Imewahi kukutokea ukazidishiwa hela ulipoenda kutoa pesa? Ulichukua hatua gani?

Imewahi kukutokea ukazidishiwa hela ulipoenda kutoa pesa? Ulichukua hatua gani?

Hii imenikuta leo Daladala nilipanda nikampa 5000 nauli ni 1000 akaenda kukusanya zingine kwa sababu alikuwa hana change, alikuja kunipa 9000 hapohapo nikamrudishia 5000 yake nikabakiwa na 4000 yangu...

Muda mwingine unajiepusha na mikosi midogo midogo
 
Kuna jamaa nimeenda dukani kwake duka la Mpesa aniwekee sh 4100 ameniongezea sifuri moja!

Imewahi kukutokea ukazidishiwa hela ulipoenda kutoa pesa? Ulichukua hatua gani?
swali la kijinga sana ,,sasa hicho ni kitu Cha kukuweka njia panda???
 
Handeni Tanga, February 2022

Nilienda kuweka 150,000

wakala akaniwekea 1,500,000

Nilimrudishia. Alinishukuru sana
 
Back
Top Bottom