Tetesi: Imoooo! Diva atua rasmi kwa Mbwiga Mbwiguke, mahaba hadharani

Huku kwetu Iringa ukimuita mtu Mbwiga ujue ni tusi kubwa sana hilo?
 
Mim simfaham Diva yupoje jamani?

tafadhani weken picha yake hapa.
 
mbona kama haiji akilin iv,akili km inakuwa nzito kupokea hii taarifa,yangu machoo
 
!
!
khaaaa....kama kila aliyempitia Diva angekuwa anamchanja chale usoni Diva angekuwa zaidi ya Mmakonde... Na kwa muda huu watu wangekuwa wanarudia kuchanja juu ya makovu. Khaaa
 
Kama akiifuata au akitumwa uvinza kuchukua chumvi anakwenda kuna tatizo gani wache ajiachie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…