The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Whatever jibu hoja kwanzaUmetoa kwa sativa
lakini Je ni uongo?Umetoa kwa sativa
Una uhakika ni passport yake kweli?..chanzo cha picha ni wapi?lakini Je ni uongo?
Alikwa,tapeli...jambazi alikuibia nini?Imenishangaza sana Ushiriki wa huyu Jambazi kwenye Harambee ya CCM.
Ina maana aliarikwa.......! Wale Polepole anaowaita Wahuni ndiyo wamemualika huyu Taperi.....!!!
Then Wana CCM wa kawaida wanaona ni sawa tu.
Una uhakika picha ni halisi?Whatever jibu hoja kwanza
Je Habhinder ni Raia wa Tanzania?Una uhakika ni passport yake kweli?..chanzo cha picha ni wapi?
Tuthibitishie kama amejihusisha na siasa za CCM.GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
Tuthibitishie kama amejihusisha na siasa za CCM.
HakikaCcm ilishajifia mda mrefu kwa sasa wameamua liwalo na liwe
Tangu lini?lakini Je ni uongo?
Alikwa,tapeli...jambazi alikuibia nini?