Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Tanzania kila kitu kinawezekana, hujawahi kusikia story za ghost ships at Dar port?..

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Ilikuwa dosari kubwa yule Ndugu kuwemo mule ndani ya ukumbi. Jamaa aliyeshtumiwa na kesi kubwa bado anakaa na Mhe. Rais kwenye ukumbi moja. No NO NO NO NO.
 
Pesa haina Uraia kaka, ulikuwa hujui hili hadi leo? Hii ndiyo CCM.
 
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.

Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.

Halafu wanaojiita uslama wa taifa wapo tu?!! Hii ni hatari sana kwa uhai wa taifa la Tanzania kwa sasa kwa sababu hatuna msimamizi makini wa 'National Security and Economic Intelligence'
 
CCM haijawahi kuwa na Aibu na haitokuja kuwa nayo hadi itimuliwe madarakani na Viongozi wake wa sasa na wazamani Wakamatwe
Mkuu @ Erythrocyte

Neno mapinduzi katika jina la chama cha kijani ndio laana itakayokaa miaka lukuk ikiwatesa wanachama wao na kuambukizwa kwa wananchi wasio na chama au vyama vingine dhaifu kwa kuendekeza kudanganywa.

Nina shauri chama cha CDM kiboreshe jina la chama chao kiwe ni

Chama cha Demokrasia, Haki na Uchumi yaani kwa kifupi CHADEHU ili kufuta fadhaa iliyosababishwa na uongozi wa juu uliopita ambao kwa yakini ulikuwa ni ndumila kuwili wakishirikiana kwa siri pampja na mahafidhina wa CCM kuhuju upinzani wa kweli kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wote kwa sawa.

Ninapendekeza neno maendeleo liondolewe kujitofautisha lakini kujenga imani kwa wananchi. Hata hivyo kwa kujielekeza kwenye Uchumi ndio utachochea maendeleo ya nchi na wananchi mmoja mmoja.

Ni USHAURI TU
 
Wafadhili wa chama ruksa kuwa na uraia pacha!

Enzi za JK balozi wa China Tz alikuwa akionekana sana kwenye majukwaa ya siasa za CCM.
Viongozi Waislamu ni maadui no 1 wa taifa letu ...hakuna mwenye akili asiye tambua jambo hili
 
Ni ajabu sana...watu wanajitengenezea Mazingira ya kupiga pesa...
 
Haya majizi na mafisadi papa yamepata upenyo sasa
 
IMG-20250814-WA0212.jpg


Jamaa zetu hawa TISS na Uhamijai wao wanakazana na WaEthiopia, Wasomali na waMalawi nchini.
Vidagaa masikini wanaotafuta na kuhemea maisha.
Huku wanakula sahani moja na wahamiaji haramu kama huyu jamaa fisadi.
Kwa mtaji huu, vyombo viko likizo.
 
View attachment 3442876

Jamaa zetu hawa TISS na Uhamijai wao wanakazana na WaEthiopia, Wasomali na waMalawi nchini.
Vidagaa masikini wanaotafuta na kuhemea maisha.
Huku wanakula sahani moja na wahamiaji haramu kama huyu jamaa fisadi.
Kwa mtaji huu, vyombo viko likizo.
Kazi yao ni kuhangaika na akina Tundu Lissu,Gwajima na Kakobe.
 
Back
Top Bottom