Ukisoma vizuri utaelewa kuwa sio mkopo ila ni nafuu ya deni ili tuweze kutumia nafuu hiyo kutibu majeraha ya corona. Ni sawa na mtu aliyekuwa anakudai 1,000,000 kwa makubaliano uwe unalipa 100,000 kila mwezi, lakini baada ya kupata majanga anaamua kukupa nafuu umlipe 80,000 ili 20,000 inayobaki uweze kutibu majeraha ya majanga.Za Corona ipi? Tanzania hakuna Corona
Wamesamehe au wameahirisha kulipa?Kama inavyojieleza hapo
=======
IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust
Washington, DC - The Executive Board of the International Monetary Fund (IMF) today approved a grant under the IMF’s Catastrophe Containment and Relief Trust (CCRT) to cover Tanzania’s debt service falling due to the IMF from today to October 13, 2020, the equivalent of US$14.3 million. Additional relief covering the period from October 14, 2020 to April 13, 2022 will be granted subject to the availability of resources in the CCRT, potentially bringing total relief on debt service to the equivalent of about US$25.7 million. The debt service relief will contribute to alleviate Tanzania’s balance of payment needs stemming from the COVID-19 pandemic.
- The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3 million over the next 4 months, and potentially up to US$25.7 million over the next 23 months.
- IMF debt service relief will help free up resources for public sector health needs and other emergency spending, as well as mitigate the balance of payments shock resulting from the pandemic.
- Given the risks ahead, it would be important to ensure close cooperation with multilateral organizations and donors and ensure sufficient budget allocations on health and other priority spending.
The pandemic has weakened near-term macroeconomic prospects for Tanzania. The country is facing a drastic reduction in tourism receipts, budget pressures, and a projected deceleration of GDP growth from over 6 percent to 4 percent in the current fiscal year and to 2.8 percent in the upcoming fiscal year (the fiscal year ends in June).
Following the Executive Board’s discussion, Mr. Tao Zhang, Deputy Managing Director and Chair, issued the following statement:
“The COVID-19 pandemic is having an adverse economic impact on Tanzania, creating exceptional fiscal and balance of payments needs. The authorities have implemented containment measures and avoided an economic lockdown. They remain vigilant to the risk of spiraling infections and uncertainty surrounding the pandemic
“The IMF’s debt service relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust will free up public resources to help address the pandemic. The authorities are committed to using the additional resources for their intended purposes and in a transparent manner, including through ex-post audits of COVID-related spending. To deal with the remaining risks, it will be important to safeguard appropriate funding for health and other priority social spending in the FY2020/21 budget, as well as ensure close cooperation with the World Health Organization, multilateral agencies, and donors
“Looking ahead, structural reforms remain crucial to support a robust economic recovery. The focus includes addressing arrears on VAT refunds and government expenditures, enhancing human capital and the business environment, and improving the affordability of bank credit
Source: IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust
Elewa kwanza maana ya credit relief. Uganda na Kenya walikopeshwa. Sisi hatujakopeshwa bali tumepewa nafuu ya mkopo uliopo IMF ambao tunalipa kila mwezi. Tofautisha kati ya kukopeshwa na kupunguziwa mkopo.Kama sijakosea, uganda walipewa zaidi ya dola mil. 400, kenya walipewa zaidi ya dola mil. 700, sisi tumeishia kupata pesa ya nyanya..
Ila kigogo mwongo sana yuleBarua zenu za kujieleza tuliziona kwa Kigogo hivyo mshukuru mmesikilizwa ila muache kujimwambafai kuwa mko vizuri.
Itakuwa late released , ni kwa ile iliyopita madhara yake leo.Za Corona ipi? Tanzania hakuna Corona
Hahaha..rekebisha mkuu.Ni furaha kwa Nchi sasa,baada ya Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19 yenyewe bila kuomba msaada wowote kwenye Bank ya Dunia, Neema hii ni muhimu kwetu,wamesema wanataka Uchumi uimarike baada ya Corona kupungua kwa Kiwango kikubwa hapa Nchini.
TANZANIA OYEEEEEEEEEEEE,VIVA RAIS MAGUFULI
View attachment 1474784
Za Corona ipi? Tanzania hakuna Corona
Sasa kwa akili yako ulifikiri kwa vile umeona barua kwa kigogo basi hawatapata mikopo?
Tz hakuna korona, izo pesa za nini?
Maambukizi hakuna mkopo wa nini au mnatafuta hela ya kampeni?
Mkuu ikiwa hata kama nchi haina corona kama north Korea tambua kuwa kuna athari za moja kwa moja katika uchumi wa nchi husika,hebu fikiria kuwa kwa sasa korona haipo nchini mwetu lakini kwa wenzetu ipo hivyo athari zake lazima na sisi tuzihisi,hebu fuatilia trend ya ujaji wa watalii,hapa utajua kuwa tumeathirika na huu ugonjwa na tunahitaji pesa ya kuboost uchumi wetu.Si wanasema corona imeisha sasa wapewe nyingi ili iweje?Wacha wapewe wanachostahili ndio watajifunza kuwa wakweli.
rudi usome vizuri ujumbe wenyewe.Wametutega. Tukikubali huo msamaha maana yake Corona ipo, tena kubwa yenye thamani ya pesa hiyo.
Mtu akiwa anakudai laki tatu then siku ya siku kutokana na uhohe hahe wako akaona huruma na kukuambia kuwa badala ya kunilipa laki tatu nilipe laki moja tu hiyo nyingine tumia ikusaidie kwenye matatizo yako,unaenda ukipiga kifua kuwa wewe ni mshindi?Ukisoma vizuri utaelewa kuwa sio mkopo ila ni nafuu ya deni ili tuweze kutumia nafuu hiyo kutibu majeraha ya corona. Ni sawa na mtu aliyekuwa anakudai 1,000,000 kwa makubaliano uwe unalipa 100,000 kila mwezi, lakini baada ya kupata majanga anaamua kukupa nafuu umlipe 80,000 ili 20,000 inayobaki uweze kutibu majeraha ya majanga.
Ukumbuke hili ndilo rais alisema na sio kuturundikia madeni mengine eti kisa corona.
Na hii nafuu imetolewa kutibu majeraha yaliyoachwa na corona kwa maana corona imeondoka.
Kweli rais wetu ni kiongozi wa malaika yaani hata IMF wanatii amri zake??? HahahahaHuu siyo mkopo, ni kusamehe Deni na kupunguziwa makali ya kulipa Deni ndugu! Tangu mwanzo rais wetu aliwaambia Kama kweli wanna Nia nzuri, kipindi Cha corona ni Cha kusamehe madeni na sio kutuongezea kwa kutukopesha! IMF imeelewa na kutii!
Nani kataja mshindi hapa? Nikuulize pia, ukiwa unanidai alafu tena unataka kutumia mwanya wa matatizo kunishawishi niongeze mkopo ili mwisho wa siku uchukue shamba langu, nikakataa kukopa tena kwako nakuwa sio mjanja?Mtu akiwa anakudai laki tatu then siku ya siku kutokana na uhohe hahe wako akaona huruma na kukuambia kuwa badala ya kunilipa laki tatu nilipe laki moja tu hiyo nyingine tumia ikusaidie kwenye matatizo yako,unaenda ukipiga kifua kuwa wewe ni mshindi?