IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

IMF yaisamehe Tanzania deni la Tsh. Bilioni 33 kwa ajili ya Corona

Mtu akiwa anakudai laki tatu then siku ya siku kutokana na uhohe hahe wako akaona huruma na kukuambia kuwa badala ya kunilipa laki tatu nilipe laki moja tu hiyo nyingine tumia ikusaidie kwenye matatizo yako,unaenda ukipiga kifua kuwa wewe ni mshindi?
Mbona umeumia sana?
 
  • Thanks
Reactions: Dua
Deni la Taifa ni 56 trillions tumesamehewa 33 billions tu ya deni la Taifa au sawa na approximately na 6% ya deni la Taifa. Kelele zinazopigwa utadhani tumesamehewa 50% ya deni la Taifa,
 
Deni la Taifa ni 56 trillions tumesamehewa 33 billions tu ya deni la Taifa au sawa na approximately na 6% ya deni la Taifa. Kelele zinazopigwa utadhani tumesamehewa 50% ya deni la Taifa,
Deni ni deni tu kama anayekudai anakupa/unapata nafuu sio mbaya ukitilia maanani kwamba madeni mengi ya nchi za Afrika ni ya dhuluma tu! Nchi za Afrika zianze sasa kuweka kiwango cha pesa zake against gold tuone kama tutakuwa tunadhulumiwa kila uchwao.
 
Hatuna athari tuliendelea kuchapa kazi kwa kipindi chote, hayo mabeberu yanajipendekeza tu....
Athari imetokea na hasa sekta ya utalii. Wafanyakazi wengi walirudi makwao bila mishahara
 
Wajina wako kama umetoka kumsikia muda huu yeye hilo punguzo limemfurahisha kweli ana mpango wa kuandika barua ya kutoa asante.

Billion 8 si hela ndogo kwa mwezi inaweza jenga shule kadhaa kama ile aliyofungua Jaffo mkoa wa Kagera majuzi (imejengwa vizuri sana).

Issue ni kwamba seize the opportunity iliyojitokeza kama kuna policy za IMF zinazotoa mwanya wa wewe kupata ahueni kubwa tumia ukipewa billioni 8 huku unalipa billion 700; uwezi kulinganisha na debt freeze ya billion 700 hata kwa miezi 6 ina maana muda huo kila mwezi unanyongeza ya hiyo hela kwenye matumizi yako.

Sasa watu wenyewe kupitia UNDP na IMF wametengeneza economic models ambazo wanadai uchumi wako utaathirika sana badala ya kujifanya tajiri play along uwaambie hiyo billion 700 kuwalipa kwa hali ya sasa tena kutumia hizo hizo projections zao hali yako itakuwa mbaya sana maana unatarajia mapato kushuka.

Kenya sio wapuuzi COVID 19 aichagui mchana na usiku (ni lockdown gani ya usiku tu kwanza watu wapo majumbani muda huo) maana yake hatua zao ni kama zetu na sidhani kama rate yao na yetu ya maambukizi inatofauti kubwa sana wote ni kama tumechagua herd immunity (Uganda shahidi madereva wa malori kutoka Tanzania na Kenya wakipimwa huko wote wana Corona).

Tofauti ya Kenya na Tanzania they’re just playing a game kujifanya walau wanapambana na kuweka ukweli wameathirika kiuchumi (knowing tourism money kuja kwa sasa ni bahati nasibu) ni bora wapokee hizi grants ambazo most likely zitakuwa na low rate interest and probably reasonable grace period which is enough to stimulate their economy, kukusanya mapato; then kuanza kulipa deni.

Sisi tunabaki tunalilia watalii mpaka aibu sasa. Hakuna plan inayoeleweka in risk mitigation, anyway Magu anasema tupo sawa labda kweli ndio maana awaoni shida ya kuja na ujanja wa kufaidika na hili janga kupitia mabeberu.
Mkuu sijaona kama kuna mahali imeandikwa wamepewa ni grants,mimi nimesoma ni loans.Historia inaonyesha mkopo mingi inaishia kuliwa na viongozi,Nchi ndio unayolipa huo mkopo pamoja na riba.
 
Tatizo lawanaompinga magufuli nikwamba hawajakaa wakajiuliza kwa nini huwa anamtaja sana mungu.
Siku wakilifikili hilo, nawakajiuliza, ndio siku watakapo acha rig na mtiwa mafuta wa bwana.
WATASHINDANA NAWE LAKINI HAWATASHINDA MAANA MIMI BWANA NIKO NAWE.
Si wote watakao liita jina la bwana watauona ufalme wa mbinguni.
Kisa anakitaja jina la Mungu.. haimaanishi ni mtumishi. Watu kibao wanalitaja jina la Mungu na bado wana wanafanya madhambi kibao.
 
Lema


Mh G.lema alimtabiria kifo magufuri mwaka 2019 anatakiwa aombe msamaha vinginevyo kabla ya uchaguzi mwaka huu hicho kifo kitamkuta yeye asipoomba msamaha

Roho wa bwana kanituma kumkumbusha ndg G.lema aombe msamaha kwa magufuri na kwa mungu haraka.
As if unaishi na Mungu sebule moja hahaha
Ajuaye kifo cha mtu ni Mungu pekee. Wengine waganga njaa tu.
 
Back
Top Bottom