Imewahi kukutokea?. .

Imewahi kukutokea?. .

kila mtu anahitaji privacy/space, mie ikinitokea nitamkwepa kimtindo ili nisimkwaze, na ninapomuona ameamka na kisiranichahe hatakikuongea anataka kuwa kivyake namkwepa mpaka atakapo kuwa ok
 
sababu ni nyingi sana, ila hormones, past experiences hasa zile mbaya,ugumu wa maisha, maudhi ambayo yanatokana na watu wengine, kushindwa kufikia malengo au kutokufanikiwa katika jambo fulani, kuishiwa. na hili ndio tatizo kubwa siku mkiwa mmeishiwa kila mtu ananuna na hii ni kwa wote

Hapo kwenye finance kuna ishu! Kwakweli lack of financial security is a threat to lots of marriage
 
kila mtu anahitaji privacy/space, mie ikinitokea nitamkwepa kimtindo ili nisimkwaze, na ninapomuona ameamka na kisiranichahe hatakikuongea anataka kuwa kivyake namkwepa mpaka atakapo kuwa ok

Ndo hapo mnakuta mnakwepana kila siku. Mana yeye anakukwepa leo, wewe kesho!
 
Back
Top Bottom