masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Uhamiaji ina hoja ya kujibu.Duuuhhh
Uhamiaji ina hoja ya kujibu.Duuuhhh
Uhamiaji ya CCM haiji jibu hiyo hoja nguuu😔Uhamiaji ina hoja ya kujibu.
Kabisa...watu wanaseleleka na mali za umma..hatari
nchi yetu ni salama na tunasonga mbele vizuri sana kama taifa,
View attachment 3442876
Jamaa zetu hawa TISS na Uhamijai wao wanakazana na WaEthiopia, Wasomali na waMalawi nchini.
Vidagaa masikini wanaotafuta na kuhemea maisha.
Huku wanakula sahani moja na wahamiaji haramu kama huyu jamaa fisadi.
Kwa mtaji huu, vyombo viko likizo.
Kuwa mzalendo..ikibidi mwaga damu yako kwa nchi yako pendwa...Kazi yao ni kuhangaika na akina Tundu Lissu,Gwajima na Kakobe.
Wanapambana na wasema ukweli,ubinafsi umekuwa mkubwa sanaView attachment 3442876
Jamaa zetu hawa TISS na Uhamijai wao wanakazana na WaEthiopia, Wasomali na waMalawi nchini.
Vidagaa masikini wanaotafuta na kuhemea maisha.
Huku wanakula sahani moja na wahamiaji haramu kama huyu jamaa fisadi.
Kwa mtaji huu, vyombo viko likizo.
TISS ya awamu hii ni kama enzi za kikwete imeoza inanukaView attachment 3442876
Jamaa zetu hawa TISS na Uhamijai wao wanakazana na WaEthiopia, Wasomali na waMalawi nchini.
Vidagaa masikini wanaotafuta na kuhemea maisha.
Huku wanakula sahani moja na wahamiaji haramu kama huyu jamaa fisadi.
Kwa mtaji huu, vyombo viko likizo.
Unaamini uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na watanzania pekee?GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.
Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.
Kwa kweli.Kuwa mzalendo..ikibidi mwaga damu yako kwa nchi yako pendwa...
Hilo siyo swali.Unaamini uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na watanzania pekee?
Amekuja kupigania uhuru gani hapo? We hata sheria huzijuiUnaamini uhuru wa nchi hii ulipiganiwa na watanzania pekee?
Okelo alikuwa mgogo au?kama okelo aliwasaidia mkapata uhuru iweje muone nongwa kwa nduguye ambaye anafaidi jasho la mkenya mwenzie?au shukurani ya punda?Amekuja kupigania uhuru gani hapo? We hata sheria huzijui
huyu anajulikana dunian ni tapeli mkubwa ,unajua Kwa nn aliwekwa ndan na Magu?Alikwa,tapeli...jambazi alikuibia nini?
Ilipaswa isomeke "usitoe rushwa ili upigiwe kura au kushawishi mtu asipige kura". Vinginevyo wangeandika " usipokee rushwa ili upige au usipige kura. Hiyo kidogo inaleta mantiki.Nje ya mada!!!View attachment 3440090
Hivi hawa TAKUKURU wana akili kweli hawa?oneni upuuzi wao,huo muda nani anao wa kufanya huu ujinga?