Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ukiwa unajibu jambo lolote nilikuambia tumia akili, usiwe mkurupukaji. Hakuna niliposema Malawi Ina growth rate ya 12%Kwanza umetoa wapi takwimu zinazoonesha Malawi kuwa na growth rates ya 12%? Unapenda sana kubumi mambo Yako wewe.
Mwisho nilikupa sababu za nadharia ya growth rates baina ya developed vs developing ila umekaza fuvu 👇👇View attachment 3099463View attachment 3099464View attachment 3099465
Aliyeandika hivyo Ni huyo inamankuseke. So muulize yeye hiyo 12% kaitoa wapi.
Narudia tena, kabla ya kujibu soma kwa utulivu. Pia tuna mambo mengi ya kufanya sio kukusubiri siku nzima uka-google ili uje kujibu huo ni upotevu wa muda