N nanonya JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 238 Reaction score 388 Jan 14, 2025 #21 Tenda wema nenda Zako
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jan 19, 2025 #22 Hii imenikuta leo Daladala nilipanda nikampa 5000 nauli ni 1000 akaenda kukusanya zingine kwa sababu alikuwa hana change, alikuja kunipa 9000 hapohapo nikamrudishia 5000 yake nikabakiwa na 4000 yangu... Muda mwingine unajiepusha na mikosi midogo midogo
Hii imenikuta leo Daladala nilipanda nikampa 5000 nauli ni 1000 akaenda kukusanya zingine kwa sababu alikuwa hana change, alikuja kunipa 9000 hapohapo nikamrudishia 5000 yake nikabakiwa na 4000 yangu... Muda mwingine unajiepusha na mikosi midogo midogo
S Simba mundu JF-Expert Member Joined Feb 16, 2018 Posts 767 Reaction score 1,058 Feb 20, 2025 #23 tamu 3 said: Kuna jamaa nimeenda dukani kwake duka la Mpesa aniwekee sh 4100 ameniongezea sifuri moja! Imewahi kukutokea ukazidishiwa hela ulipoenda kutoa pesa? Ulichukua hatua gani? Click to expand... swali la kijinga sana ,,sasa hicho ni kitu Cha kukuweka njia panda???
tamu 3 said: Kuna jamaa nimeenda dukani kwake duka la Mpesa aniwekee sh 4100 ameniongezea sifuri moja! Imewahi kukutokea ukazidishiwa hela ulipoenda kutoa pesa? Ulichukua hatua gani? Click to expand... swali la kijinga sana ,,sasa hicho ni kitu Cha kukuweka njia panda???
Simpleboylife JF-Expert Member Joined May 20, 2021 Posts 634 Reaction score 1,247 Feb 21, 2025 #24 Handeni Tanga, February 2022 Nilienda kuweka 150,000 wakala akaniwekea 1,500,000 Nilimrudishia. Alinishukuru sana
Handeni Tanga, February 2022 Nilienda kuweka 150,000 wakala akaniwekea 1,500,000 Nilimrudishia. Alinishukuru sana