Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Imewezekanaje Harbinder Sethi kushiriki siasa za CCM huku akiwa ni raia wa Kenya?

Mtu mwizi,fisadi halafu unampa plea bargain kwa kiasi kidogo cha fedha tofauti na 'aliyoiba'?..kama siyo uhuni ni nini!?..kutaka kujipatia kipato kwa kutumia madaraka,hela za plea bargain ziko wapi?
jiwe alijua zilpokuwepo
 
Tanzania nchi flani shamba la bibi utakua salama hata kama ni jambazi ukiwa CCM angalia ni lini Tanzania tumeanza kuruhusu uria pacha hapana. Mzee wa watu Magufuli alikua anajitahidi kuishepu Tanzania ndo ivyo Tena no Wonder kila kitu kina wezekana Tanzania Lissu sasa hivi ni Muhaini akiamia CCM anafutiwa kesi. Kenya wana ukabila ila inapokuja Suala la nchi uwa wanaugana wakua wa moja. Kwetu vyama kwanza nchi baadae. Tumegawanyika kwa itikadi za vyama hakuna jambo tena la kutuleta pamoja. Tunazidiwa na Kenya pamoja na Ukabila lakini suala linalohusu nchi wanakua wa moja. Hata Lissu ingekua Kenya hasingekua jela
 
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.

Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.

Sitaki ku judge uraia wake but... Huyu si ndio walikua mastermind wa dili la iptl? Na tayar alishtakiwa je tukisema CCM na ufisadi ni chanda na pete tunakosea?
 
Nadhan kwa miaka ya hivi karibuni naoma awamu hii huenda ndio awamu mbovu zaid toka uhusu administratively.
Yaani ni kama kila kitu kiko collapsed
 
GT
Naendelea kusema maCCM ni Wahuni sana . Huyu Seth toka.mwaka 2016 ni Raia wa Kenya inakuwaje anaingia kwenye siasa za maCCM.

Halafu kuna wqtu wanasema nchi hii ina usalama wa taifa, hakuna kitu kama hicho hao mi huwa nawaita wahuni tu walio kwa ajili ya matumbo yao.

HAPO NDIPO NILIPO KUWA NAMSHUSHA THAMANI JPM ...HUYO SETH ALITAKIWA KUULIWA NI MTU HATARI SANA KWA TAIFA ...HAO NDIYO WANARATIBU MAUAJI NCHINI KWA KUMTUMIA SAMIA
 
Imenishangaza sana Ushiriki wa huyu Jambazi kwenye Harambee ya CCM.

Ina maana aliarikwa.......! Wale Polepole anaowaita Wahuni ndiyo wamemualika huyu Taperi.....!!!
Then Wana CCM wa kawaida wanaona ni sawa tu.
Kama vile ww ni mgeni Tz! Au hujui mtiririko wa vipaumbele vyao muhimu au hufatlii mambo yao na CAG!
Walixema zile 100bi/- ni za uchaguzi - endlea kufatlia utajua vipaumbela vikuu vinavyobadlika - tartiiib ...nk
 
Back
Top Bottom