IMF wametoa orodha ya nchi zenye madeni makubwa zaidi katika bara la Afrika, Tanzania haipo!

Mwigu babaaa...kakopeee tujeee kulaaaa...mpaka tuwe wa kwanza kwenye list ya wadaiwaaa babaaa tunakuombaa sanaaa
 
Mkopo ambao unahusisha Kukupangia sera huo ni Ujinga.
Tulilipa deni lote IMF, saiv wameenda kuchukua tena.
Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
As far as hii nch itaendelea kuwepo bas tambua kuwa kufuta madeni haitakiwi kuwa kipaumbele,
Kwann ufute madeni ? Kopa fanya vitu,

Hata mm ningekuwa na access ya kukopa hata 100M nakopa chap, dunia sio yetu, tuishi leo
 
Ushawapa Serikali sababu ya kuendelea kukopa.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
As far as hii nch itaendelea kuwepo bas tambua kuwa kufuta madeni haitakiwi kuwa kipaumbele,
Kwann ufute madeni ? Kopa fanya vitu,

Hata mm ningekuwa na access ya kukopa hata 100M nakopa chap, dunia sio yetu, tuishi leo
Riba 1% unaachaje kukopa ujenge mabarabara, mavyuo, mahospitali etc
 
Matajiri wengi ni wakopaji sana, shida inakuja kama mtu au nchi inakopa inashindwa kulipa
 
Nimekuelewa Mkuu.

Ni ujinga kuogopa kukopa harafu unasubiria kudunduliza.Haingii akilini tuko underdeveloped maeneo mengi sana kuanzia miundombinu ya uchumi Hadi Huduma za jamii lakini eti tunaogopa kukopa kama kwamba Nchi ni nyumba itauzwa.

Itachukua mda mrefu sana Kwa Nchi hii kuendelea kama hatutaacha mawazo ya kijinga.

Bahati mbaya Nchi zote hapo Juu zinazokopa zimetuzidi Uchumi.Tumeshindwa kujenga Barabara kwenda kwenye Hifadhi Ili kufungua uchumi kisa tunasibiria kudunduliza.Huu ni ujinga.
 
Mkopo ambao unahusisha Kukupangia sera huo ni Ujinga.

Tulilipa deni lote IMF, saiv wameenda kuchukua tena.

Si ajabu wanakupa mkopo na kukupangia matumizi yake. Mfano kajengee matundu ya Choo.
Kushindwa kutumia mikopo kufungua uchumi na uzalishaji then inajisifia huna Mkopo wewe huna tofauti na wapumbavu.

Hapa nilipo as individual nimepata Dili ila Sina uwezo mkubwa wa kukopesheka kupata pesa nazohitani Ili nikombe hiyo Mali.

Nashauri Rais Samia ajitahidi kupata rating nzuri ya Nchi yetu Ili tukakope tuifungue Nchi.

Mwisho hakuna anaekupangia matumizi ila lazima monitoring ya matumizi iwepo.Bila hivyo Nchi za Miafrika zingeweza kununua silaha Kwa hela ya Mkopo.
 
Sio kweli,Tanzania Ina rekodi nzuri zaidi ya Mikopo kuliko Nchi nyingi japo matatizo yapo.

Shida kubwa nayoiona Huwa ni aina ya vipaombele vya kutumia hizo pesa za mikopo na pia gharama kubwa zinazokuwa associated na miradi ya Mikopo yaani overpricing.

Mfano mdogo Leo hii Kuna mradi wa Tactic au DMDP Kwa pesa za Mkopo wa WB ila Changamoto yake Sasa ni kwamba vikao ni viiingi utadhani ni mradi wa kwenda Kwenye mwezi wakati ni Barabara na masoko ambazo zinajengwa daily.

Haya mambo ya semina na ujinga kama huo yanapunguza effectiveness ya pesa za Mkopo.
 
Kila nchi ina kopeshwa fedha kutokana na nguvu ya kiuchumi ya nchi husika kama ww unapo enda kukopa benki wata kukopesha mkopo unao endana na ukubwa wa biashara yako.

Mo akienda benki akaomba mkopo wa bilion 300 anapewa bila hata kufikiria hali ya kuwa ww ukienda benki kukopa milion 100 ni kimbembe.
 
Tanzania tuna uoga wa kijinga
 
Hakuna mtu anayekataa kukopa....
Ila hata wewe huwezi kukopa kwa mtu anayekupangia matumizi.
 
As far as hii nch itaendelea kuwepo bas tambua kuwa kufuta madeni haitakiwi kuwa kipaumbele,
Kwann ufute madeni ? Kopa fanya vitu,

Hata mm ningekuwa na access ya kukopa hata 100M nakopa chap, dunia sio yetu, tuishi leo
Hatuelewani naona.....
Hatukufuta madeni, tulifuta deni la IMF.
Madeni sio issue, deni la IMF ndio issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…