IMF yaidhinisha msaada kwa nchi 28 za kipato cha chini, Tanzania ikiwemo

IMF yaidhinisha msaada kwa nchi 28 za kipato cha chini, Tanzania ikiwemo

Bado Tanzania Tunazidi kumwagiwa mapesa ya bure na mabeberu, yaani watatoa mpaka cent ya mwisho daaaadeq

Magufuli yupo kajimazia zake mzee wa watu hata haongei English wala hasafiri lakini mabeberu hawachoki kuumiza kichwa kila siku kubuni mbinu na mfurahisha Rais wetu, mara watupe billion 100 mara kesho billion 70 hatujakaa vizuri tumepigwa billion 50 yaani alimradi tu wajipendekeze

Wengine hii mipesa wanaipata kwa kusugua soli, kukauka makoromeo, kuzurura kama mbwa koko, kwa riba za kutisha, kufake Corona na shughuli nyingi, ila sie akuuuuu zinajileta zenyewe 😅😅😅😅😅

Ikumbukwe huyu balozi kaja tu jana Tanzania 😁😁
Credentials submission
 
Raslimali zenu zote hizo mumeshindwa kuzitumia ili mtoke kwenye hii aibu ya kutajwa tajwa, kila ikizungumzwa kuhusu maskini wa kutupwa duniani, lazima mtajwe humo, kawaida mataga mtatiririka mitusi humu lakini mnatuaibisha sana nyie watu, changamkeni, tumieni ubongo mpate namna ya kutoka, tumewasema hadi tumechoka, tumewashashauri hamshauriki, sijui ni laana au nini.

Kwanza kwenu huko ni muungano wa nchi mbili ambazo kila moja ina raslimali nyingi tu, lakini sijui ni uzembe au kushindwa kutumia akili au vyote viwili, mpo mpo tu. Poleni sana ila hatutasita kuwakumbushia mpaka siku mtachangamka na kubadilika.

==========

The International Monetary Fund on Monday approved new emergency aid for 28 of the world's poorest countries to help them alleviate their debt and better cope with the impact of the coronavirus pandemic.

The announcement, which follows a similar measure passed in mid-April for 25 countries, is intended to help the countries cover their debt repayments to the IMF for the next six months and "free up scarce financial resources for vital emergency medical and other relief efforts" during the pandemic.

The 28 countries receiving the second tranche of aid are Afghanistan, Benin, Burkina Faso, Burundi, Central African Republic, Chad, Comoros, Democratic Republic of Congo, Djibouti, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Haiti, Liberia, Madagascar, Malawi, Mozambique, Nepal, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Sierra Leone, the Solomon Islands, Tajikistan, Tanzania, Togo and Yemen.

Source: IMF approves aid for world's 28 poorest countries
Mmesema hadi mmechoka, sasa mlale! Ukizingatia gonjwa lenyewe halikuisumbua sana nchi na bado msaada wa kifedha unatolewa, lazima mapovu yakutoke.
 
View attachment 1592533

Shirika la Fedha Duniani (IMF) imeidhinisha msaada wa dharura kwa nchi 28 maskini zaidi ulimwenguni ili kuzisaidia kupunguza madeni na kukabiliana vyema na athari za janga la coronavirus.

Tangazo hilo ambalo limekuja baada ya lile la mwezi Aprili lililozilenga nchi 25, linakusudia kuzisaidia nchi hizo kulipia malipo yao ya deni kwa IMF kwa miezi sita ijayo na kusaidia katika matibabu na mapambano wakati wa janga la Coronavirus.

Nchi 28 zinazopokea sehemu ya pili ya misaada ni Afghanistan, Benin, Burkina Faso, Burundi, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Chad, Comoro, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Djibouti, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Haiti, Liberia, Madagascar, Malawi, Msumbiji, Nepal, Niger, Rwanda, Sao Tome na Principe, Sierra Leone, Visiwa vya Solomon, Tajikistan, Tanzania, Togo na Yemen.

=======

The International Monetary Fund on Monday approved new emergency aid for 28 of the world's poorest countries to help them alleviate their debt and better cope with the impact of the coronavirus pandemic.

The announcement, which follows a similar measure passed in mid-April for 25 countries, is intended to help the countries cover their debt repayments to the IMF for the next six months and "free up scarce financial resources for vital emergency medical and other relief efforts" during the pandemic.

The 28 countries receiving the second tranche of aid are Afghanistan, Benin, Burkina Faso, Burundi, Central African Republic, Chad, Comoros, Democratic Republic of Congo, Djibouti, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Haiti, Liberia, Madagascar, Malawi, Mozambique, Nepal, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Sierra Leone, the Solomon Islands, Tajikistan, Tanzania, Togo and Yemen.

Mali is also eligible for aid but has not yet been added to the list because "there is a lack of clarity as to whether the international community recognizes/deals with the current military regime as the government of Mali," the IMF said.

The debt relief is channeled through the Catastrophe Containment and Relief Trust (CCRT), which enables the IMF to provide grants to the poorest and most vulnerable countries hit by a natural disaster or public health crisis.

Subject to sufficient resources in the CCRT, grants could be provided for a two-year period through mid-April 2022 for an estimated total amount of $959 million
The IMF's goal is to endow the CCRT with $1.4 billion so that it can also meet future needs.

To date, $506.5 million has been contributed by several countries, including the United Kingdom, Japan, Germany, the Netherlands, Switzerland, Norway, China, Mexico, Sweden, Bulgaria, Luxembourg and Malta.

Source: The Citizen
Sio kwa nchi za kipato cha kati bali nchi 28 maskini zaidi Duniani.

Hapo tunapata jibu la kiini macho cha uchumi wa kati.
 
Raslimali zenu zote hizo mumeshindwa kuzitumia ili mtoke kwenye hii aibu ya kutajwa tajwa, kila ikizungumzwa kuhusu maskini wa kutupwa duniani, lazima mtajwe humo, kawaida mataga mtatiririka mitusi humu lakini mnatuaibisha sana nyie watu, changamkeni, tumieni ubongo mpate namna ya kutoka, tumewasema hadi tumechoka, tumewashashauri hamshauriki, sijui ni laana au nini.

Kwanza kwenu huko ni muungano wa nchi mbili ambazo kila moja ina raslimali nyingi tu, lakini sijui ni uzembe au kushindwa kutumia akili au vyote viwili, mpo mpo tu. Poleni sana ila hatutasita kuwakumbushia mpaka siku mtachangamka na kubadilika.

==========

The International Monetary Fund on Monday approved new emergency aid for 28 of the world's poorest countries to help them alleviate their debt and better cope with the impact of the coronavirus pandemic.

The announcement, which follows a similar measure passed in mid-April for 25 countries, is intended to help the countries cover their debt repayments to the IMF for the next six months and "free up scarce financial resources for vital emergency medical and other relief efforts" during the pandemic.

The 28 countries receiving the second tranche of aid are Afghanistan, Benin, Burkina Faso, Burundi, Central African Republic, Chad, Comoros, Democratic Republic of Congo, Djibouti, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Haiti, Liberia, Madagascar, Malawi, Mozambique, Nepal, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Sierra Leone, the Solomon Islands, Tajikistan, Tanzania, Togo and Yemen.

Source: IMF approves aid for world's 28 poorest countries
Mzee roho lazima iwaume hapo mafisadi,hamjawekwa kwenye hiyo orodha 😀
 
Someni hii
COVID 19: Debt Service Suspension Initiative

How DSSI Benefits Low-Income Countries
(The estimates are current as of October 6, 2020. They will be updated once a week.)

Country4DSSI Participation?Risk of external debt distress2Risk of overall debt distress2Date of DSA PublicationPotential DSSI Savings1 (in USD millions)Potential DSSI Savings1 (in % of 2019 GDP)
AfghanistanYesHighHighApr-20$39.10.2%
Angola3Yes.........$2645.63.1%
BangladeshNoLowLowMay-20$319.80.1%
BeninNoModerateModerateMay-20$13.70.1%
BhutanNoModerateOct-18$206.58.4%
Burkina FasoYesModerateModerateApr-20$23.30.2%
BurundiYesHighApr-15$3.90.1%
Cabo VerdeYesHighHighApr-20$14.90.7%
CambodiaNoLowLowDec-19$206.20.8%
CameroonYesHighHighMay-20$276.10.7%
Central African RepublicYesHighHighApr-20$6.30.3%
ChadYesHighHighJul-20$61.00.5%
ComorosYesModerateModerateApr-20$2.30.2%
Democratic Republic of the CongoYesModerateModerateApr-20$104.40.2%
Republic of CongoYesIn distressIn distressJan-20$146.21.3%
Côte d'IvoireYesModerateModerateApr-20$232.10.4%
DjiboutiYesHighHighMay-20$59.21.6%
DominicaYesHighSep-18$4.40.7%
EthiopiaYesHighHighApr-20$511.30.5%
Fiji3Yes.........$13.30.2%
The GambiaYesHighHighApr-20$11.50.7%
GhanaNoHighHighApr-20$354.10.5%
GrenadaYesIn distressIn distressApr-20$7.00.6%
GuineaYesModerateModerateJun-20$129.70.9%
Guinea-BissauNoModerateJun-18$0.90.1%
GuyanaNoModerateModerateSep-19$12.90.3%
HaitiNoHighHighApr-20$40.50.5%
HondurasNoLowLowJun-20$67.50.3%
KenyaNoHighHighMay-20$802.60.8%
KiribatiNoHighHighJan-19......
Kosovo3No.........$7.80.1%
Kyrgyz RepublicYesModerateModerateMar-20$51.70.6%
Lao PDRNoHighHighAug-19$270.31.4%
LesothoYesModerateModerateApr-19$9.50.3%
LiberiaNoModerateHighJun-20$1.80.1%
MadagascarYesModerateModerateJul-20$24.00.2%
MalawiYesModerateHighMay-20$17.10.2%
MaldivesYesHighHighApr-20$36.70.6%
MaliYesModerateModerateApr-20$52.30.3%
Marshall IslandsNoHighSep-18......
MauritaniaYesHighHighApr-20$90.01.2%
MicronesiaNoHighHighSep-19......
MoldovaNoLowLowApr-20$27.30.2%
Mongolia3No.........$67.80.5%
MozambiqueYesIn distressIn distressApr-20$294.22.0%
MyanmarYesLowLowMar-20$371.60.5%
NepalYesLowLowMay-20$18.80.1%
NicaraguaNoModerateModerateFeb-20$33.40.3%
NigerYesModerateModerateApr-20$25.80.2%
Nigeria3No.........$107.50.0%
Pakistan3Yes.........$2,705.71.0%
Papua New GuineaYesHighHighJun-20$22.70.1%
RwandaNoModerateModerateJun-20$12.60.1%
SamoaYesHighHighApr-20$9.91.2%
São Tomé and PríncipeYesIn distressIn distressApr-20$2.10.5%
SenegalYesModerateModerateApr-20$131.70.6%
Sierra LeoneYesHighHighJun-20$7.00.2%
Solomon IslandsNoModerateModerateJun-20$1.50.1%
SomaliaNoIn distressIn distressMar-20......
South SudanNoIn distressIn distressJun-19......
St. Lucia3Yes.........$4.00.2%
St. Vincent and the GrenadinesNoHighHighMay-20$4.00.5%
TajikistanYesHighHighMay-20$63.40.8%
TanzaniaYesLowJan-18$148.90.2%
Timor-LesteNoLowLowMay-19......
TogoYesModerateHighApr-20$25.80.5%
TongaYesHighJan-18$6.01.4%
TuvaluNoHighJul-18......
UgandaYesLowLowMay-20$95.40.3%
UzbekistanNoLowLowMay-20$195.40.3%
VanuatuNoModerateModerateJun-19$6.50.7%
YemenYes......$142.70.5%
ZambiaYesHighHighAug-19$139.20.6%
TOTAL$11,548.5
Kenya corona imewaletea madeni ya maana na hii pesa hawajapata 😀
 
Sasa kama lengo ni kusaidia na sio
Propaganda, ni kwanini wasifute tu hayo madeni
 
Uchumi wa Kati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom