Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haaaa haaa haaaa Ngoma zake anazo ghetto??!!!!umetshaaaa huenda kweliiPANTHERA LEO,
Pia ameimba na Nicki Minaj, Celin Dion, Phil Collins, Jay Z na Kanye West bila kumsahau Calvin Harris na David Gueta...sema hapendagi shobo ngoma zake anazo gheto
Kwakua dogo langu ni producer nadhani kupitia clouds atafunguliwa dunia atakua vile anavyotaka.. kama diamond alivyofunguliwa dunia amekua vile anavyotakakuna huyu jamaa anaitwa Badest47 mzee wa nikagongee promo ameipata baadae nyimbo ikiwa ishasumbua mpaka basi Wakaona isiwe mbaya wamsogeze mjengoni
@Viol,Wengine bifu zimewafanya wapotee pamoja na kipaji... Wapo wenye vipaji vya kawaida sanaa hizi tv na redio zinawabeba mnoo
fHuu wimbo ulishakuwa mkubwa Tanzania nzia na mpaka akina Milladi wanamtafuta kwa ajili ya interview goma lilikuwa lishakolea Mbeya ni nyumbani Badest ni mshikaji wangu ila nliijua hii nyimbo nkiwa Arusha na nmekuja jua kuwa ni nyimbo ya mshkaji 5th month letter ikiwa nshaiskia zaidi ya mikoa mi3Hiyo ngoma Clouds ndo wameileta mjini..Hata yeye mwenyewe amekiri hilo..kaangalie interview aliyofanya na XXL..Hiyo ngoma ilikuwa kubwa huko Mbeya na sio Tanzania nzima
Ckatai ila jamaa alikuwa ashafika mahali effort waliyotumia clouds ni ndogo sana ukilinganisha na mahala alipokuwa amefikaYes wakati Niko mbeya huo ndio ulikuwa wimbo wao wa taifa,pili kwenye huu muziki bila kuonana na wadau wa muziki wenye muziki wao huwezi kutoboa
Shida ni moja tu ngoma ilikuwa kubwa mbeya tu,but clouds wamempa promo ngoma imekuwa kubwa Tanzania nzima na jamaa akomae tu na clouds atatoboa km hajabahatishaCkatai ila jamaa alikuwa ashafika mahali effort waliyotumia clouds ni ndogo sana ukilinganisha na mahala alipokuwa amefika
all in all wanamchango wao pia as media station
Celebrity forum au umekosea njia...Kila mtu angefatilia maisha yake dunia ingekuwa nzuri sana.
Bila remix na shilole hiyo ngoma isingekuwa hit song mjini, guess nani walioileta mjini CMG hao hao!..Ckatai ila jamaa alikuwa ashafika mahali effort waliyotumia clouds ni ndogo sana ukilinganisha na mahala alipokuwa amefika
all in all wanamchango wao pia as media station