Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,993
Uko sawa.
Ila inategemeana na matumizi ya huo mkopo.
Kama hautakuwa productive grace period haisaidii chochote ....
Still better kwetu kupewa discount kuliko kuongezewa deni.
Kwa Kenya kama serikali nyingi za Africa hizo pesa zinapigwa na viongozi hata usijejua ilifanyia nn.
Sikubishii ila mtazamo wangu

Ni sawa na kuchota kikombe cha maji baharini (hakuna kinachobadilika).
Nchi inatenga karibu billion 700 kila mwezi kulipa madeni halafu mdai anakwambia anasamehe kama billion 8 kwa mwezi kwa miezi 4. Wakati mapato ya nchi yameshuka kwa kiwango kikubwa sasa hapo ndio wamesaidia nini.
Hakuna mtu mwenye shida na msaada huo walau wange freeze madeni yote kwa kipindi cha miezi sita hapo ndio wangejigamba wamesaidia Tanzania. Ni bora ukope $150m kama Kenya upate grace period ya miaka miwili kuliko huo msamaha tuliopewa.