ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #141
Kimsingi inahitaji Uchambuzi wa kina ,nini ilikuwa driver Mkuu wa Uchumi miaka hiyo Hadi ikashindwa ku graduate kutoka LDCHiyo ni miaka 12, hesabu tena vizuri kwa kutliza akili
Pia nilikua najibu pale uliposema wakikaa au wangekaa kwenye performance hiyo kwa miaka 10 wasingekua hivyo walivyo. Kitu ambacho mm ndio nimekuja kukujibu kuwa walikaa.
Haya unaniuloza mimi? Mimi nimepingana na wewe uliposema ethiopia hawakua na ukuaji wa 10% kwa miaka 10Kimsingi inahitaji Uchambuzi wa kina ,nini ilikuwa driver Mkuu wa Uchumi miaka hiyo Hadi ikashindwa ku graduate kutoka LDC
Rudia kusoma nimeshakueleza eg no priority kwenye irrigation,no priority kwenye extension services,no priority kwenye ruzuku,ni priority kwenye marketing,no priority kwenye research nk nk.Unaposema hizo awamu zingine kilimo hakikufanya vizuri, husemi exactly hakikufanya vizuri kwenye nini. Mimi nakuambia hakuna awamu haikujali kilimo
Basi tupime kilimo kwenye mchango wake kwenye GDP . Je kwa sasa kilimo kinachangia percent ngapi kwenye GDP? Ili tulinganishe na hizo zingine
Ni kweli sio Kipimo Cha directly ila ndio Kipimo kikuu.Haya unaniuloza mimi? Mimi nimepingana na wewe uliposema ethiopia hawakua na ukuaji wa 10% kwa miaka 10
Nimetoka kukuambia GDP sio kipimo cha moja kwa moja kwenye ustawi ndio maana nimekutolea mfano kuwa Mexico Ina gdp kubwa kuliko Singapore, kuliko nchi za BENELUX, je Mexico Ina ustawi kuliko hizo nchi?
Labda tuambizane vizuri na kujua impact ya hiki umeandika kwa ground. Unaposema hakukua na priority unamaanisha nini? Mm nakuambia vyote umeelza hapo kulikua na priority, Ila wewe kutokujua haimaanishi hakukua na priorityRudia kusoma nimeshakueleza eg no priority kwenye irrigation,no priority kwenye extension services,no priority kwenye ruzuku,ni priority kwenye marketing,no priority kwenye research nk nk.
Moja ya Marais nimewakibali kwenye Mageuzi ya Kilimo ni Samia , according to Bashe minster wa Kilimo ni kwamba Back then Kilimo ilikuwa inakua Kwa only 2% lakini Kwa Sasa ni zaidi ya 4% na kwenye ilani ya Chama wametaka 5% by 2025 ambayo itafikiwa mwaka huu wa 2024.
Nachotaka kuona ni growth rates za Kilimo ikifika 6% na iwe sustained Kwa miaka ijayo Ili tufikie mahala iwe enterprise ya watu kukimbilia badala ya kusubiria mbeleko ya serikali japo Kilimo ukitoa Serikali ni ngumu kusogea,Dunia nzima Serikali Ina play role kubwa kabisa kwenye Kilimo.
Mada yako ilipoanzia ilibase kwenye GDP na ukatoa tahadhari, na ukasema ethiopia wakiweza kumaintain ukuaji wa 10% basi matatizo yote nchini mwao ikiwemo kukimbia nchi, umaskini na vingine vitakwenda sawa. But toka mwanzo ungesema kama ulivyosema sasa sidhani kama tungekua na huu mjadala.Ni kweli sio Kipimo Cha directly ila ndio Kipimo kikuu.
Pili Swala sio GDP kubwa swala ni GDP growth rates ,Mexico ni mbali kwani Ethiopia si Ina GDP kubwa kushinda Nchi zetu lakini still ni LDC?
Ndio maana nimesema nitafuatilia uchumi ulikua kwenye sekta zipi hasa? Maana kama sio Kilimo(ambako ndiko majority ya Ethiopians wako) basi hakuna umaskini utaondoka ndio maana hata hapa Tanzania watu wanaolalamika kwamba mnasema uchumi umekuwa then hatuoni reflection kwenye Ustawi Kwa sababu drivers za GDP growth sio zile ambako majority wako.
Unaposema hizo awamu zingine kilimo hakikufanya vizuri, husemi exactly hakikufanya vizuri kwenye nini. Mimi nakuambia hakuna awamu haikujali kilimo
Basi tupime kilimo kwenye mchango wake kwenye GDP . Je kwa sasa kilimo kinachangia percent ngapi kwenye GDP? Ili tulinganishe na hizo zingine
Alafu nilikua sijasoma vizuri hapo kwenye growth rate aisee. Huko usiguse kabisa. Hivi unajua Tanzania tuna growth rate kubwa sana kuliko Singapore? Tena ni mara mbili ya SingaporeNi kweli sio Kipimo Cha directly ila ndio Kipimo kikuu.
Pili Swala sio GDP kubwa swala ni GDP growth rates ,Mexico ni mbali kwani Ethiopia si Ina GDP kubwa kushinda Nchi zetu lakini still ni LDC?
Ndio maana nimesema nitafuatilia uchumi ulikua kwenye sekta zipi hasa? Maana kama sio Kilimo(ambako ndiko majority ya Ethiopians wako) basi hakuna umaskini utaondoka ndio maana hata hapa Tanzania watu wanaolalamika kwamba mnasema uchumi umekuwa then hatuoni reflection kwenye Ustawi Kwa sababu drivers za GDP growth sio zile ambako majority wako.
Unauliza maswali kama layman.Ukuaji wa 2% ni Ukuaji wa sekta ya Kilimo as a whole.Labda tuambizane vizuri na kujua impact ya hiki umeandika kwa ground. Unaposema hakukua na priority unamaanisha nini? Mm nakuambia vyote umeelza hapo kulikua na priority, Ila wewe kutokujua haimaanishi hakukua na priority
Mm pia napenda nakubali na napenda mageuzi yanayofanyika sasa. Nilipokataa ni pale uliposema awamu zingine hazikufanya vizuri kwenye kilimo, kitu ambacho ni cha uongo.
Pia huo ukuaji wa 2% ni ukuaji wa angle ipi exactly? Na pia nimekuuliza mchango wa kilimo kwenye GDP kwa Sasa upoje? Hujajibu hili. Hapo ndio utaona je mageuzi yanaenda vizuri au bado tupo nyuma.
So naomba kujua mchango wa kilimo kwenye GDP kwa Sasa, nataka kulinganisha na huko zamani.
Unaona Sasa, mfano tu kwa mwaka 2016. Kilimo kilichangia trillion 40 kwenye GDP.
Chochote nachokuuliza nataka ukijibu ili nikuelewesje vizuri maana najua pengine hujui kabisa. Ndio maana nilisisitiza unaposema kilimo kukua kwa asilimia 2 ulimaanisha nini? Maana huko nyuma tulikua na ukuaji wa asilimi 4 Hadi 5. But lengo ilikua 6 Hadi 10. Na hiyo ilikua ni 2019. Wewe hizi mada huzijui, hiyo asilimia 2 umeitoa wapi ikiwa 2019 tulikua na 4? Au unataka kusema kilimo awamu hii kimeshuka Sana?Unauliza maswali kama layman.Ukuaji wa 2% ni Ukuaji wa sekta ya Kilimo as a whole.
Kwa sababu waleta takwimu Huwa wanachukua average ya sekta zote ambazo ndio zinaenda uchumi Ili kupata Ukuaji wa Uchumi Kwa ujumla so unaweza Kuta sekta ya bima Kwa mfano imekuwa Kwa hata 20% ila zingine zimekua kidogo lakini Kwa sababu za weights walizotoa Kwa Kila sekta ya Uchumi Ile iliyokuwa sana ila Ina weight ndogo itamezwa na Ile iliyokua kidogo ila Ina weight kubwa.eg unapo calculate inflation ,zile buskets Zina weights tofauti.
Oya acha kujichosha na hizi mada kama mambo yenyewe huyajui. Tanzania tuna growth rate ya 6 percent kwa miaka 10. Singapore Wana 3. Je tunalingana na Singapore? Belgium Wana 1.5, je tunalingana na Belgium?Kimsingi inahitaji Uchambuzi wa kina ,nini ilikuwa driver Mkuu wa Uchumi miaka hiyo Hadi ikashindwa ku graduate kutoka LDC
Sijajua kama umesomea uchumi au una hints tuu.?Alafu nilikua sijasoma vizuri hapo kwenye growth rate aisee. Huko usiguse kabisa. Hivi unajua Tanzania tuna growth rate kubwa sana kuliko Singapore? Tena ni mara mbili ya Singapore
Je Tanzania tunamuweza nini Singapore??? Mkuu hizo mada usianzishe ikiwa hujazifahamu vyema
Wewe ni mchumi? Soma kuanzia mwanzo wa mada yako alafu uone muendelezo uliokua nao toka mwanzoni na sasaSijajua kama umesomea uchumi au una hints tuu.?
Anyway kujibu swali lako why Tzn Ina growth rates kubwa kushinda Singapore sababu ni kama ifuatavyo,
Kuna classification kuu 2 za makundi ya level za Maendeleo Kwa Nchi ,,yaani Deloping Nations na Developed Nations based on per Capita Income etc.
Sasa kundi la Developing nations ziko peged kwenye dhana ya Uchumi inayo assume Kwamba Kuna idle resources mainly extractive sectors wakati Developed Nations ziko assumed kuwa zimefikia optimal utilisation of resources.
Kwa muktadha huo Nchi za Developing Nations zitakuwa na growth rates kubwa vs Developed Nations ambazo Rasilimali ni olmost exhausted hivyo growth rates za Uchumi itakuwa kidogo sana na inategemea zaidi technological changes na service industry.
So hutokuja kusikia Nchi zilizoendelea Zina Ukuaji mkubwa kushinda Developing Nations.
Soma maelezo uelewe sio kuuliza maswali yasiyo na kichwa Wala miguu.Wewe ni mchumi? Soma kuanzia mwanzo wa mada yako alafu uone muendelezo uliokua nao toka mwanzoni na sasa
Developed na developing? Is it?
Malawi ana growth rate kubwa kuliko Namibia. Je Malawi wameizidi nn Namibia? Au Namibia ni developed?
China na Ireland zina ukuaji mkubwa sana, je bado hazija utilize resources zake?
So South Sudan, Chad , Burundi, central Africa zimepita ukuaji nchi developed?Soma maelezo uelewe sio kuuliza maswali yasiyo na kichwa Wala miguu.
Unakurupuka,soma maelezo yangu.
Sijapoteza Nina majukumu ya kufanya ,nitajibu posts zote zingine zinahitaji takwimu Hadi nixitafute.ChoiceVariable alafu hili la kilimo niliomba mjadala, but naona unalipotezea ikiwa ulichosena ulikua na uhakika nacho.
Wewe umesoma na kuelewa nilichoandika?So South Sudan, Chad , Burundi, central Africa zimepita ukuaji nchi developed?
Unajua nimekuuliza hayo nikiwa najua ulichosema sio kweli. Kilimo hakijawahi kupotezewa kama ulivyosema. Tulikua tunafanya vizuri na hata sasa tunafanya vizuri. Unasema huna takwimu basi haikupaswa kuandika uliyokuwa umeandika kuonyesha zamani hatukufanya vizuriSijapoteza Nina majukumu ya kufanya ,nitajibu posts zote zingine zinahitaji takwimu Hadi nixitafute.