Rudia kusoma nimeshakueleza eg no priority kwenye irrigation,no priority kwenye extension services,no priority kwenye ruzuku,ni priority kwenye marketing,no priority kwenye research nk nk.
Moja ya Marais nimewakibali kwenye Mageuzi ya Kilimo ni Samia , according to Bashe minster wa Kilimo ni kwamba Back then Kilimo ilikuwa inakua Kwa only 2% lakini Kwa Sasa ni zaidi ya 4% na kwenye ilani ya Chama wametaka 5% by 2025 ambayo itafikiwa mwaka huu wa 2024.
Nachotaka kuona ni growth rates za Kilimo ikifika 6% na iwe sustained Kwa miaka ijayo Ili tufikie mahala iwe enterprise ya watu kukimbilia badala ya kusubiria mbeleko ya serikali japo Kilimo ukitoa Serikali ni ngumu kusogea,Dunia nzima Serikali Ina play role kubwa kabisa kwenye Kilimo.