vilivyo na Muhogo wa Jang'ombe wa Mboso na ameshindwa kabisa kujizuia matokeo yake anaonesha waziwazi mahaba niue kwa mpenzi wake huyo bila kujali watu watasemaje juu ya ki Ben ten chake hicho [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Huko Sauzi walipoenda kwenye sherehe ya Nillan wamegandana kila mahali kama kumbikumbi vile.

Na kwa sasa Diamond hana budi kumuheshimu Mboso kama shemeji yake na wala si kama msanii wake tu.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona majimama safari hii yamechachamaaa kujibebea vi Ben ten yamechoka kuguswa guswa na kutiwa tu shombo na vizee sasa wanataka wakamuliwe haswaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] .

View attachment 658119
Huyu binti nj mteja wa rivasi!? Mbona anapenda sana kuonyesha ki shoes chake
 
Mama ameoa kiben 10, mtoto ameolewa Na jimama Na huyu tena anadate kiben 10 tena aisee hii familia imelaaniwa sio bure
 
Back
Top Bottom