IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

We jamaa unasema hakuna developed nation inaweza fikia growth rate sawa na developing? Nimekuuliza na nakuuliza tena ukuaji wa south Sudan Ni sawa na USA? Ni sawa na UK? Ni sawa na Germany?
 
We jamaa unasema hakuna developed nation inaweza fikia growth rate sawa na developing? Nimekuuliza na nakuuliza tena ukuaji wa south Sudan Ni sawa na USA? Ni sawa na UK? Ni sawa na Germany?
Unauliza swali au majibu? Umeelewa Maelezo niliyotoa awali? Ukielewa nilichoandika hutouliza tena Hilo swali.
 
Unauliza swali au majibu? Umeelewa Maelezo niliyotoa awali? Ukielewa nilichoandika hutouliza tena Hilo swali.
Sudan Ina asilimia ngapi? Tuanzie hapo, then mm nitakuwekea za US, UK, Germany , Norway ili tuone kama developing country Ina ukuaji mkubwa kuliko nchi developed
 
Sudan Ina asilimia ngapi? Tuanzie hapo, then mm nitakuwekea za US, UK, Germany , Norway ili tuone kama developing country Ina ukuaji mkubwa kuliko nchi developed
Una kichwa kigumu sana wewe.Elewa kwamba Developing nations Zina potential ya kukua Kwa asilimia kubwa zaidi ya developed Nation na sababu nimeeleza hapo Juu.

Kinyume Cha Kushindwa ku realize hiyo higher growth wakati kuna idle resources ni incompetence ambayo inaletwa na sababu mbalimbali.

Narudia kukwambia hakuna Developed Nation inaweza kuwa na Ukuaji mkubwa zaidi kushinda Developing nations under ceteris paribus Kwa sababu no iddle resources in this case ni extractive sectors.

Mwisho incompetence za Developing Nations Hazi justify kwamba in case Developed ikiwa na Ukuaji kuzidi Developing nation basi kanuni hii ya Uchumi hai apply ,la hasha.
 
Narudia kukwambia hakuna kipindi Kilimo kimepewa attention kubwa na investments za serious kama awamu ya 6,awamu zingine walikuwa na vipaombele Vyao vingine ambavyo Huwa nasema ni vipaombele vya watu wasiotaka kuumiza akili na kuwatoa Wananchi kwenye umaskini.

Flaiova and all such cosmetics projects hazimtoi mtu kwenye umaskini sana sana zinamuongezea .

Investments ya kweli inafanywa na awamu ya 6,,awamu ya 1 na ya 4 walijaribu ila wakakosa muendelezo Kwa awamu zilizofuatia πŸ‘‡πŸ‘‡



Mwisho,matokeo yatakuwa makubwa na yatatimiza malengo kama yalivyowekwa kwenye ajenda 10/30.

Usimamizi umeimarishwa na heshima imerudi shambani.
 
Awamu zilizotangulia ukiacha awamu ya 1 na ya 4 zilifanya kipi Cha maana kwenye Kilimo?

Zingewekeza Kwa Nguvu na serious kama ilivyo Sasa tusingekuwa tunaagiza ngano Wala Mafuta ya kula,ila yote hayo Kwa Sasa ndio yamewekewa target kukomeshwa by 2030.

Mathalani Toka Uhuru Kuna hectares za Umwagiliaji 700k plus ila awamu ya mama pekee inajenga miundombinu ya Umwagiliaji hectares zaidi ya 500k.

Jawajaishia kujenga na kuacha Bali wameimarisha usimamizi ,staff,vitendea kazi ,Huduma za ugani,mbegu Bora nk πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Swala la Chama Cha CCM kuwepo Madaraka sio ishu hata kama ingekuwa Chadema,Cha muhimu ni watu waje na mapendekezo ya muhimu ambayo Serikali iyape kipaombele.

Sio kama Ile ya dira ya Taifa ya Kuoa sijui ujinga gani mlikuwa mnatoa maoni.
Je ni lini Naomi/ mapendekezo ya raia yamewahi kuheshimiwa? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwenye Uchumi,Economic paradox Huwa zinatokea na mfano mojawapo ni huo wa Ethiopia ku sustain Ukuaji wa over 10% Kwa miaka 12 lakini Bado ni LDC.

But hii model ime prove na kuleta Ustawi kwingineko na karibu Nchi nyingi kama sio zote isipokuwa chache kama Hii Ethiopia ambapo inatakiwa study zaidi why not kwake.
 
Unajua toka mwanzo nilikuuliza tulinganishe kwenye nini, hukusema. Nikakuambia baso tuangalie mchango katika GDP. Ukassma nj trillioni 38, nikakuambia nyuma ilikua zaidi ya hiyo. So now kwa kigezo chako tuna underperform.

Wala usitumie maneno ya jumla kuwa sijui awamu ile haikufanya hivi ile ilifanya vile. Nimekuambia awamo zote ziliipa kipaumbele kilimo. Kwa document uliyoweka inaonyesha kilimo kinachangia 26% ya GDP, but unajua huko nyuma kilimo kilikua kinachangia zaidi ya 26% kwenye GDP? So inakuaje usema hakikupewa kipaumbele wakati kwa takwimu ulizoweka inaonyesha nyuma ndio kilikua kinafanya vizuri kuliko Sasa ambapo kimepewa kipaumbele
 

Attachments

  • Screenshot_20240916-224224_1.jpg
    165.9 KB · Views: 1
Huu unakua sasa sio mjadala, yaani developing country ikiwa na growth rate kubwa hiyo inakua ndio inatakiwa, ikiwa na ndogo ni uzembe wake wenyewe kuzipita developed countries? Acha utani

Nimekutolea mfano wa developing kwa developing countries, Nakutolea Tena mfano Malawi ana ukuaji mkubwa kuliko Namibia. Lakini je Malawi kamzidi kipi Namibia??? Hapo sababu ni zipi?
 
Umekuja Tanzania lini? Umwagiliaji mbona ilikuwepo na hata tuna National irrigation master plan. Mfano tu hadi 2016 tulikua na hecta laki 4 za umwagiliaji, but kufikia 2021 tukaaa na hekta almost laki 8 za umwagiliaji. Usihisi kuwa haya yalikua hayafanyiki sababu tu wewe hujui
Na utaona mipango ilivyokua vizuri tu. Hii kusema hakukua na hii kitu sijui huwa unaota tu alafu unaropoka. Hiyo master plan ndio hadi hiyo 2025
 

Attachments

  • Screenshot_20240916-230115_1.jpg
    253.4 KB · Views: 1
Hayo ya study kufanyika ulipaswa ww uyajue kabla ya kubisha na kusema siku wakiwa na ukuaji huo wananchi hawatakimbia
 
Laki 8 umezitoa wapi ikiwa Wizara inasema Toka uhuru Hadi Sasa hatujafika huko kwenye Laki 8?

Pili wewe unaona ni sawa kuongeza hectare 400k ndani ya miaka 5 out of hectares over 29m zinazofaa Kwa irrigation ? Huko sio kucheza? Unabisha nini nikisema Kilimo kilipuuzwa na hakikupewa kipaombele?

Unabisha nini ikiwa Bajeti ya Wizara nzima ya Kilimo by then ndio Bajeti ya kitengo Cha Umwagiliaji tuu Kwa Sasa?

Mwisho sera au porojo sio utekelezaji,hazikutekelezwa inavyopaswa Kwa sababu Kilimo kilipuuzwa na sababu za kupuuzwa wanazijua Wanasiasa wachovu.
 
Ndio ni uzembe Kwa sababu mwenye hiyo potential ni developing sio developed.

Ukiitwa developed manake huko ulishatoka kitambo.Hutokuja kuja kusikia eti Singapore au US au Italy etc ana fetch growth rate ya 7-10 au zaidi,never walijitahidi mwisho ni 5%.

Hiyo ni economic theorem na imekuwa proved kisayansi na Utafiti.

Mwisho unatakiwa uelewe kwamba hizo ni kanuni za Uchumi sio zangu,kama hutaki kafanye Utafiti wako uje kupinga kisomi.
 
Uchumi wa nchi kukua kwenye makaratasi na si kwenye pochi ni changa la macho!! Fikiria Ethiopia uchumi wao ni mkubwa kuliko nchi zote za afrika ya mashariki, lakini wananchi wake wako radhi wafe njiani kama wakimbizi kuliko kubaki Ethiopia!!
 
Jombaa tumia akili kidogo tu. Hadi kufikia 2015 tulikua hectare laki 4 na tafsiri yake toka uhuru Hadi 2015 tulikua na hecta laki 4
Toka 2015 hadi 2021 zikaongezeka na kufika laki 8, tafsiri yajke toka uhuru Hadi 2021 tulikua na hecta laki 8

Kufikia 2022 zikaongezeka Hadi hiyo laki 9, tafsiri yake toka uhuru hadi 2022 tulikua na hecta laki 9. Hapo hujaelewa nn?

Ongezeko la hecta laki 4, si hekta chache na pia nmekuweka mipango ilivyokua inaendelea plus bajeti. Hata hizo hekta mil 1.2 bado hatujafika Ila tutafika 2025.

Katika hekta mil 29 kwa nini zilizongezeka laki 4 tu? Soma vizuri alafu tuliza kichwa, hizo hekta mil 29 ni zinazofaa kwa umwagiliaji. Ni sawa na unaposikia Tanzania tuna hekta mil 44 zinazofaa kwa kilimo, haimaanishi hizo hekta zkte zinalimwa. Nenda kaangalie tunalima hekta ngapi Kati ya hizo mil 44 zinazofaa, ndio utaelewa kama sio utapigwa na mshangao.
 
Wewe ni mgonjwa wa akili sio Bure,mara zote nimekukatalia kuongea bila kuweka facts.

Hizi data nakuwekea ni za kutoka hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo 2024/25.

Hujui kusoma au unataka kile umeweka kichwani kwako? πŸ‘‡πŸ‘‡

Mwisho ondoa za mwaka 2021 maana hapo ndio awamu ya 6 ilianza kumimina pesa.

Kwa hiyo kwako wewe ongezeko la hectare 300k ni sawa Kwa miaka 5?

Lengo ni hactares zote mil.29 ziwe irrigated,mtazifikia lini ikiwa mnaongeza hectare 300k Kwa miaka 5?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…