IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

IMF yatoa orodha ya nchi 15 zenye uchumi mkubwa Afrika. Tanzania yashika namba 9 ikiwa na uchumi wa Dola Bilioni 80

Hizi data za uchumi sijui wanazitoa wapi. Kwa hii lavel ya ukosefu wa ajira na umaskini, bado tunaambiwa Tanzania wako vizuri? Ajabu sana hii.
 
Mpaka Wazungu wanajitahidi kuharibu legacy ya Mwendazake 😅🙏

Wanaogopa sera zake za kuwabana mabeberu wasitoroshe madini inaweza ikaigwa na Nchi nyingine za Afrika 😅😅🙏🙏 !

Hii yote ni kuwafanya Waafrika waamini kwamba sera za yule jamaa hazifai kabisa ndio maana alipoondoka tu sasa Tanzania inapaa kiuchumi 😅😅🙏🙏 !
Kazi kweli kweli. !!
 
Kenya

-FDI,Kenya.inachukuliwa kama gate way to EAC so biashara huanzia hapo na kupanuka kwingine
-Utalii
-Transport and Logistics
-Bussiness,Ina watu aggressive na skilled

Ghana
-Ina Dhahabu,Mafuta ,Kakao na FDI

Ivory Coast
-Cacao ndio wazalishaji Wakuu Duniani na miaka ya karibuni bei ya Kakao haikamayikii
-Biashara

Morocco
-Utalii,Second to Egypt
-Manufacturing
-Biashara
-Transport and Logistics,Wana Bandari kubwa kabisa Zenye viwango vya Kimataifa
Hapa nakuelewa lakini kipi hapo umwekeza? Wahindi wachache kwenye manufacturing, Sisi vikaragosi tupo kwenye service, you didn’t mention the role of mainstay- business which the service sector will rely upon! DHL, EMS, etc etc watatumia nini kufanya service? Everything is in tatars
 
Mpaka Wazungu wanajitahidi kuharibu legacy ya Mwendazake 😅🙏

Wanaogopa sera zake za kuwabana mabeberu wasitoroshe madini inaweza ikaigwa na Nchi nyingine za Afrika 😅😅🙏🙏 !

Hii yote ni kuwafanya Waafrika waamini kwamba sera za yule jamaa hazifai kabisa ndio maana alipoondoka tu sasa Tanzania inapaa kiuchumi 😅😅🙏🙏 !
Kazi kweli kweli. !!
Mapunguani kama nyie Huwa hamkosekani..Aliyesema Tanzania imeingia Uchumi wa Kati sio mzungu Bali ni Gadafi.
 
Uko sahihi linapokuja Suala la per Capita income kulingana na idadi yetu Bado Tzn ni maskini sana tuu.Pamoja na huu ukweli haiondoi uhalisia kwamba Pato ghafi ni kubwa kuzidi hao Equatorial Kwa maana nyingine tuna material possessions kubwa zaidi kushinda kwao.

Au unasema Kwa Uchumi wao wanaeza kununua ndege 5 na Tanzania ndege 20.
Hizi akili za wapi? Unasema wewe una Pato kubwa unaweza kununua ndege 20 wao wanaweza kununua 5 tu! Hujafikia kwamba idadi ya watanzania ni 60mil. while E.Guinea ni 1.7mil? Ukichukua Pato lote ukaenda kununua ndege, matumizi mengine/huduma kwa watu 60 mil. nani atakulipia?- mishahara, madawa, ujenzi, kulipa wakandarasi/madeni nk.
Kwa hiyo wewe unaelewa kuliko IMF? Unaijua GDP lakini? Hicho ulichoweka wewe ndio Kipimo.cha Ukubwa wa Uchumi?
Sijui kuliko IMF, ila najua kuliko wewe. Kama hujaelewa nilchoandika achana nacho.
 
Back
Top Bottom