Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ukiwa unajibu jambo lolote nilikuambia tumia akili, usiwe mkurupukaji. Hakuna niliposema Malawi Ina growth rate ya 12%Kwanza umetoa wapi takwimu zinazoonesha Malawi kuwa na growth rates ya 12%? Unapenda sana kubumi mambo Yako wewe.
Mwisho nilikupa sababu za nadharia ya growth rates baina ya developed vs developing ila umekaza fuvu ππView attachment 3099463View attachment 3099464View attachment 3099465
Aliyeandika hivyo Ni huyo inamankuseke. So muulize yeye hiyo 12% kaitoa wapi.
Narudia tena, kabla ya kujibu soma kwa utulivu. Pia tuna mambo mengi ya kufanya sio kukusubiri siku nzima uka-google ili uje kujibu huo ni upotevu wa muda