IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

Miaka ya 1980's tulikuwa tunakimbizana na Sierra Leone kwenye nafasi 3 za mwisho kama sikosei duniani. Mnisahihishe kama nitakuwa nimekosea.
Kwa hali hii tunaenda vizuri sana
 
Watalii wanafuata bata Morroco, beach nzuri, hotel nzuri,
Kingine Morocco ipo karibu sana na Ulaya
 
Watalii wanafuata bata Morroco, beach nzuri, hotel nzuri,
Kingine Morocco ipo karibu sana na Ulaya
Morocco hakuna beach kabisa.Ni mawe tu na mawimbi makali ya bahari ya atallantic.Kuna sehemu moja wamejenga kwa kulazimisha pale jijini Rabat.Inatisha sana kwani kama kutatokea kuchafuka kwa bahari kwa ghafla basi mamia ya watu watasombwa baharini kirahisi sana.
Sijui watalii wanafuata nini hasa Morocco.
 
Hakuna Listi ya Ukuaji uchumi Tanzania itakosa πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1787819132198482222?t=XqLMyRmOeGKAJ6IOuBCHSw&s=19
 
Kuwa miongoni wa viongozi kwenye kundi la wajinga sio sifa.
 
Yaani wabongo sie k&m&k 😁😁 ..yaani apo tunachokonoa tunataka tuskie Kuna chart Tanzania ni ya 52 , ndo loo zinakua kwatu ,
Shida Yao ni wivu waliona nene Samia roho zinawauma πŸ˜†πŸ€ͺ
 
Shida Yao ni wivu waliona nene Samia roho zinawauma πŸ˜†πŸ€ͺ
Ila pia ni asili ya asili yetu wabongo hatujawai kujikubali Kwa lolote miaka na miaka tofauti na wenzetu wakenya..
Tunaamin kila kit kizuri ni Cha wenzetu na mabaya yote dunian ni ya kwetu.mentality mbaya kabsa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…