Imewezekaje bila Clouds FM?

Imewezekaje bila Clouds FM?

Ukimtoa diamond na wcb yake kwa sasa hivi hakuna msanii yoyote yule Tanzania anayeweza kushindana na clouds media na akatoboa sio rahisi hats kidogo cuz hawa jamaa wana blueprint ya bongofleva na ukizinguana na clouds kuna wadau wengi tu was muziki utazinguana nao then utatengwa itakuwa ngumu kwako kusurvive
 
Clouds redio yao inasikika mpaka vijijini wakati huo hamna redio zingine zinazosikika nje ya miji,halafu clouds walijiweka zaidi kutoa burudani ya mziki ndo maana walisumbua sana,ila tofauti imekuja kwenye social media na internet.

Sasa hivi wengi wana smartphones na wasanii wajanja hutumia social media kujipromote,wimbo upigwe au usipigwe redioni siyo ishu utaona tu video au audio kwenye simu,na wengine wanalipa matangazo hadi YouTube au sponsored kwenye insta na Facebook.

Nguvu ya social networks imekuwa kubwa
 
PANTHERA LEO,
Pia ameimba na Nicki Minaj, Celin Dion, Phil Collins, Jay Z na Kanye West bila kumsahau Calvin Harris na David Gueta...sema hapendagi shobo ngoma zake anazo gheto
Haaaa haaa haaaa Ngoma zake anazo ghetto??!!!!umetshaaaa huenda kwelii
 
kuna huyu jamaa anaitwa Badest47 mzee wa nikagongee promo ameipata baadae nyimbo ikiwa ishasumbua mpaka basi Wakaona isiwe mbaya wamsogeze mjengoni
Kwakua dogo langu ni producer nadhani kupitia clouds atafunguliwa dunia atakua vile anavyotaka.. kama diamond alivyofunguliwa dunia amekua vile anavyotaka
 
@Viol,Wengine bifu zimewafanya wapotee pamoja na kipaji... Wapo wenye vipaji vya kawaida sanaa hizi tv na redio zinawabeba mnoo
 
@umbi Sanchez,

Unasema kosa la CMG ni kumkweza diamond??

na bado unasema hizo nyimbo hazijapitia CMG?? wakati dimond alikuwa mtoto wa clouds, akalelewa akakuzwa akaanzisha WCB

Wasafi TV and FM ni hao hao CMG, hapa unamsema investor mmoja anaitwa KUSAGA ambaye alianzisha battle ya RUGE na DIAMOND....ila wote wakiwa wake

wasafi ni ya kusaga pia wa CMG
 
Clouds wanakwambia upige kura alafu lazima washinde Mr Blue, Ally kiba, Fid Q, Konde, Richi mavoko, John makini, Vannesa, Jux, Nandi......
 
Pia hizo hizo bifu zinawabeba
@Viol,Wengine bifu zimewafanya wapotee pamoja na kipaji... Wapo wenye vipaji vya kawaida sanaa hizi tv na redio zinawabeba mnoo
 
Sumbi Sanchez,
huwa hamuwezi kumaliza wiki mpaka muwataje Clouds na kufanya comparison na Msanii Diamond, unachotakiwa kufahamu teknolojia imekuwa sana kwa sasa, na kuna idadi kubwa sana ya watu hawasikilizi redio kwa sasa ila ni watumiaji wakubwa wa Intaneti,

Msanii yeyote kwa sasa fokasi yake inatakiwa iwe Online (Digital platform) na sio Redion, Wasafi wamejikita sana huko kuliko msanii yoyote Tanzania,

Online itakupa shoo za nje, itakupa pesa kupitia Views, itakupa Endorsement,
Redioni watakusikiliza watu wa tandahimba, Dodoma, Sumbawanga, ila ambae yuko Marekani hawezi, ila akiingia You tube atakuta taarifa, shows, etc na anaweza kukutafuta nakufanya biashara nawewe,

so hits za wote hao ulizowataja, njia kubwa waliotumia sio Redio kuna njia mbadala nyingi tu, Nenda MKITO kule kuna wasanii unaweza ukawa huwajui ila wanaingiza pesa kimyakimya kwa downloads tu
 
Hiyo ngoma Clouds ndo wameileta mjini..Hata yeye mwenyewe amekiri hilo..kaangalie interview aliyofanya na XXL..Hiyo ngoma ilikuwa kubwa huko Mbeya na sio Tanzania nzima
fHuu wimbo ulishakuwa mkubwa Tanzania nzia na mpaka akina Milladi wanamtafuta kwa ajili ya interview goma lilikuwa lishakolea Mbeya ni nyumbani Badest ni mshikaji wangu ila nliijua hii nyimbo nkiwa Arusha na nmekuja jua kuwa ni nyimbo ya mshkaji 5th month letter ikiwa nshaiskia zaidi ya mikoa mi3

Inshort clouds wamemtambulisha zaidi jamaa japo ngoma ilishakuwa imehit
 
Yes wakati Niko mbeya huo ndio ulikuwa wimbo wao wa taifa,pili kwenye huu muziki bila kuonana na wadau wa muziki wenye muziki wao huwezi kutoboa
Ckatai ila jamaa alikuwa ashafika mahali effort waliyotumia clouds ni ndogo sana ukilinganisha na mahala alipokuwa amefika
all in all wanamchango wao pia as media station
 
Ckatai ila jamaa alikuwa ashafika mahali effort waliyotumia clouds ni ndogo sana ukilinganisha na mahala alipokuwa amefika
all in all wanamchango wao pia as media station
Shida ni moja tu ngoma ilikuwa kubwa mbeya tu,but clouds wamempa promo ngoma imekuwa kubwa Tanzania nzima na jamaa akomae tu na clouds atatoboa km hajabahatisha
 
gonamwitu,
Mondi kagombana na wafanyakazi wa Clouds ..sio wamiliki (familia ya Kusaga)..Bila ya Joe Kusaga Mondi angekuwa anapiga singeriiTandale na wakina manifongo
 
Kila mtu angefatilia maisha yake dunia ingekuwa nzuri sana.
 
Ckatai ila jamaa alikuwa ashafika mahali effort waliyotumia clouds ni ndogo sana ukilinganisha na mahala alipokuwa amefika
all in all wanamchango wao pia as media station
Bila remix na shilole hiyo ngoma isingekuwa hit song mjini, guess nani walioileta mjini CMG hao hao!..
CMG wanajua kucheza na muda!.
 
Back
Top Bottom