Bado huelewi hiyo "main point" ni nini hasa!Out of main point, ndiyo maana huwa nasema chadema ni wepesi sana, and useless, sipo chama chochote, lakini acha CCM iendelee tu, mpaka tutakapoona au watokee wenye akili ndani ya chama kingine!
CHADEMA (wanachama) wasiione hii taarifa. Wakiiona itakuwa vigumu kuwadanganya wananchi ya mikopo na Tanzania vs Kenya.Mama asiione hii report
alaaah kumbe bado himilivu 🤣🤣🤣🤣Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in Q4 of 2024
Rank Country Total IMF Credit Outstanding as of 09/27/2024 1. Egypt 9,450,430,014 2. Kenya 3,022,009,900 3. Angola 2,989,900,003 4. Ghana 2,245,321,000 5. Cote d'Ivoire 2,192,118,672 6. Democratic Republic of Congo 1,599,000,000 7. Ethiopia 1,313,857,500 8. South Africa 1,144,200,000 9. Cameroon 1,130,220,000 10. Senegal 1,105,595,000 Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in Q4 of 2024
Several African countries have become very conversant with the International Monetary Fund (IMF), as they look to plug the holes in their economiesafrica.businessinsider.com
DaahhhhSubiri nakojoa nakuja
Mwigulu anawapa rushwaMama Abdul kahonga ili Tanzania isitajwe kwenye orodha ya Nchi zenye deni kubwa.ukweli Tz inadeni kubwa sana kuzidi Nchi za afrika mashariki zote
Toa hiyo Avatar please, inatutisha watoto.Mama asiione hii report