IMF yatoa taarifa ya nchi 10 zinazoongoza kwa Madeni makubwa barani Africa Kenya yashika nafasi ya pili Tanzania ya Samia haipo kwenye orodha

IMF yatoa taarifa ya nchi 10 zinazoongoza kwa Madeni makubwa barani Africa Kenya yashika nafasi ya pili Tanzania ya Samia haipo kwenye orodha

Out of main point, ndiyo maana huwa nasema chadema ni wepesi sana, and useless, sipo chama chochote, lakini acha CCM iendelee tu, mpaka tutakapoona au watokee wenye akili ndani ya chama kingine!
Eti "out of main point". What is the main point? Lugha hujui, lakini hata aibu ya kuweka ujinga bado hutambui?

Wewe unacho juwa ni CHADEMAtu basi. Na kwa hilo unajiona mjuaji sana!
Weka picha hapo kama unayo. Hili nalo limekuwa ni siri kubwa?
 
Alhamdulilah nimetembea nchi mbalimbali, Jana nimeshuhudia kitu cha ajabu sana, mwenyekiti wa kata fulani ndani ya Wilaya ya ilala, anapita na kipaza sauti, akiwataka vijana walemavu na kinamama kwenye kuchukuwa fedha za ten %, za halmashauri, yaani anawaomba waende katika ofisi za Kata, nikasema je huu ni upendo wa aina gani kwa serekali hii kwa watu wake, nenda Kenya, Uganda Rwanda, msumbiji, Marekani, Uingereza, uone kama kuna kuna upendo wa aina hii, tumelala sana, na wavivu wa kufikiri na uvivu huu ndiyo uleule unaokuja kusababisha xenophobia kama S. A.
Mkuu, you're hardly literate!
 
Habari mbaya sana hii kwa chakadomoz

Wamelia sana aisee
Mkuu taratibu, kwani ugumu wa maisha unawakung'uta hao tu??

Ughali wa huduma unawapata wao tu???

Gharama kubwa za bidhaa dukani na sokoni zinawanaumiza wao tu???
 
Let me dig up!
Nakataa kuwa karibu na kenya, Kenya ipo juu mno na inadaiwa kweli siyo mchezo
Hayo ni madeni ya WB tu, Kenya ina madeni makubwa ya IMF pia na Domestic debt.

Muhimu hapo ni cashflow, maturity ya madeni, budget na tax revenue. Situation zetu overall hazipo sawa.

Madeni ya Tanzania hasa ya bi-tozo sio yote yaliyo mature, ni swala la muda tu kabla hatujaanza kulia, maana hata hao WB washaanza kusita-sita kukopesha tena.
 
Hayo ni madeni ya WB tu, Kenya ina madeni makubwa ya IMF pia na Domestic debt.

Muhimu hapo ni cashflow, maturity ya madeni, budget na tax revenue. Situation zetu overall hazipo sawa.

Madeni ya Tanzania ya hasa bi-tozo sio yote yaliyo mature, ni swala la muda tu kabla hatujaanza kulia, maana hata hao WB washaanza kusita-sita kukopesha tena.
🙋‍♂️🎯👍👌👊👏🤝🙏
 
Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in Q4 of 2024​

RankCountryTotal IMF Credit Outstanding as of 09/27/2024
1.Egypt9,450,430,014
2.Kenya3,022,009,900
3.Angola2,989,900,003
4.Ghana2,245,321,000
5.Cote d'Ivoire2,192,118,672
6.Democratic Republic of Congo1,599,000,000
7.Ethiopia1,313,857,500
8.South Africa1,144,200,000
9.Cameroon1,130,220,000
10.Senegal1,105,595,000
Acha uchawa wewe toka lini Tanzania ikawa ya samia? Mbona hizo nchi nyingine hujasema ni za nani?
 
Kuna Kilazaa fulani akiiona tu hiyo ripoti mwezi ujao anakwea pipa huyooo kwa mabeberu kwenda kukupa.
 
Out of main point, ndiyo maana huwa nasema chadema ni wepesi sana, and useless, sipo chama chochote, lakini acha CCM iendelee tu, mpaka tutakapoona au watokee wenye akili ndani ya chama kingine!
🤔🤔🤔
 
Shida ya watu wengi wanadhani mikopo ni umaskini hapana hata USA anadaiwa, na ukiwa unadaiwa pesa nyingi ni dalili uchumi wako unakopesheka hakuna shida yoyote. Kwa ufupi kizazi hiki, kijacho na hata huko mbele madeni yatakuwepo tu mpaka siku ya mwisho wa dunia. Hivi Mo Dewji akienda kuchukuwa mkopo na Juma akienda kuchukua mkopo unadhani viwango vitalingana? hapana Mo anaweza kuondoka na 500B na Juma akatoka na Millioni. Ningekuwa naweza kukopesheka Billion ningekopa tu ila najuwa nikienda Bank sana sana nitaambulia Milion 5 tu.
 
Top 10 African countries with the highest debt to the IMF in Q4 of 2024​

RankCountryTotal IMF Credit Outstanding as of 09/27/2024
1.Egypt9,450,430,014
2.Kenya3,022,009,900
3.Angola2,989,900,003
4.Ghana2,245,321,000
5.Cote d'Ivoire2,192,118,672
6.Democratic Republic of Congo1,599,000,000
7.Ethiopia1,313,857,500
8.South Africa1,144,200,000
9.Cameroon1,130,220,000
10.Senegal1,105,595,000
Tumeupiga mwingi.
 
Kuna Kilazaa fulani akiiona tu hiyo ripoti mwezi ujao anakwea pipa huyooo kwa mabeberu kwenda kukupa.
Wewe ndio jipime tofautisha kukopa na kuomba, ukikopa na ukakopeshwa basi uko vizuri ukinyimwa mikopo ndio ujuwe maskini. Unakopa kutokana na GDP yako ni kama mifumo ya Bank zetu unakopa kutokana na uwezo wako wa kulipa. Kama mtu mshahara Mil 20 kwa mwezi anaweza kuvuta 500M kama mshahara wako 1M unavuta 20M tu. Ila hukopeshwi kulipa mishahara ila unakopeshwa ku fund miradi.
 
Hakuna watu wanapata tabu Sasa kama haters wa Samia aisee. Poleni sana
bi mkubwa binafsi ninampenda, ila tu kapwaya kwenye nafasi, kashindwa kuyadhibiti manyang'au. majizi na mafisadi yanafanya yatakavyo. Anauza na kugawa mali za Tanganyika, ana mis-use public fund,

awali tulidhani amekuja kuyaponya majeraha aliyoyaacha Jiwe, kumbe ni wale wale

amejitahidi kutengeneza machawa badala ya kutengeneza wazalendo.

...
 
Hiyo ni IMF , kuna W. B zaidi ya 11.7 USD, Bado..........
 
Back
Top Bottom