Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.

Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.

Hayo ni makaratasi tu.Kwao ni Pawaga Iringa.Mimi mwenyewe nina uraia wa Australia lakini nipo Bukene nakagua tumbaku.
 
Imenishangaza sana Ushiriki wa huyu Jambazi kwenye Harambee ya CCM.

Ina maana aliarikwa.......! Wale Polepole anaowaita Wahuni ndiyo wamemualika huyu Taperi.....!!!
Then Wana CCM wa kawaida wanaona ni sawa tu.
Alialikwa✔️
Tapeli✔️
 
Nchi imetekwa na wahuni jwtz tiss wapo kimyaaaaaaa
Screenshot_2025-08-12-14-21-36-1.png

Sijui kama Umenielewa.
 
Wafadhili wa chama ruksa kuwa na uraia pacha!

Enzi za JK balozi wa China Tz alikuwa akionekana sana kwenye majukwaa ya siasa za CCM.
 
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.

Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.

Sasa hivi sheria haitumiki, kuna kikosi kazi cha matapeli kimeshika hatamu
 
Imenishangaza sana Ushiriki wa huyu Jambazi kwenye Harambee ya CCM.

Ina maana aliarikwa.......! Wale Polepole anaowaita Wahuni ndiyo wamemualika huyu Taperi.....!!!
Then Wana CCM wa kawaida wanaona ni sawa tu.
WEngine hua hammsikilizi Hp..huyu ni mhuni first grade..ref alivyoelezea ishu ya escrow
 
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.

Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.

Halafu kuna watu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.📌🔨
 
Back
Top Bottom