CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #21
Mkuu soma vizuri hiyo mada yangu ChoiceVariableUnashangaa nini Sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu soma vizuri hiyo mada yangu ChoiceVariableUnashangaa nini Sasa?
11. Tanzania 1,189,345,380Tanzania ni nchi ya ajabu sana eti kukopa ni kuuza nchi, ila Leo kwa andiko hili umewaweza mkuu CM 1774858
As far as hii nch itaendelea kuwepo bas tambua kuwa kufuta madeni haitakiwi kuwa kipaumbele,Mkopo ambao unahusisha Kukupangia sera huo ni Ujinga.
Tulilipa deni lote IMF, saiv wameenda kuchukua tena.
Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
Chanzo Cha taarifa ni wapi?11. Tanzania 1,189,345,380
Riba 1% unaachaje kukopa ujenge mabarabara, mavyuo, mahospitali etcAs far as hii nch itaendelea kuwepo bas tambua kuwa kufuta madeni haitakiwi kuwa kipaumbele,
Kwann ufute madeni ? Kopa fanya vitu,
Hata mm ningekuwa na access ya kukopa hata 100M nakopa chap, dunia sio yetu, tuishi leo
Matajiri wengi ni wakopaji sana, shida inakuja kama mtu au nchi inakopa inashindwa kulipa======
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF,
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao,
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa,
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee,
Nimekuelewa Mkuu.
Rank Country Debt amount 1. Egypt $11,968,321,674 2. Angola $3,153,816,667 3. South Africa $2,669,800,000 4. Côte d'Ivoire $2,117,559,620 5. Kenya $2,058,982,100 6. Nigeria $1,840,875,000 7. Ghana $1,644,377,000 8. Morocco $1,499,800,000 9 Democratic Republic of Congo $1,294,500,000 .10. Tunisia $1,259,139,338
======
Hii ndio orodha na hawa ndio magwiji wa kuchota Fedha za IMF ,kutoka bara la Africa kwa riba kiduchu ya chini ya asilimia moja kwa muda wa kuanzia miaka 15.
Ukiangalia katika orodha ya nchi tajiri kabisa barani Africa utakuta ni hawahawa magwiji wa uchotaji wa maokoto huko IMF.
Hoja yangu Leo, Nikwanini Tanzania yenye kauchumi kiduchu inaogopa kukopa wakati ,hawa makabaila na Matajiri wa kupindukia kama Misri, Nigeria, Morocco, Ghana, South Africa mababa wa uchumi Africa wanakopa kwa kasi kiasi hiki, Why Tanzania tunakwama wapi?
Nchi yetu ya Tanzania kwa kiasi kikubwa inamazezeta ambayo yanawatisha Watanzania wenzao kwamba kukopa dhambi tena ishara ya kufilisika kwa nchi kumbe wanataka kuwafanya Watanzania waendelee kuutamia umasikini wao.
Ombi langu kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Fedha Dkt Mwigulu Nchemba ongezeni kasi ya kukopa ila tu mkope IMF sio maeneo mangeni ili kuepuka riba kubwa.
Nasisitiza Leo, Tanzania tukopeni zaidi ili kujenga miradi yenye output ili na sisi GDP ya nchi yetu na yenyewe ipande kama ile ya EGYPT pamoja na kuwa kinara wa madeni IMF bado ndio nchi tajiri barani Africa.
Kazi iendelee.
Kushindwa kutumia mikopo kufungua uchumi na uzalishaji then inajisifia huna Mkopo wewe huna tofauti na wapumbavu.Mkopo ambao unahusisha Kukupangia sera huo ni Ujinga.
Tulilipa deni lote IMF, saiv wameenda kuchukua tena.
Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
Sio kweli,Tanzania Ina rekodi nzuri zaidi ya Mikopo kuliko Nchi nyingi japo matatizo yapo.Inshu Sio kukopa Tanzania toka ilipoanza kukopa Mpka Leo ingekuwa mbali Sana Kuna Wakati unaona haina tofauti na kutokukopa tatzo uadilifu wa viongozi wetu Wa kiafrika wanaumaskini mkubwa Sana Wa kifrika hata ukope utajikuta ndokwanza unaharibu Zaidi Maisha ya watu,rai yangu ni tujikite zaidi kwenye kuwa waadilifu hata tukikopa bhas tukope na tutekeleze yale tuliodhamiria kukopa.
Tanzania tuna uoga wa kijingaKila nchi ina kopeshwa fedha kutokana na nguvu ya kiuchumi ya nchi husika kama ww unapo enda kukopa benki wata kukopesha mkopo unao endana na ukubwa wa biashara yako.
Mo akienda benki akaomba mkopo wa bilion 300 anapewa bila hata kufikiria hali ya kuwa ww ukienda benki kukopa milion 100 ni kimbembe.
Hakuna mtu anayekataa kukopa....Kushindwa kutumia mikopo kufungua uchumi na uzalishaji then inajisifia huna Mkopo wewe huna tofauti na wapumbavu.
Hapa nilipo as individual nimepata Dili ila Sina uwezo mkubwa wa kukopesheka kupata pesa nazohitani Ili nikombe hiyo Mali.
Nashauri Rais Samia ajitahidi kupata rating nzuri ya Nchi yetu Ili tukakope tuifungue Nchi.
Mwisho hakuna anaekupangia matumizi ila lazima monitoring ya matumizi iwepo.Bila hivyo Nchi za Miafrika zingeweza kununua silaha Kwa hela ya Mkopo.
Hatuelewani naona.....As far as hii nch itaendelea kuwepo bas tambua kuwa kufuta madeni haitakiwi kuwa kipaumbele,
Kwann ufute madeni ? Kopa fanya vitu,
Hata mm ningekuwa na access ya kukopa hata 100M nakopa chap, dunia sio yetu, tuishi leo
Endeleeni kukopa mjenge Vyoo.Kwani kuwa na choo Bora sio maendeleo?
SawaKwani sisi ni zaidi ya Nigeria kiuchumi au tunawazidi ujinga tu?
Tanzania imeshapita umri wa kupangiwa matumizi.Hakuna mtu anayekataa kukopa....
Ila hata wewe huwezi kukopa kwa mtu anayekupangia matumizi.