Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,490
Kwani Tanzania kuna Corona?Habari mbaya sana kwa machadema.
Au tunapeleka kwenye uchaguzi?
Kwani Tanzania kuna Corona?Habari mbaya sana kwa machadema.
Some comment yangu hapo juu nikinukuu maelezo yao ndio ujue kama hiyo hela /nafuu ya mkopo mliopewa mnaweza kuitumia tofauti na malengo ya hiyo ahueni mlipewa.Vipi safari hii hamjaenda kuzuia? Ili zisitumike vibaya kwenye uchaguzi?
Imekuuma mkuu, kwa nini Tz hii ipewe ushirikiano wa kifedha na imf..Barua zenu za kujieleza tuliziona kwa Kigogo hivyo mshukuru mmesikilizwa ila muache kujimwambafai kuwa mko vizuri.
Kama namuona kamanda ndani ya chupa...
Hii maana yake kigogo is more resourceful in terms of providing valid secret document from the govt.Sasa kwa akili yako ulifikiri kwa vile umeona barua kwa kigogo basi hawatapata mikopo?
Tanzania haijapewa hela. Imesamehewa kulipa deni ililotakiwa kulipa kwa muda fulaniDebt service relief of $13million wakati kenya wamepewa almost a billion dolar?
Hebu wachumi tudadavulie hii. Hii ni pesa ya mboga tu. Hayafiki hata matumizi ya ikulu kwa mwaka
Kusamehewa deni na kupewa mkopo Ni vitu viwili tofauti kabisa!Debt service relief of $13million wakati kenya wamepewa almost a billion dolar?
Hebu wachumi tudadavulie hii. Hii ni pesa ya mboga tu. Hayafiki hata matumizi ya ikulu kwa mwaka
Kumbe hela za mabeberu mnazitaka ila kutwa kuwasimanga!!Imekuuma mkuu, kwa nini Tz hii ipewe ushirikiano wa kifedha na imf..
Sio takataka za chadema na act kazi yao kuwabon'golea mabeberu [emoji23][emoji1787][emoji2960]Walirukaruka mwishowe wameiva, jiwe halijaweka karantini likawaambia waisamehe madeni Tanzania ili fedha zilizokuwa zikilipwa ziende kusaidia uchumi!
Magufuli huyu jamaa anaishi na mabeberu kibabe Sana![emoji23][emoji16][emoji16]
Hili jembe Sana aisee[emoji23][emoji23][emoji23], jamaa anawakazia wanakubali kishingo upande siku zinasonga!Sio takataka za chadema na act kazi yao kuwabon'golea mabeberu [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Habari mbaya sana kwa machadema.
Kusamehewa deni na kupewa mkopo Ni vitu viwili tofauti kabisa!
Tanzania iliomba kufutiwa madeni yake na IMF ili fedha zilizokuwa zikilipwa Kama marejesho na riba ya mkopo zitumike kuimarisha uchumi na zisaidie kupambana na Corona!
Kenya walipewa mkopo directly!
Kwani sisi tuna Corona mdau?Habari mbaya sana kwa machadema.
Kwisha kazi yenu.Akili yako finyu sana. Bado wewe ni mgonjwa, mteja wa Milembe.
Si wanasema corona imeisha sasa wapewe nyingi ili iweje?Wacha wapewe wanachostahili ndio watajifunza kuwa wakweli.Debt service relief of $13million wakati kenya wamepewa almost a billion dolar?
Hebu wachumi tudadavulie hii. Hii ni pesa ya mboga tu. Hayafiki hata matumizi ya ikulu kwa mwaka