IMF April 2019 GDP Figures. Kenya Hits $99 Billion.. Tanzania Overtaken by Ghana

Am i that important that i have to be called in such useless discussion?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1) Tz is and has never been in competition with any one. As long as a steady 7% groth is maintained and 3.5% inflation and less than 22% unemployment. They are good

2)When IMF annouced that kes is 17.5% inflated, we coundnt breath overhere due to constant verbal diahorrear of jubilee minion. But today IMF is a "hero" and their data is trueπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

3) Patia huyu mzee hapa GDP akuleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Kafie hukoo. Chwala hii
 

Povu mwana govi Povu. Liinchi inaongozwa na giza inazidi kuwa giza tu
 
Nimefurahi kuona umeme umerudishwa arusha. Ama umeomba 4n ya jirani?
Hii shida ya umeme itakwisha lini?
ichoboy01
 
Ok wameandika kweli tupu,,,,,!!
Sa imesaidia mini KQ inayokopewa hela?
Imesaidia nini waturkana na wakapoku?
Imesaidia nini waMATHARE?
imesaidia nini WAKIBERA? And the like
Hayo ni makaratasi tu.

Washington Post ikiandika Tz inaongoza Afrika haina maana kama ss bado maskini wa kutupwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
joto la jiwe yani umepigwa na butwaa hadi ukasahau kuongeza "failed state" hata Angola na Ethiopia mlizokuwa mnazisifu tumezipita na bado mtazidi kutunusa tako.
 
Bwana kinyesi anamwaga povuuuu πŸ˜…πŸ˜…
Geuka ulole, geuka vizuri udungwe πŸ’‰ πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Unasikiaje hiyo sindano
Ninyi tunawajua ni watu wa kupenda SIFA, hata kama watu wanakufa njaa, so long as GDP is bigger, it is OK?. Endeleeni kukopa, kufa njaa, na scandals za kuiba pesa, sisi tunafanya miradi kwa pesa zetu, inflation inazidi kupungua, unemployment is the lowest in the history of this zone.
GDP ya makaratasi hoyeeeeeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Yote hayo ni yale yale wana Lumumba mumepewa muimbe kama mapambio.
Matatizo ya KQ ni ya kibiashara na yanaendelea kutatuliwa
Waturkana na Wapokot huko ni mkoa unaokumbwa na kiangazi, ni mambo ambayo hauwezi ukayabadilisha maana zaidi ya nusu ya nchi yetu ni kame na jangwa, lakini ile kwamba ni Wakenya huwa wananufaika kutokana na juhudi za mikoa iliyo sawa, lakini wangekua Tanzania wangekufa wengi maana nchi yenu ina rotuba kila sehemu lakini bado maskini wa kutupwa.
Kibera na Mathare ni makazi duni yanayoboreshwa kila siku kadiri uchumi wetu unavyozidi kukua, hamna taifa dunia hii isiyokua na maeneo yenye makazi duni, nenda Soweto, Afrika Kusini.
 
Bwana kinyesi anamwaga povuuuu πŸ˜…πŸ˜…
Geuka ulole, geuka vizuri udungwe πŸ’‰ πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
Naona umeguswa penyewe..Wacha nikupe tena taswira ya wananchi 1.4m Kenya..Kimbia huko uwapatie kikombe cha GDP wakate kiu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚β˜β˜β˜
 

You are the one who values and always quotes IMF data, that's why I was wondering why you had not brought to our attention their most anticipated annual report. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Tanzania has always been chasing Kenya. Many times your countrymen have stated that they will catch up soon. Perhaps you can tell us what's happening?
Ain't the military, korosho, forex policies not working?
 
joto la jiwe yani umepigwa na butwaa hadi ukasahau kuongeza "failed state" hata Angola na Ethiopia mlizokuwa mnazisifu tumezipita na bado mtazidi kutunusa tako.
Ni mwendawazimu pekee kama ninyi ndio anayeweza kuamini ujinga huu, kwa uchumi gani wa Kenya kufikia huko, 2014 Kenya ilipofanya rebase ya uchumi GDP alikua $57B, kwa kazi ya wastani wa kujua kwa 5.6% ghafla eti mumefika $80$ last year, labda kama mnaruka kwa ndege, ila kama ni uchumi, endeleeni kufa njaa hapo Kibera

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Enda ukape IMF hii data yako. Labda GDP yenu itapandishwa kidogo.
Undhani IMF haina researchers wa kujua ni miradi gani iko, inflation iko age na unemployment iko vipi?
Difference ni kwamba wao hawatapika data kama CCM.
 
1)Nothing is happening..Same same shinning star(Tz) maintaining 7% growth, edging out both inflation and unemployment..
2) I never doubt imf data, if it says norminal gdp (Not real gdp) is projected to 99bn i agree..I also agree that kes is 17.5% cooked
 
GDP AND PPP kama inakua ionekane kwa mabadiliko ya maisha ya watu wa kawaida huduma kama makazi. Umeme. Barabara. Afya. Maji. Dawa vinapatikana maendeleo ya kesnya yapo nairobi. Mombasa na kisumu the rest wanapambana na hali zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
EVEN IN 500 YEARS DANGAWONDERLAND WILL NEVER CATCH UP WITH KENYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…