econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Mbona unajihami. Hutaki Kikwete asifiwe?JK alikuwa na miaka 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unajihami. Hutaki Kikwete asifiwe?JK alikuwa na miaka 10
Takwimu zinazounga mkono unyonyaji wao.Hazina ukweli wa kutosha.Ogopa sana takwimu za IMF na World Bank siyo watu wazuri kwa maendeleo ya nchi masikini.
Sio sahihi kufanya ulinganisho Kwa utaratibu wllaliotumia TICMbona unajihami. Hutaki Kikwete asifiwe?
Takwimu za IMF ni kulinda maeneo yenye mirija yao ya kinyonyaji.Kuna mashirika makubwa mangapi na viwanda vingapi Kenya? Ila wananchi wa kawaida hawana Chao...Nchi ya kibepati ile
Senegal hawajaanza kuchimba bado wapo kwenye maandalizi...Nafahamu Huwa Wana Ukuaji mkubwa wa Uchumi unaoletwa na zao la cocoa ambalo Lina bei ya Juu Dhahabu ikasome ila Hadi kuzipita Tanzania na Ghana ni Kasi kubwa.
Kuna Nchi ya Senegal ni Tajiri wa gas ila siioni kwenye list hapa.
View attachment 2973634
Haswaaa. !Takwimu za IMF ni kulinda maeneo yenye mirija yao ya kinyonyaji.
WameanzaSenegal hawajaanza kuchimba bado wapo kwenye maandalizi...
Kijana bado hawajaanza. Wanaanza 2025.Wameanza
Hapa nakuelewa lakini kipi hapo umwekeza? Wahindi wachache kwenye manufacturing, Sisi vikaragosi tupo kwenye service, you didn’t mention the role of mainstay- business which the service sector will rely upon! DHL, EMS, etc etc watatumia nini kufanya service? Everything is in tatarsKenya
-FDI,Kenya.inachukuliwa kama gate way to EAC so biashara huanzia hapo na kupanuka kwingine
-Utalii
-Transport and Logistics
-Bussiness,Ina watu aggressive na skilled
Ghana
-Ina Dhahabu,Mafuta ,Kakao na FDI
Ivory Coast
-Cacao ndio wazalishaji Wakuu Duniani na miaka ya karibuni bei ya Kakao haikamayikii
-Biashara
Morocco
-Utalii,Second to Egypt
-Manufacturing
-Biashara
-Transport and Logistics,Wana Bandari kubwa kabisa Zenye viwango vya Kimataifa
Shukuruni Mwendazake alienda vinginevyo mungekuwa kama EthiopiaHivi Ethiopia kuna kisanga gani wahamiaji wengi mno
Hapa Tanzania inalimwa wapi?Sawa ila uzalishaji wa Cacao huko Ivory Coast ndio backbone ya Nchi na inaongoza Duniani ,unategemea nini?
Tanzania tuu hapa Bei ya Kakao Kwa Sasa ni 30,000/kg
Mnatakiwa kuelewa kwamba Rasilimali kuu ni akili na sio Madini sijui misitu na blaa blaa kama hizo.Hiyo namba 1 ni nafasi ya DRC, ila ndio vile tena 😂😂😂
KyelaHapa Tanzania inalimwa wapi?
Mapunguani kama nyie Huwa hamkosekani..Aliyesema Tanzania imeingia Uchumi wa Kati sio mzungu Bali ni Gadafi.Mpaka Wazungu wanajitahidi kuharibu legacy ya Mwendazake 😅🙏
Wanaogopa sera zake za kuwabana mabeberu wasitoroshe madini inaweza ikaigwa na Nchi nyingine za Afrika 😅😅🙏🙏 !
Hii yote ni kuwafanya Waafrika waamini kwamba sera za yule jamaa hazifai kabisa ndio maana alipoondoka tu sasa Tanzania inapaa kiuchumi 😅😅🙏🙏 !
Kazi kweli kweli. !!
Hizi akili za wapi? Unasema wewe una Pato kubwa unaweza kununua ndege 20 wao wanaweza kununua 5 tu! Hujafikia kwamba idadi ya watanzania ni 60mil. while E.Guinea ni 1.7mil? Ukichukua Pato lote ukaenda kununua ndege, matumizi mengine/huduma kwa watu 60 mil. nani atakulipia?- mishahara, madawa, ujenzi, kulipa wakandarasi/madeni nk.Uko sahihi linapokuja Suala la per Capita income kulingana na idadi yetu Bado Tzn ni maskini sana tuu.Pamoja na huu ukweli haiondoi uhalisia kwamba Pato ghafi ni kubwa kuzidi hao Equatorial Kwa maana nyingine tuna material possessions kubwa zaidi kushinda kwao.
Au unasema Kwa Uchumi wao wanaeza kununua ndege 5 na Tanzania ndege 20.
Sijui kuliko IMF, ila najua kuliko wewe. Kama hujaelewa nilchoandika achana nacho.Kwa hiyo wewe unaelewa kuliko IMF? Unaijua GDP lakini? Hicho ulichoweka wewe ndio Kipimo.cha Ukubwa wa Uchumi?