Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fulsa===>>>fursaChangamkia fulsa
Huyu binti nj mteja wa rivasi!? Mbona anapenda sana kuonyesha ki shoes chakeWahenga wanasema mapenzi ni kikohozi hayawezi kufichika.
Msemo huu umethibitishwa na couple inayokuja kwa kasi kati ya Queen Darlin na Maromboso .
Mboso alijitahidi sana kuficha ficha lakini Queen Darlin ameonekana kukunwa vilivyo na Muhogo wa Jang'ombe wa Mboso na ameshindwa kabisa kujizuia matokeo yake anaonesha waziwazi mahaba niue kwa mpenzi wake huyo bila kujali watu watasemaje juu ya ki Ben ten chake hicho [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huko Sauzi walipoenda kwenye sherehe ya Nillan wamegandana kila mahali kama kumbikumbi vile.
Na kwa sasa Diamond hana budi kumuheshimu Mboso kama shemeji yake na wala si kama msanii wake tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona majimama safari hii yamechachamaaa kujibebea vi Ben ten yamechoka kuguswa guswa na kutiwa tu shombo na vizee sasa wanataka wakamuliwe haswaaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] .
View attachment 658119
Yule alisema kupambana mpaka supu ya pwezayule wa wimbo kijuso hamtaki, rayvanny mtu mbaya!