IMF yaidhinisha msaada kwa nchi 28 za kipato cha chini, Tanzania ikiwemo

As a Banana Republic Citizen This is Bad and Shameful News.
 
'To date, $506.5 million has been contributed by several countries, including the United Kingdom, Japan, Germany, the Netherlands, Switzerland, Norway, China, Mexico, Sweden, Bulgaria, Luxembourg and Malta.'

Mabeberu hapo juu yalituchangia mapesa nchi maskini,lkn sababu tunahitaji pesa zao utasikia tunawaita ni 'development partners' na sio mabeberu tena hahah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania is a dead state like Afghanistan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Mataga bana, angalia tarehe ya hizi taarifa unazotumia kutetea huo umaskini wenu.
 

Kwamba article yako hii haijaorodhesha hayo mataifa 28 haiondoi uwepo wenu, kumbuka duniani kuna mataifa 28 maskini wa kutupwa na huwa mpo humo ndani. Utahangaika kuchokora na kuleta leta links humu ila ndio hivyo, hata mkisaidiwa vipi bado hambadiliki kitu, sijui ni laana au nini.
 

Hehehe ametoweka huyo. Atakua busy anahangaika kutafuta pakutokea, anamaliza bando muda huu akijaribu kuifuta Tanzania isionekane kwenye hayo mataifa 28.
 
Laana yenyewe ni hii hapa

 
Hehehe ametoweka huyo......atakua busy anahangaika kutafuta pakutokea, anamaliza bando muda huu akijaribu kuifuta Tanzania isionekane kwenye hayo mataifa 28.
Naona le tag ya LDC ikiwarudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…