IMF yaidhinisha msaada kwa nchi 28 za kipato cha chini, Tanzania ikiwemo

Bado Tanzania Tunazidi kumwagiwa mapesa ya bure na mabeberu, yaani watatoa mpaka cent ya mwisho daaaadeq

Magufuli yupo kajimazia zake mzee wa watu hata haongei English wala hasafiri lakini mabeberu hawachoki kuumiza kichwa kila siku kubuni mbinu na mfurahisha Rais wetu, mara watupe billion 100 mara kesho billion 70 hatujakaa vizuri tumepigwa billion 50 yaani alimradi tu wajipendekeze

Wengine hii mipesa wanaipata kwa kusugua soli, kukauka makoromeo, kuzurura kama mbwa koko, kwa riba za kutisha, kufake Corona na shughuli nyingi, ila sie akuuuuu zinajileta zenyewe 😅😅😅😅😅

Ikumbukwe huyu balozi kaja tu jana Tanzania 😁😁
Credentials submission
 
Mmesema hadi mmechoka, sasa mlale! Ukizingatia gonjwa lenyewe halikuisumbua sana nchi na bado msaada wa kifedha unatolewa, lazima mapovu yakutoke.
 
Sio kwa nchi za kipato cha kati bali nchi 28 maskini zaidi Duniani.

Hapo tunapata jibu la kiini macho cha uchumi wa kati.
 
Mzee roho lazima iwaume hapo mafisadi,hamjawekwa kwenye hiyo orodha 😀
 
Kenya corona imewaletea madeni ya maana na hii pesa hawajapata 😀
 
Sasa kama lengo ni kusaidia na sio
Propaganda, ni kwanini wasifute tu hayo madeni
 
Uchumi wa Kati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…