IMF: Kasi ya Ukuaji wa Uchumi wa Uganda Kufikia 11% Kuanzia Mwaka 2025 Baada ya Pesa za Mafuta Kuanza Kumiminika

Vyote ukichanganya ndio vinaleta hiyo average,hata Tanzania ni hivyo hivyo
Tanzania vivyo hivyo kivipi!?
Ila ukitizama Tanzania tumepiga hatua sehemu nyingi kuliko Ethiopia kaka.
Hilo hata Abiy Ahmed aliwahi lizungumza wazi akisema haelewi uchumi wa Tanzania ulivyo na hatua tuliyopiga.
Maana alitembelea hapa nchini.
 
uongo bhn uchumi wa Tz ukuaji ni 5.7-6.2%. Sasa hii ndo mara nne kweny 11% alafu kufikia 2035 una uhakika gan Tz haijafikia double figure?
Hujui kitu. Mimi nazungumzia uhalisia, wewe unazungumzia projections. 5.7 ni projection ya 2024. 6.2% ni projection ya 2025.

Average economic growth rate ya Tanzania kwa miaka 10 iliyopita ni 4%.

Sasa fikiria kuwa economic growth raye ni 4%, halafu fertiloty raye ni 3%. Kwa hiyo kiuhalisia tunakuwa na surplus tunaitarajia ilete mabadiliko, ni only 1%, kwa maana 3% inaliwa na ongezeko la watu. Ndiyo maana watu utawasikia wakilalamika kuwa kama uchumi unakua mbona maisha yanazidi kuwa magumu, na huduma zinazidi kuwa duni!!

UNDP, wanasema kuwa mabadiliko positive ya kiuchumi ya kuweza kuonekana kwa wananchi, kwa Tanzania, ni pale tu uchumi utakapofikia kukua kwa two digits, ilimaanisha kuanzia 10%.
 
I dare you kuleta ushahidi wa hio 4.0%. Mimi nabisha hio takwimu yako
 
Wewe hater wa Chadomo, average ya growth rates ya Tanzania Kwa sehemu kubwa ni 6% ,ilivyokuwa COVID ndio tumeshuka chini ya 6 lakini hatujawahi fika chini ya 4% hata mara Moja so usiwe mwongo.

Nakubalina kuwa lazima uchumi ujue Kwa zaidi ya 10% tena Kwa miaka 10 mfululizo ndio itaondoa walau umaskini Kwa half,hii ni kanuni ya Uchumi ya Dunia Kwa Nchi zinazoendelea.
 
Tanzania vivyo hivyo kivipi!?
Ila ukitizama Tanzania tumepiga hatua sehemu nyingi kuliko Ethiopia kaka.
Hilo hata Abiy Ahmed aliwahi lizungumza wazi akisema haelewi uchumi wa Tanzania ulivyo na hatua tuliyopiga.
Maana alitembelea hapa nchini.
1.Ukichukua mikopo
2.Misaada ya kibajeti
3.Misaada ya Kiprogramu

Vyote Kwa pamoja unakuta wastani wa 40% ya Uchumi unategemea Fedha ya Nje.

Ila Kwa maana ya utegemezi wa Moja kwa Moja tuko chini ya 30% ,chukua budget framework utaona nachoongea.

Hao Ethiopia unaona kama wanapata Msaada mkubwa sababu ni USA inatoka pesa nyingi kwenye Ulinzi kama tuu ilivyo Kwa Egypt.

Mwisho unaweza kusema kweli tumepiga hatua Kwa sababu Ethiopia Bado ni LDC na Tanzania ni Lower Middle Income lakini Addis Iko more developed than Dar.
 
Shirika la Fedha za Kimataifa IMF imesema Uchumi wa Uganda utaanza kupata Ukuaji mkubwa kuanzia mwaka 2025 ambapo Kasi ya Ukuaji wa Uchumi itaongezeka kutoka asilimia 6.2% mwaka 2024 na kufikia asilimia 10.8% kuanzia mwaka 2025.

Ukuaji huo utachangiwa na kuanza Kumiminika Kwa pesa za mauzo ya Mafuta mwishoni mwa mwaka 2025.

Kasi hii kubwa ya Uchumi wa Uganda itakuza Ukubwa wa Uchumi wa Nchi hiyo kutoka GDP ya $ 49bln (2024) Hadi GDP ya $ 120bln (2035) ambapo Wachambuzi wa Uchumi wanasema Uchumi huo utalingana Kwa Ukubwa na Tanzania.👇👇

View: https://x.com/Reuters/status/1834128627794931796?t=rBXwRZpnNB7hhcOWwp-hJQ&s=19

My Take
Kuna haja ya Tanzania kwenda kujifunza Kwa Ethiopia iliwezaje kukuza Uchumi wake Kwa double digit Kwa miaka 10 na kuzipita Kenya,Angola na Sudani kuwa Baba wa Uchumi Afrika Mashariki huku hawana Mafuta Wala gesi.

Vinginevyo Tanzania tutapitwa na Uganda Kwa Ukubwa wa Uchumi (GDP size) baada ya mwaka 2035.

Nchi zote ambazo zilipata maendeleo makubwa ni zile ambazo Uchumi wake uliwahi kujua Kwa double digit yaani kuanzia 10% Kwa miaka 10 mfululizo Duniani kote ndipo zilipunguza umaskini Kwa nusu vinginevyo Hali itazidi kuwa tete.

Hii growth rates ya 4-7% ambayo tumekuwa nayo Kwa miaka zaidi ya 15 haijawahi na Wala haitakuja saidia kuondoa umaskini 👇👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1833424456926044371?t=OuBdrDykvfYDPafDjZrbMg&s=19

Pia soma WB: Uchumi wa Tanzania (GDP) Umeongezeka na kufikia $ 80 Bilioni mwaka 2023.

Hayo makolokolo hayana faida yoyote kwa afrika, hao ethiopia unaowasifia ndio kila siku wanafia kwenye malori huku tz wakikimbia nchi yao. Hizo pesa kwa Uganda ni za mu7 na familia yake.
 
Faida ipo,wakati Ethiopia inafanya vyema kwenye Uchumi sekta ambazo ziliwabeba ni uwekezaji wa Serikali kwenye miundombinu hasa Barabara,viwanja vya ndege na reli,sekta ya Kilimo hasa Cha ngano na maua,kahawa na pia sekta ya manufacturing hususani Viwanda vya nguo.

Walikuwa kupoteana baada ya kuoigwa na Ukame,shida ya umeme na kuanza kupigana wao Kwa wao.

Kwa Sasa LA umeme wame solve Imesalia la amani Bado wanapambana nalo so wakifaulu watarudi kwenye neema.

Hawajufaidi sana Kwa sababu Ukuaji wa double digits haukudumu zaidi ya miaka 5 ila ungeenda Kwa miaka 10 na kuendelea usingeona hata mmja akikimbia kwao.

Tanzania tunatakiwa kujifunza wao waliwezaje kufikia Ukuaji wa over 10% bila Mafuta au Madini Maarufu?

Mbona sisi tuna advantage kubwa ya Rasilimali kushinda wao ila hatufikii huko,Kuna shida mahala.
 
1.Ukichukua mikopo
2.Misaada ya kibajeti
3.Misaada ya Kiprogramu

Vyote Kwa pamoja unakuta wastani wa 40% ya Uchumi unategemea Fedha ya Nje.

Ila Kwa maana ya utegemezi wa Moja kwa Moja tuko chini ya 30% ,chukua budget framework utaona nachoongea.

Hao Ethiopia unaona kama wanapata Msaada mkubwa sababu ni USA inatoka pesa nyingi kwenye Ulinzi kama tuu ilivyo Kwa Ethiopia.

Mwisho unaweza kusema kweli tumepiga hatua Kwa sababu Ethiopia Bado ni LDC na Tanzania ni Lower Middle Income lakini Addis Iko more developed than Dar.
Dah mkuu.
Ngojea nikakamilishe utafiti nikuletee takwimu.
Ethiopia msaada mkubwa nazungumzia wa kiuchumi sio wa kiulinzi.
Wa kiulinzi uweke kando.
Hata hizo Boeing za Ethiopia ni msaada mkuu wa mabwana wa Ulaya.

Addis ndio mji pekee ulioendelea Ethiopia,tofauti na Addis hakuna jiji lingine kubwa.
Kheri Tanzania tuna miji mingine nje ya Dar na ina huduma kama za Dar.
Mathalan Dodoma,Morogoro,Arusha n.k.
Pia huko Addis ni PACHUNGU kwa asilimia zaidi ya 60 ya raia.
Maana maisha GHALI SANA.
Nikikuletea life expenses zake unakimbia mkuu.
 
BBI ya Bashe alieiplan ni kilaza na haitokuja kua na matokeo, wale vijana aliowapeleka dodoma kama mizigo alitakiwa, awaselect kulingana nabmaeneo yao na walime hukohuko mazao yanayokubali kwao, na ahakikishe wanasimamiwa na maafisa kilimo nanushauri wapewe, Kwa mfano kijana wa usangu angebakia kwao alime mpunga ilikua kuwawezesha, haya njombe abakie kwao alime viazi
 
Faida ipo,wakati Ethiopia inafanya vyema kwenye Uchumi sekta ambazo ziliwabeba ni uwekezaji wa Serikali kwenye miundombinu hasa Barabara,viwanja vya ndege na reli,sekta ya Kilimo hasa Cha ngano na maua,kahawa na pia sekta ya manufacturing hususani Viwanda vya nguo.

Walikuwa kupoteana baada ya kuoigwa na Ukame,shida ya umeme na kuanza kupigana wao Kwa wao.

Kwa Sasa LA umeme wame solve Imesalia la amani Bado wanapambana nalo so wakifaulu watarudi kwenye neema.

Hawajufaidi sana Kwa sababu Ukuaji wa double digits haukudumu zaidi ya miaka 5 ila ungeenda Kwa miaka 10 na kuendelea usingeona hata mmja akikimbia kwao.

Tanzania tunatakiwa kujifunza wao waliwezaje kufikia Ukuaji wa over 10% bila Mafuta au Madini Maarufu?

Mbona sisi tuna advantage kubwa ya Rasilimali kushinda wao ila hatufikii huko,Kuna shida mahala.
Mkuu rekodi za waethiopia kukimbia nchi ni tangu 1990s.
Sasa sijui wakati upi wa neema unauzungumzia wewe kaka!??
 
Hawajawahi kuwa na stable country Kwa miaka yote hiyo Wala hawajawahi kukwepa majanga makubwa kama Ukame ,unakumbuka wimbo wa we are the World?

In fact wanasogea hatua 5,wanarudi 10 kuanza upya.Sasa Tanzania hatuna Hali zote hizo why tuko nyuma?
 
Tukuze chap utalii wa visiwa na fukwe, kila iko tu pale, mafia iko tu pale, mtwara huko pametulia tu, wageni waje kwenye fukwe zetu lakini kila kwenye fukwe umbali fulani tuweke zoo za wanyama mbalimbali ili mtalii anapofika aone vyote Kwa pamoja, tuongeze utalii wa vyakula vyetu katika fukwe zetu na ziwe katika hali ya usafi, mkubwa mambo yatasogea
 
Swali linabakia pale pale fujwe ziko all over the world na Biashara ya Huduma ni ushindani.

Tukuze Kwa kufanyaje? Ndio muweke mapendekezo Sasa ila Kuna haja ya kuhama kwenye Utalii wa kutegemea ngedere 😁😁
 
Bandari, huko tumelala, waliokua wamelala walishaamka, ilitakiwa tusiruhusu uzembe huo SGR ilitakiwa iende haraka kigoma ili burundi waipate hapo lango la mashariki mwa congo ingekua tayari, halafu Isaka au tabora waganda wangewekewa kituo chao cha kuchukulia mizigo, hapo rwanda pia, wakati huo tungejipanga kuivuta hadi lubumbasi kwa maana ya zambia na congo ya juu wasichomoke
 
Hawajawahi kuwa na stable country Kwa miaka yote hiyo Wala hawajawahi kukwepa majanga makubwa kama Ukame ,unakumbuka wimbo wa we are the World?

In fact wanasigea hatua 5,wanarudi 10 kuanza upya.Sasa Tanzania hatuna Hali zote hizo why tuko nyuma?
Unaijua Egypt kaka!?
 
Back
Top Bottom