Narudia kukwambia hakuna kipindi Kilimo kimepewa attention kubwa na investments za serious kama awamu ya 6,awamu zingine walikuwa na vipaombele Vyao vingine ambavyo Huwa nasema ni vipaombele vya watu wasiotaka kuumiza akili na kuwatoa Wananchi kwenye umaskini.
Flaiova and all such cosmetics projects hazimtoi mtu kwenye umaskini sana sana zinamuongezea .
Investments ya kweli inafanywa na awamu ya 6,,awamu ya 1 na ya 4 walijaribu ila wakakosa muendelezo Kwa awamu zilizofuatia 👇👇
View attachment 3097863
View attachment 3097858View attachment 3097859
Mwisho,matokeo yatakuwa makubwa na yatatimiza malengo kama yalivyowekwa kwenye ajenda 10/30.
Usimamizi umeimarishwa na heshima imerudi shambani.