IMF yaidhinisha msaada kwa nchi 28 za kipato cha chini, Tanzania ikiwemo

Nawashauri Lumumba,wasizipokee,maana zinatoka kwa "mabeberu"sisi ni "donor country"
 
Wamefeli hawa kama wanagawa feza kwa nchi mafisadi ili waje wazipige kwa mlango wa nyuma apa wamekwama...sisi hatushikiki #MATAGA
 
"watoe jina letu hapo sisi ni uchumi wa kati mabeberu wakubwa hao" Alisikika mataga mmoja ambaye hajala mchana.
 
Itakuwa IMF wameitega Tanzania. Tambo nyingi kumbe hamna kitu. Eti uchumi wa kati mara Donor Country wakati deni la Taifa linakua kila siku kwa kukopa kusiko na utaratibu
 
Hii habari sidhani kama ni kweli.
Sisi taifa lenye uchumi wa kati, sisi sio masikini. Wanatuchafulia kwenye uchaguzi hao.
 

They normally don't understand the meaning of second hand source and the original source. Normally the secondary source is prepared to suit the purpose of the one who prepared it. Now if you want to get it from the horse's mouth, then go to the primary source. The primary source has no list, so where do they know which countries are enlisted.
 
Broo huu ni mojawapo wa misaada ya karobuni kuja Kenya. Tusichekane.
Kenya Receives $50 Million World Bank Group Support to Address COVID-19 Pandemic

Nyie mmesaidiwa hadi mask

United States Donates Facemasks to Protect Kenyan Journalists on Frontlines of COVID-19 Reporting | U.S. Embassy in Kenya

 
Someni hii
COVID 19: Debt Service Suspension Initiative


How DSSI Benefits Low-Income Countries
(The estimates are current as of October 6, 2020. They will be updated once a week.)

Country4DSSI Participation?Risk of external debt distress2Risk of overall debt distress2Date of DSA PublicationPotential DSSI Savings1 (in USD millions)Potential DSSI Savings1 (in % of 2019 GDP)
AfghanistanYesHighHighApr-20$39.10.2%
Angola3Yes.........$2645.63.1%
BangladeshNoLowLowMay-20$319.80.1%
BeninNoModerateModerateMay-20$13.70.1%
BhutanNoModerateOct-18$206.58.4%
Burkina FasoYesModerateModerateApr-20$23.30.2%
BurundiYesHighApr-15$3.90.1%
Cabo VerdeYesHighHighApr-20$14.90.7%
CambodiaNoLowLowDec-19$206.20.8%
CameroonYesHighHighMay-20$276.10.7%
Central African RepublicYesHighHighApr-20$6.30.3%
ChadYesHighHighJul-20$61.00.5%
ComorosYesModerateModerateApr-20$2.30.2%
Democratic Republic of the CongoYesModerateModerateApr-20$104.40.2%
Republic of CongoYesIn distressIn distressJan-20$146.21.3%
Côte d'IvoireYesModerateModerateApr-20$232.10.4%
DjiboutiYesHighHighMay-20$59.21.6%
DominicaYesHighSep-18$4.40.7%
EthiopiaYesHighHighApr-20$511.30.5%
Fiji3Yes.........$13.30.2%
The GambiaYesHighHighApr-20$11.50.7%
GhanaNoHighHighApr-20$354.10.5%
GrenadaYesIn distressIn distressApr-20$7.00.6%
GuineaYesModerateModerateJun-20$129.70.9%
Guinea-BissauNoModerateJun-18$0.90.1%
GuyanaNoModerateModerateSep-19$12.90.3%
HaitiNoHighHighApr-20$40.50.5%
HondurasNoLowLowJun-20$67.50.3%
KenyaNoHighHighMay-20$802.60.8%
KiribatiNoHighHighJan-19......
Kosovo3No.........$7.80.1%
Kyrgyz RepublicYesModerateModerateMar-20$51.70.6%
Lao PDRNoHighHighAug-19$270.31.4%
LesothoYesModerateModerateApr-19$9.50.3%
LiberiaNoModerateHighJun-20$1.80.1%
MadagascarYesModerateModerateJul-20$24.00.2%
MalawiYesModerateHighMay-20$17.10.2%
MaldivesYesHighHighApr-20$36.70.6%
MaliYesModerateModerateApr-20$52.30.3%
Marshall IslandsNoHighSep-18......
MauritaniaYesHighHighApr-20$90.01.2%
MicronesiaNoHighHighSep-19......
MoldovaNoLowLowApr-20$27.30.2%
Mongolia3No.........$67.80.5%
MozambiqueYesIn distressIn distressApr-20$294.22.0%
MyanmarYesLowLowMar-20$371.60.5%
NepalYesLowLowMay-20$18.80.1%
NicaraguaNoModerateModerateFeb-20$33.40.3%
NigerYesModerateModerateApr-20$25.80.2%
Nigeria3No.........$107.50.0%
Pakistan3Yes.........$2,705.71.0%
Papua New GuineaYesHighHighJun-20$22.70.1%
RwandaNoModerateModerateJun-20$12.60.1%
SamoaYesHighHighApr-20$9.91.2%
São Tomé and PríncipeYesIn distressIn distressApr-20$2.10.5%
SenegalYesModerateModerateApr-20$131.70.6%
Sierra LeoneYesHighHighJun-20$7.00.2%
Solomon IslandsNoModerateModerateJun-20$1.50.1%
SomaliaNoIn distressIn distress Mar-20......
South SudanNoIn distressIn distressJun-19......
St. Lucia3Yes.........$4.00.2%
St. Vincent and the GrenadinesNoHighHighMay-20$4.00.5%
TajikistanYesHighHighMay-20$63.40.8%
TanzaniaYesLowJan-18$148.90.2%
Timor-LesteNoLowLowMay-19......
TogoYesModerateHighApr-20$25.80.5%
TongaYesHighJan-18$6.01.4%
TuvaluNoHighJul-18......
UgandaYesLowLowMay-20$95.40.3%
UzbekistanNoLowLowMay-20$195.40.3%
VanuatuNoModerateModerateJun-19$6.50.7%
YemenYes......$142.70.5%
ZambiaYesHighHighAug-19$139.20.6%
TOTAL $11,548.5
 
Ila bro ww
Unazijua figisu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama mtu anaejali kumbe wapi shenz kabisa
 
Ila bro ww
Unazijua figisu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kama mtu anaejali kumbe wapi shenz kabisa

Kutajwa tajwa kwenye hili kundi sio sifa nzuri ukizingatia mna madini ya kumwaga, raslimali za kila aina, kwa kweli huwa sielewi mnakwama wapi.
 
Kutajwa tajwa kwenye hili kundi sio sifa nzuri ukizingatia mna madini ya kumwaga, raslimali za kila aina, kwa kweli huwa sielewi mnakwama wapi.
Yote tisa kumi kwan Tz sio lmic?
 
Benin and Tanzania ndio waliingia middle income July 2020, it's possible kua mentioned hata ukiingia M.D. 5 for the first time unajihisi bado ni M.D. 4 tu...Wacha watupe izo hela badae wasikanushe maana watasema hawa wawili tuli-overlook
Sasa unafikiria lower middle income na poorest countriea kuna tofauti gani juu ya kipato tukiachana na propaganda za wanasiasa?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…