IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

Kwanza umetoa wapi takwimu zinazoonesha Malawi kuwa na growth rates ya 12%? Unapenda sana kubumi mambo Yako wewe.

Mwisho nilikupa sababu za nadharia ya growth rates baina ya developed vs developing ila umekaza fuvu 👇👇View attachment 3099463View attachment 3099464View attachment 3099465
Ukiwa unajibu jambo lolote nilikuambia tumia akili, usiwe mkurupukaji. Hakuna niliposema Malawi Ina growth rate ya 12%
Aliyeandika hivyo Ni huyo inamankuseke. So muulize yeye hiyo 12% kaitoa wapi.

Narudia tena, kabla ya kujibu soma kwa utulivu. Pia tuna mambo mengi ya kufanya sio kukusubiri siku nzima uka-google ili uje kujibu huo ni upotevu wa muda
 
Huwa una kazi kubwa ya kuweka links, sasa hii uliyoweka inahusiana vipi na tulichojadili? Au huwa unakurupuka tu ukiona link huko Twitter?
Mjadala ni njia za kupunguza umaskini,unataka kuhamisha magoli?

Mwisho bila link zinakuwa ni habari za kubuni.
 
Acha uongo ,ipo miradi ya umwagiliaji iliyokamilkka na watu wananufaika nayo kwa sasa. Hizo mvua haziewezi kufanya miradi yote usikamilike kwa miaka mitatu

Kuhusu kilimo kuchangia kwenye GDP Hilo tulijadili,leo tunarudia Tena? Kwa Sasa umesema kilimo kinachangia 26% ya GDP. Basi angalia kwa miaka hiyo kilimo kilikua kinachangia percent ngapi kwenye GDP
Nilikwambia hata juzi uwe una post picha zinaonekana ,hujui nikufunze?

Pili weka link ya takwimu sio kuokoteza ,nitajuaje relevance ya takwimu zako?

Mwisho Kwa hizo takwimu huoni kwamba Kilimo kilikuwa dumavu na sawa na hoja yangu ya waliotangulia kupuuza sekta ya Kilimo kinyume na awamu ya 6? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DABzVshIZue/?igsh=MTFkYWdjY3JhM3k3MA==

View: https://youtu.be/RZo8Lkf1zlg?si=c2fBa3w4uDaLHCUj
 
Mjadala ni njia za kupunguza umaskini,unataka kuhamisha magoli?

Mwisho bila link zinakuwa ni habari za kubuni.
Tumia akili kidogo, ulichokuja kujibu na kuweka link hakihusiani na mm nilichocomment. Na hiyo comment nilikua namjibu huyo member inamankuseke na ilikua inahusu Malawi na sio Tanzania. Ndio maana nakuambia usiwe unakurupuka
 
Kinahusiana Wacha upuuzi wako
 
Nilikwambia hata juzi uwe una post picha zinaonekana ,hujui nikufunze?

Pili weka link ya takwimu sio kuokoteza ,nitajuaje relevance ya takwimu zako?

Mwisho Kwa hizo takwimu huoni kwamba Kilimo kilikuwa dumavu na sawa na hoja yangu ya waliotangulia kupuuza sekta ya Kilimo kinyume na awamu ya 6? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DABzVshIZue/?igsh=MTFkYWdjY3JhM3k3MA==

View: https://youtu.be/RZo8Lkf1zlg?si=c2fBa3w4uDaLHCUj

Hiyo attachment ukiclick inafunguka wala hakuna ugumu wowote.

Pia Wala huna haja ya kusema naokoteza. Ulichopaswa wewe ni kusema hizo data sio za kweli, na wewe kuweka za kweli. Mfano ulipaswa kusema huo mwaka 2017 kilimo hakikuchangia 27%, Bali kilichangia asilimia fulani (ulipaswa kuitaja),mbona easy tu

Unasema kulikua na udumavu, swali lango kwako ni kivipi Sasa mchango wake kwenye GDP uwe mkubwa kuliko Sasa?

Pia naona umeweka masuala ya kugawa mbolea, kwani hapa si tunazungumzia performance ya kilimo kwenye GDP? Nilitegema ungeweka mchango wa kilimo kwenye GDP kwa miaka hii upoje.
 
Hakuna uliponiwekea Trilioni 38 kama ulivyodai wewe,umeweka percentage tuu.

Pia hakuna uliponiwekea growth rates ya Kilimo Bali umeweka share ya Kilimo kwenye GDP kama nilivyotaka.

Mwisho post attachment vizuri,kama hujui sema nikufundishe na uweke link sio kuokoteza takwimu.
 
Nakukumbusha tena tumia akili. Gdp ya Tanzania unaijua na unaijua ilivyokua, Sasa hizo percentage inashindikana vipi ww kuziweka kwenye shillings? Pia swali langu kwako why mchango wa kilimo uwe na percentage kubwa huko nyuma iliwa kilimo kilikua hakifanyi vizuri?

Growth rate ya kilimo, hii tulizungumza. Tunarudia tena leo? Wewe ulisema kwa Sasa growth rate ni 2%, Mimi nilikuambia hapo nyuma ilikua 4 hadi 5. Lakini kukata mzizi wa fitna kwa nn wewe unayesema haikufanya vizuri, kwa nini usiweke trend kwa miaka 10 tuone Kama kweli hakikufanya vizuri, alafu tuangalie na sasa. Ugumu upo wapi ww kufanya hivi?

Hiyo attachment haina shida yoyote tuliza wenge. Kama takwimu hazipo sawa, basi wewe weka percentage za kilimo kwenye GDP toka 2013 Hadi 2023 tuone unachosema, mbona easy tu.
 
Growth rate ya malawi kuwa 12p ya marekani kuwa 0.5p haimaanishi malawi iko vizuri kuliko marekani na wala haimaanishi malawi haipigi hatua

Ila sasa growth rate yetu ili iwe sawa na marekani labda iwe above 50%. Sisi tuna mambo mengi. Umaskini unatuletea shida sana.
Tumefikia hatua tunajiibia wenyewe tunadhani tunamuibia mtu😂😂😂😂😂
 
Nakukumbusha tena tumia akili. Gdp ya Tanzania unaijua na unaijua ilivyokua, Sasa hizo percentage inashindikana vipi ww kuziweka kwenye shillings? Pia swali langu kwako why mchango wa kilimo uwe na percentage kubwa huko nyuma iliwa kilimo kilikua hakifanyi vizuri?

Jifunze kuandika hoja tofauti Kwa Aya Ili ueleweke,ni somo la darasa la 3.

Growth rate ya kilimo, hii tulizungumza. Tunarudia tena leo? Wewe ulisema kwa Sasa growth rate ni 2%, Mimi nilikuambia hapo nyuma ilikua 4 hadi 5. Lakini kukata mzizi wa fitna kwa nn wewe unayesema haikufanya vizuri, kwa nini usiweke trend kwa miaka 10 tuone Kama kweli hakikufanya vizuri, alafu tuangalie na sasa. Ugumu upo wapi ww kufanya hivi?

Kwa mara nyingine unaongea uongo,nilikwambia Ukuaji wa Uchumi ulikuwa 2% na Sasa uko 4% Kwa mujibu wa Bashe ,uwe unatulia ndio unajibu.

Awamu ya 5 hakuna kitu ilifanya kwenye Kilimo,weka hata mradi mmja wa Waziri akizindua skimu ya Umwagiliaji.

Hiyo attachment haina shida yoyote tuliza wenge. Kama takwimu hazipo sawa, basi wewe weka percentage za kilimo kwenye GDP toka 2013 Hadi 2023 tuone unachosema, mbona easy tu.
Nilishabainisha kwamba Kilimo kilifanya vizuri awamu 4 na 6 na msingi awamu ya kwanza ila awamu ya 6 ndio imerejesha tumaini na kubeba maono makubwa ndio maana ujenzi wa hectares 500k plus za Irrigation unaendelea.

Ni mtu mjinga tuu ndio atapinga hili,hata Mapato ya Kilimo yameongezeka mara dufu 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-PO-JnNoE0/?igsh=MWg2eGd5anQybGFu

Acha wivu utakuua mapema sana ,juhudi za kuimarisha Kilimo awamu ya 6 Hazina wa kulinganishia👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C-Ia5Ritrcp/?igsh=amNpdnEwaHBnemc=

View: https://www.instagram.com/p/C-IQUt5tchG/?igsh=MWtuNzVoYXpvNzVhag==
 
Una tatizo la akili? Tunachojadili na links unazoweka vinahusiana vipi?
Weka performance ya kilimo kwenye GDP kwa miaka 10, weka growth rate kwa miaka 10. Hapo ndio tunaweza kujua ni vipi na lini kilimo kilifanya vizuri. Hizo data zote zipo ambazo zinaonyesha mchango wa kilimo kwenye uchumi wa nchi kila mwaka. Kwa nini usiweke hizo data tuone mwaka gani na mwaka gani kilimo hakikufanya vizuri
 
Wewe toa ujinga hapa kama growth rates ni 4% na hapo kabla ilikuwa 2% ,mpaka hapo unauliza nini? 😂😂
 
Wewe huna akili? Nilikuuliza growth rate kwa sasa ni ngapi ukasema 2%, nikakuambia mbona awamu zilizopita ilikua 4%

Hiki unaandika ni utumbo gani tena? Huwa hujui kusoma?
 
Onyesha niliposema ni 2% wewe nyumbu
 
Onyesha niliposema ni 2% wewe nyumbu
Mimi ndio nikuonyeshe? Unasahau unachoandika?

Alafu kwa nn usiweke hizo data kilimo za growth rate kuanzia 2005 Hadi Sasa? Au hata 2010 hadi sasa tuone growth rate ya kila mwaka. Vipi hili mbona limekua Jambo gumu kwako?
 
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.

Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.

Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.👇👇

View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19

My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.
View attachment 3097657

Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.

Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.

Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19

Pia soma World Bank: Rwanda, Uganda na DRC zitaongoza kwa Kasi ya Ukuaji wa Uchumi Afrika Mashariki. Tanzania kushika nafasi ya 3.

Pia soma zaidi hapa WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.

Sisi za kwetu za madini na Gas ailia zimeshindwaje kupaisha ukuaji wa GDP yetu hadi angalau hata 8% per annum ? Au kuna matobo mengi yanayovuja.
 
Unajua vizuri kusoma? Lengo ulisema ni kulinganisha na miaka ya nyuma. Ndio nakuambia weka trend ya miaka ya nyuma. Nikakuambia weka hata ya kuanzia 2010 hadi Sasa ili tulinganishe kama ulivyotaka Au hujui kusoma?
Narudia tena kukwambia una shida kichwani,nilishakwambia mapema kwamba huko miaka ya nyuma average growth ilikuwa ni 2% Bado umekaza fuvu.

Mfano kwenye Link niliyoweka imeoneshwa kabisa kwamba 2022 it was 2.7% Bado umekaza fuvu,karibu nakuchoka.
 
Back
Top Bottom