Ubarikiwe sana!.Mheshimiwa rais,
Nakusalimu kwa unyenyekevu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
4. Yuko adui mkubwa na mwenye nguvu nyuma ya haya yanayotokea. Kwako amejifanya rafiki. Lengo lake ilikuwa uchafuke wewe, akutoe aweke watu wake. Humphrey Polepole akagundua na kukusaidia. Leo hii taifa limejua kuwa kumbe shetani sio wewe, bali kuna namna umekuwa 'captured', na kwa maslahi ya taifa inabidi ucheze mziki wao. TUTAKUOKOA.
6) Tuko kambini hapa, fanya upande wako na sisi tutakulinda,
Ninja.