Impact ya Shindano la Stories of Change kwa jamii ni nini?

Rebeca 83

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
15,669
Reaction score
33,691
Hello JF!

Ningependa kwanza kuwapongeza washindi na washiriki wote wa JF stories of change.

Second,leo nimejikuta najiuliza impact ya shindano hili kwa jamii yetu ni nini? Kuna vitu viwili kuna faida iliyoonekana right from the start, nayo ni awareness ya mambo mbalimbali kama magonjwa ya kisukari, akili n.k hili unaweza kuona hata kwa responses za watu kwenye thread husika. Kwangu mimi hili la awareness lime meet objectives/ Lengo la wandaaji wa shindano hili.

however, tunashindwa kuona impact ya yale mawazo mazuri ya kuishauri serikali na kuona positive change katika jamii yetu, hii ni ngumu kupima impact sababu kihistoria JF imekua ikishauri serikali mambo mbalimbali na ukiangalia topics za washiriki utagundua mengi yashakua discussed hapa JF before, ila serikali ni machache inayafanyia kazi, kwangu mimi shindano limeweza ku create awareness lakini limeshindwa Kumeet objective number two; ku drive change in our society.

Anyway siko hapa ku criticise kazi za watu, nachoomba wanajamii ni tu discuss ways ya kuisukuma serikali kufanya yale yanayoshauriwa na wana JF,

Becky
 
Ku influence public opinion ndo la msingi..

Linaweza lisifanyiwe kazi leo..
Likaja fanyiwa kazi kesho au keshokutwa..

Jf imesha influence mambo mengi sana..

Binafsi niliwahi weka thread moja hapa..
Haikupita mwezi policy zilibadilishwa...

Influence ya JF bado kubwa sana
 
Nchi yetu hakuna tena demokrasia.
Kidumu chama cha mapinduzi, ufisadi daima uzalendo mwiko
 
Nadhani hii ni hatua moja nzuri sana mkuu. Mawazo haya ya watu hata kama hakuna mahali yatakapotangazwa kuwa yamesomwa na waunda sera na sheria wa nchi lakini kiuhalisia ni kuwa yatawafikia tu.

So mimi siwezi kusema JF wamefail kufikia hiyo objective namba mbili. Zaidi labda "tuwalaumu" hao policy makers kwa kushindwa kufanyia kazi mawazo mazuri kabisa yaliyoletwa na shindano hilj bora kabisa.

So kwa maoni yangu JF tayari 'tume' play part yetu na palipobakia kwenye kuenda kufanyia kazi yaliyojadiliwa sio kazi 'yetu' tena bali ni wahusika wa ngazi za mbele zaidi.

Either way, andiko lako lina hoji jambo la msingi sana.
 
Hello JF!

Ningependa kwanza kuwapongeza washindi na washiriki wote wa JF stories of change.

Second,leo nimejikuta najiuliza impact ya shindano hili kwa jamii yetu ni nini? Kuna vitu viwili kuna faida iliyoonekana right from the start, nayo ni awareness ya mambo mbalimbali kama magonjwa ya kisukari, akili n.k hili unaweza kuona hata kwa responses za watu kwenye thread husika. Kwangu mimi hili la awareness lime meet objectives/ Lengo la wandaaji wa shindano hili.

however, tunashindwa kuona impact ya yale mawazo mazuri ya kuishauri serikali na kuona positive change katika jamii yetu, hii ni ngumu kupima impact sababu kihistoria JF imekua ikishauri serikali mambo mbalimbali na ukiangalia topics za washiriki utagundua mengi yashakua discussed hapa JF before, ila serikali ni machache inayafanyia kazi, kwangu mimi shindano limeweza ku create awareness lakini limeshindwa Kumeet objective number two; ku drive change in our society.

Anyway siko hapa ku criticise kazi za watu, nachoomba wanajamii ni tu discuss ways ya kuisukuma serikali kufanya yale yanayoshauriwa na wana JF,

Becky
Kuna jamaa yangu yeye alikuwepo kwenye hiyo event ya kuwakabidhi ushindi hawa watu na alialikwa kama mwakilishi toka wizara fulani, anasema wizara imeomba baadhi ya maandiko ya hawa washiriki kwa ajili ya kusoma na kufuatilia

Pia na alinionyesha clip fulani ambayo chief judge (Aikande Kwayu) alikua anazungumzia mchakato mzima wa kupata washindi na it seems kwamba mshindi wa kwanza andiko lake limepitia vigezo vyote walivyokua wanavitaka, na kuna wengine hawakupata kura za wananchi lakini wamepewa 60% kura na majaji ndio maana wameibuka washindi

Kwa hiyo naamini shindano lina impact kwa sababu walialikwa wawakilishi mbalimbali.kuyoka sekta nyeti serikalini kama TRA, PCCB, wizara ya habari, Ikulu nk.
 
Asante kwa taarifa ngoja niende zangu PM kulekule alikoniombea kura
Huyu hata usingempa kura angeshinda tu, maana kura zimechukua 40% tu na 60% ni uamuzi wa majaji, hapa ndio amepata kura zote za majaji, hii ni kulingana na watu waliohudhuria warsha
 
Sasa Rebeca 83 ulitaka threads ziandikwe na punde tu serikali ianze kutendea kazi shauri zilizotolewa?

Vuta subira, huenda mwakani au hata muda mwingi ujao, wenye kutendea kazi shauri watakuwa uwanjani kutendea kazi...
 
Huyu ana hasira sana na JF baada ya kushindwa, tangu juzi mada zake na comments zake zinahusu stories of change tu, mimi namshauri agange yajayo, penye shindano lazima apatikane mshindi na lazima ukubali kushindwa
 
Walaaaa ,Kwanza kwa mabandiko mengi ya jukwaa lile wala sikufikiria kama nimeshinda,usinionee bure,
 
Sasa Rebeca 83 ulitaka threads ziandikwe na punde tu serikali ianze kutendea kazi shauri zilizotolewa?

Vuta subira, huenda mwakani au hata muda mwingi ujao, wenye kutendea kazi shauri watakuwa uwanjani kutendea kazi...
Mkuu sidhani kama umenielewa niliposema topics nyingi za JF zilishakua discussed before,na kihistoria hazijafanyiwa kazi na serikali,
 
Huyu hata usingempa kura angeshinda tu, maana kura zimechukua 40% tu na 60% ni uamuzi wa majaji, hapa ndio amepata kura zote za majaji, hii ni kulingana na watu waliohudhuria warsha
She deserved it Boss but my vote 🗳 matters
 
Serikali ipo aware sana na mambo yatendakayo humu JF...

Ukichunguza vizuri Kuna muda mambo yanavyorekibishwa utoana kabisa ulishawahi kuyasoma humu...
 
Back
Top Bottom