Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Tena akiwa amevaa nguzo za Kijani za Chama,
chuma Kuna Kitu alitukosea sana watanzania ni kutomalizana na hawa wahuni
By pole pole
 
Labda huyo ni jasusi mmoja aliyetumia pasi ya Kenya mwenye special mission. Ni mambo ya kawaida kwa majasusi kuwa na nyaraka za nchi nyingine wakiwa kwenye kazi zao.
 
JWTZ Wamepewa yutong wapo kimya.
Yutong ni mzigo mkubwa, ndani ya miaka minne hadi mitano hamna kitu zaidi ya chuma chakavu.

Urusi ambaye ni mshirika mkubwa wa China kibiashara wamekataa na Kurudisha baadhi ya magari walionunua kutoka China baada ya kugundua hayana ubora unaotakiwa.

Je, JWTZ walizongatia ubora na usalama wa hayo magari au walipokea tu?

JWTZ wangeweza kununua engine zilizo bora mpya za Scania au Mercedes Benz na kuunda mabodi ya mabasi wenyewe kwa viwango vinavyotakiwa.

Jeshi lisipokuwa makini linaweza kupokea hata silaha zisizo na ubora kutoka kwa wahuni au wafanyabiashara wa nchii hii.
 
Sasa mbona yy hajatekwa?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Thibitisha kama hizo nyaraka si zake na uweke nyaraka zake unazosema ni halali.

Vinginevyo Shut Up!
Yaani ulete picha wewe halafu nithibitishe mimi!?..uko sawa kichwani!?.. mimi siwezi leta halisi sababu sina fursa ya kufunuliwa passport na singh,nyinyi aliwafunulia wapi hiyo passport mkapiga picha!?
 
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.

Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.

Ccm ni laana ya taifa hili. Wanajifanyia wanayo taka hata yaliyokinyume cha sheria
 
Alikuwa anavaa nepi huyu

Ova
Mtu mwizi,fisadi halafu unampa plea bargain kwa kiasi kidogo cha fedha tofauti na 'aliyoiba'?..kama siyo uhuni ni nini!?..kutaka kujipatia kipato kwa kutumia madaraka,hela za plea bargain ziko wapi?
 
Huyu si alishakufa kipindi cha Corona baada ya kutoka jela.
 
Hivi CCM siku wakitoka madarakani, kwa haya mambo wanayofanya hadharani, wanatarajia watakuja kupata hata upenyo wa kuwa chama cha wauza mkaa Tanzania?
 
Back
Top Bottom