GE2025 Imfikie Rais ayafanye ili kuondoa kinachoendelea kwa wananchi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mchezo aliochezewa kuhusu HP ni wa dhahiri kabisa!

Ccm walau mtu anayeweza kusikilizika sasa hata ukimsimamisha na Mzee Butiku ni HP...ila sasa mama katekeleza matakwa ya wabaya wake kumfunga polepole, mbaya sana!
 
Wanjanja wajanja kama wewe hao lazima wakione chamoto si unaona wanavyolia tofauti kabisa na wakiwaga kwenye keyboard
Samia amekimbia Ikulu sasa, anaishi kwenye mahandaki huko. Mlidhani Wananchi wana jambo dogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…